Ndugu Bashiru Ally alisema kuwa katiba ya sasa ni katiba isiyokidhi mazingira ya kisiasa ya nchi yetu maana ilitungwa kuenenda na mfumo wa chama kimoja.
Dkt. Bashiru Ally akasema kuwa Katiba hii ya sasa haina muafaka wa kitaifa ambapo sasa nchini kuna vyama vingi wakati katiba hii ni ya chama...
Yawezekana watu wengi wanashangaa kwa nini hali imeendelea kuwa shwari toka Mh. Tundu Lissu atue nchini. Binafsi nawapongeza Watanzania wenzangu, asanteni Watanzania popote mlipo.
Watanzania kwa mamia na maelfu wameweza kujitokeza kwa wingi na kuandamana kwa amani bila misukosuko yoyote kutoka...
Baada ya vikao nenda rudi kwa siku takribani 3 hatimaye TFF wamejitokeza na kusema kuwa wamefikia uamuzi baada ya vikao vizito
Mchezaji raia wa Ghana, Bernard Morrison amepewa uhuru wa kujiunga na Simba Sc baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kusema kuwa Mkataba wake na Yanga Sc...
Kwa wajuzi na wabobezi wa maswala ya sheria kwa mujibu wa katiba ya Tanzania na sheria nyingine zinasemaje kuhusu mamlaka ya raisi anapo kuwa mgombea kutetea nafasi yake"ni wakati gani anakuwa na kofia ya urais na ni wakati gani anakuwa na kofia ya mgombea?
Nauliza hilo kwa sababu nilikuwa...
Maendeleo yetu yanafanywa na kuletwa na kodi zetu sote, Sio hisani tunayalipia na tunawalipa watu woote wanaoyaleta, hivyo ni mali yetu sote.
Namna bora ya kuyalinda na kuyaendeleza haya maendeleo yetu yanayopatikana kidogokogo lazima tuyaendeleze na kuyalinda katika kila awamu na kila chama...
Wimbo wetu wa Taifa umetokana na wimbo Nkosi Sikeleli Afrika uliotungwa 1897 na Enoch Sontonga (msauzi) kama wimbo wa ANC
Umetoholewa kuwa wimbo wa Taifa wa Zambia, Zimbabwe, Namibia na Tanzania. Sisi wenyewe tumebadili maneno ya wimbo na copyright si yetu 😁
Nimewasikiliza chadema katika mchakato wao wa kupata mgombea wa uraisi. Frankly speaking mna very strong candidate tatizo lenu ni kutokujua audience.
Mkijua audience mtajua mtajua ni mambo yafuatayo
1. Vyama vya siasa vina wajibu gani na changamoto gani
2. Serikali ina wajibu gani na...
Tundu Lissu mwenyewe amefafanua juu ya kesi zinazomkabili pale Mahakama ya Kisutu na kwamba kesi hizo hazimuondolei sifa ya kupigiwa kura na kuwa Rais wa JMT.
Amebainisha kuwa hilo liko wazi kabisa katika katiba ya nchi yetu.
Maendeleo hayana vyama!
Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema ni Paul Makonda ndiye aliyemtabiria kuwa makamu wa Rais baada ya kusimama ndani ya bunge la Katiba na kusema " huyu mama ndiye anayefaa kuwa makamu wa Rais wa JMT "
Mama Samia amesema hayo katika kongamano la Wasichana lililofanyika katika ukumbi wa...
Mada inahusika.
Nadhani tunakumbuka kwamba baada ya Jecha kufuta uchaguzi wote wa Zanzibar wa tarehe 25 oktoba, 2015 ulisogezwa mbele baada ya miezi sita.
Ndipo tarehe 20 Machi, 2016 ukaitishwa ule wa marudio. Kwa kadiri tunavyoelewa, uchaguzi unaitishwa kila baada ya miaka mitano. Matarajio...
