Nina degree ya IT, natafuta kazi yoyote nipo DSM

Aug 27, 2017
31
44
Mimi ni muhitimu wa degree ya IT na biashara niliyohitimu mwaka 2020 katika chuo kikuu mzumbe kampasi kuu morogoro, nina uzoefu na mambo ya IT. Ni mkazi wa dar es salaam.

Ninaomba mwenye fursa ya kunisaidia kupata kazi ya aina yoyote nipo tayari kuifanya naomba wakuu tusaidiane kwa mawasiliano zaidi namba ni hizi 0656058186/ whatsapp 0627781186
 
Attachments

  • Athumani-CV.pdf
    92.6 KB · Views: 11
Mimi ni muhitimu wa degree ya IT na biashara niliyohitimu mwaka 2020 katika chuo kikuu mzumbe kampasi kuu morogoro, nina uzoefu na mambo ya IT. Ni mkazi wa dar es salaam.

Ninaomba mwenye fursa ya kunisaidia kupata kazi ya aina yoyote nipo tayari kuifanya naomba wakuu tusaidiane kwa mawasiliano zaidi namba ni hizi 0656058186/ whatsapp 0627781186
Boresha cv yako mkuu imekaa kizamani sana! Hakuna haja ya kuweka martial status,age, etc kwenye personal details! Kila la kheri kwenye utafutaji wa ajira!
 
Mimi ni muhitimu wa degree ya IT na biashara niliyohitimu mwaka 2020 katika chuo kikuu mzumbe kampasi kuu morogoro, nina uzoefu na mambo ya IT. Ni mkazi wa dar es salaam.

Ninaomba mwenye fursa ya kunisaidia kupata kazi ya aina yoyote nipo tayari kuifanya naomba wakuu tusaidiane kwa mawasiliano zaidi namba ni hizi 0656058186/ whatsapp 0627781186
0764 467564- Anahitaji IT& Network personal - Tanga Asap b4 new year,Sina connection naye usinifuate PM.tuma cv
 
Mimi ni muhitimu wa degree ya IT na biashara niliyohitimu mwaka 2020 katika chuo kikuu mzumbe kampasi kuu morogoro, nina uzoefu na mambo ya IT. Ni mkazi wa dar es salaam.

Ninaomba mwenye fursa ya kunisaidia kupata kazi ya aina yoyote nipo tayari kuifanya naomba wakuu tusaidiane kwa mawasiliano zaidi namba ni hizi 0656058186/ whatsapp 0627781186
Siku si nyingi wana graduate wengine...
Tafsiri maana ya Elimu.
Jichanganye kwa kadiri Mungu atakavyo ku jaalia.
Usiangalie degree ila usiipoteze.
 
Mimi ni muhitimu wa degree ya IT na biashara niliyohitimu mwaka 2020 katika chuo kikuu mzumbe kampasi kuu morogoro, nina uzoefu na mambo ya IT. Ni mkazi wa dar es salaam.

Ninaomba mwenye fursa ya kunisaidia kupata kazi ya aina yoyote nipo tayari kuifanya naomba wakuu tusaidiane kwa mawasiliano zaidi namba ni hizi 0656058186/ whatsapp 0627781186
hivi IT ni code ya yale magari ya mizigo ya masafa marefu au
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom