Taa za Barabarani kutofanya kazi baadhi ya muda kunahatarisha maisha ya Watumuaji barabara

Makamura

JF-Expert Member
May 19, 2022
356
550
Kuna maeneo yenye Highway kama barabara ya Kimara - Mbezi, gari ni nyingi na kun amakutano ya Temboni na Suka na kwa Msuguri taa haziwakagi basi ajali hutokea sana kwasababu ya Madereva kutojali makutano hayo.

Mamlaka naona haijawajibika ipasavyo, taa haziwaki kwa wiki nzima na wamekaa wanazunguka na viti kabisa. Baada ya kuzunguka na kujua ubora wa taa hizo ili kuepusha ajali zinazo epukika wao wametulia kabisa.

Ajali zikitokea watatoa ripoti ila taa kutofanya kazi huweI ikuta kama sababu ya ajali za barabarani
 
Miaka yote mlikuwa na taa kwenye Barabara zenu?
Kabla hakujakuwa na Taa, barabara hazikuwa pana kiasi kile, barabara ikiwa pana madereva hujiachia tofauti na sinza hata kusipokuwa na taa watu wanavuka ila barabara ya Kimara- Mbezi ni pana ya barabara 8 kuvuka bila taaa hadi umalize barabara zote ni hatari
 
Mmm kwani zaman mlikuwa mnaishi vipi.maana taa hazikuwepo. au ndio uoga.
 
Back
Top Bottom