(1) Katiba hutoa madaraka kwa Bunge kupitisha sheria. SHERIA lazima iwe within 4 walls ya katiba-la sivyo sheria ni batili. Sheria inatoa madaraka kwa Waziri au taasisi nyingine (k.m TCRA) kutunga KANUNI. Kanuni lazima ziwe within 4 walls ya sheria mama na Katiba-la sivyo ni batili.
(2)...
Watanzania wenzangu jana huko Rufiji kwa Mbunge Bwege, Rais Magufuli ametoa Kauli yenye ukakasi mkubwa. Baada ya wananchi kueleza shida yao ya kupata Stendi, Rais alisikika akiwaambia kuwa kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 aliwaomba wamchagulie mtu kutoka CCM, wao wakamchagua...
Huu utaratibu wa sasa wa kulazimisha Baraza la Mawaziri kuundwa kutokana na wabunge ni tatizo kubwa. Kwanza kuna viongozi wazuri ambao sio wanasiasa. Pili, kutoa wabunge wengi hivi Bungeni badala ya kutetea Majimbo yao wanakuwa watetezi wa Serikali. Vilevile ndiyo sababu wengi wanakimbilia...
Jamiiforums is where we dare to talk openly!
Kwa mwananchi yeyote ambaye hajafungwa kimawazo na kifikra, angalia vizuri hii video kwenye dakika ya 1:18 ili yale uliyoambiwa uchanganye naya kwako kuhusu tuhuma zinazoelekezwa kwa Paulo Makonda!.
Mtoa mada katika mdahalo wa kujadili Katiba...
Kwema wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Miezi ya hivi karibuni kuliibuka mtindo uliopachikwa jina la "Kuunga Mkono Juhudi" ambapo Viongozi mbalimbali waliokua upinzani walijiondoa na kujiunga na Chama tawala cha CCM.
Wengi wa hawa waunga mkono juhudi walitokea Chama cha CHADEMA, na...
Mahakama ya Afrika yaitaka Tanzania kubadili Katiba kuruhusu Wananchi kupinga matokeo ya Kura za Urais
Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imetoa uamuzi kuwa Ibara ya 41(7) ya Katiba ya Tanzania inayokataza matokeo ya urais kupingwa Mahakamani inakiuka Ibara ya 1,2, 7(1)(a) ya Mkataba wa...
Aman iwe nanyi wakuu
Rais Magufuli amedai kuwa licha ya mashinikizo mengi kutoka kila pande lakini yeye ataondoka madarakani kwa mujibu wa katiba ya CCM na nchi wala hataongeza miaka maana kazi ya Urais ni ngumu sana.
Amedai kuna watanzania wengi tu ndani ya CCM wenye kuweza kuongoza nchi...
Katika mwendelezo wa kupinga mawazo na mfumo wa utawala wa Mwl. Nyerere. Tundu Lissu amepasua jipu ambalo wengi huwa wanaogopa kulipasua pale aliposema kuwa Mwl. Nyerere alikuwa ni "msanii wa kisiasa" kwa sababu aliyokuwa anayasema siyo yale aliyokuwa anayatenda kuhusiana na suala la Muungano...
Kama kweli hii katiba ya mwaka 1977 imebarikiwa wakati wa utawala wa Mwl: Nyerere ni wazi Hapa mzee wetu alikusudia kuangalia self interest. Rais kujigawia madaraka makubwa then mnabaki kumuita shujaa.
Nawasilisha hii katiba ya Mwl Nyerere hiko vibaya sana. Inapaswa kufumuliwa mara moja.
Enzi za katiba ya zamani hapa kwetu ilikua hivi hivi kama tunavyoshuhudia kwa Watanzania, kwamba maskini wanyonge wanalaghaiwa na kunyanyaswa bila msaada wowote, hata wakifika kwa wakuu wa mikoa taswira inabaki ile ile, mpaka siku msafara wa rais utapita, kisha umpigie rais makelele hadi akuskie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.