Bashiru Ally: Katiba ya sasa haikidhi mahitaji ya Nchi

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,638
51,605
Ndugu Bashiru Ally alisema kuwa katiba ya sasa ni katiba isiyokidhi mazingira ya kisiasa ya nchi yetu maana ilitungwa kuenenda na mfumo wa chama kimoja.

Dkt. Bashiru Ally akasema kuwa Katiba hii ya sasa haina muafaka wa kitaifa ambapo sasa nchini kuna vyama vingi wakati katiba hii ni ya chama kimoja

Swali moja ambalo ningependa Bashiru atuambie, kama analitambua hilo, Je ni kwa nini Ilani ya chama chake ya mwaka 2020 haina kipengele cha katiba mpya?

Na kama yeye anaamini hivyo kwa nini Serikali ya chama chake iligoma kutekelwza ahadi ya katiba mpya iliyo katika ilani yake yenyewe ya mwaka 2015?

Unaweza kumsikiliza ndugu Bashiru Ally akieleza umuhimu wa Katiba mpya katika mazingira ya Tanzania yetu hii leo:

 
Hapo ni kabla ya kuwa katibu mkuu wa CCM ndipo alipoona katiba haikidhi mahitaji ya nchi. Lakini baada ya kupata cheo, katiba ile ile aliyoiona haifai kwake sasa inafaa na haina haja ya kubadilishwa. Njaa ni mbaya sana!
 
Back
Top Bottom