Mahakama ya Afrika yaitaka Tanzania kubadili Katiba kuruhusu Wananchi kupinga matokeo ya Kura za Urais
Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imetoa uamuzi kuwa Ibara ya 41(7) ya Katiba ya Tanzania inayokataza matokeo ya urais kupingwa Mahakamani inakiuka Ibara ya 1,2, 7(1)(a) ya Mkataba wa...
Aman iwe nanyi wakuu
Rais Magufuli amedai kuwa licha ya mashinikizo mengi kutoka kila pande lakini yeye ataondoka madarakani kwa mujibu wa katiba ya CCM na nchi wala hataongeza miaka maana kazi ya Urais ni ngumu sana.
Amedai kuna watanzania wengi tu ndani ya CCM wenye kuweza kuongoza nchi...
Katika mwendelezo wa kupinga mawazo na mfumo wa utawala wa Mwl. Nyerere. Tundu Lissu amepasua jipu ambalo wengi huwa wanaogopa kulipasua pale aliposema kuwa Mwl. Nyerere alikuwa ni "msanii wa kisiasa" kwa sababu aliyokuwa anayasema siyo yale aliyokuwa anayatenda kuhusiana na suala la Muungano...
Kama kweli hii katiba ya mwaka 1977 imebarikiwa wakati wa utawala wa Mwl: Nyerere ni wazi Hapa mzee wetu alikusudia kuangalia self interest. Rais kujigawia madaraka makubwa then mnabaki kumuita shujaa.
Nawasilisha hii katiba ya Mwl Nyerere hiko vibaya sana. Inapaswa kufumuliwa mara moja.
Enzi za katiba ya zamani hapa kwetu ilikua hivi hivi kama tunavyoshuhudia kwa Watanzania, kwamba maskini wanyonge wanalaghaiwa na kunyanyaswa bila msaada wowote, hata wakifika kwa wakuu wa mikoa taswira inabaki ile ile, mpaka siku msafara wa rais utapita, kisha umpigie rais makelele hadi akuskie...
Bismillahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
WARAKA [MWONGOZO]
UCHAGUZI MKUU WA TAIFA
OKTOBA 2020 TANZANIA
Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020.
UTANGULIZI
Ugonjwa wa Korona – COVID-19
Sote Tunafahamu kuwa nchini mwetu na Dunia kwa ujumla kumekuwepo na taharuki kubwa ya Ugonjwa wa...
Chama Cha mapinduzi kinakusudia kuja na agenda ya katiba mpya kwenye ilani,je kwa sheria iliyopitishwa juzi bungeni ya kuwawekea kinga ya kuishtakiwa viongozi wa mihimili tunategemea katiba iletwe na CCM?
Ni katika kipindi cha Kipima Joto mubashara ITV
Msajili Msaidizi Nyahoza amesema Msajili hausiki na uratibu wa mikutano ya kisiasa bali jukumu hilo ni la Jeshi la Polisi na ndio wanaopaswa kulitolea maelezo au elimu.
Maendeleo hayana vyama
Mheshimiwa Lazaro Nyalandu yupo mubashara Wasafi FM. Anasema CCM aliyoiacha si ile ya Mwalimu Nyerere. CCM ya sasa haiheshimu Katiba ya Jamhuri wala katiba ya chama chao.
Anasema akiwa Rais wa Jamhuri, pamoja na mambo mengine mazuri, atahakikisha nchi inapata Katiba mpya.
Anasema atahakikisha...
Kwa kifupi kabisa ni kwamba tunakwenda kwenye Uchaguzi ambao mshindi tayari anajulikana. Ninasema haya kwasababu zifuatazo.
1. Kukubalika kwa Rais Magufuli kwa watanzania walio wengi (hili liko wazi na halina ubishi) Watanzania wanampenda sana huyu mtu na hawapo tayari aondoke Ikulu mapema.
2...
1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU!
2/ Kwa kusema...
Salaam Wakuu,
Leo Muda si Mrefu, Viongozi Wakuu wa Chama cha ACT Wazalendo kitaongea na Wananchi na Dunia kwa Ujumla. Ni tukio kubwa haijawahi kutokea.
======
UPDATES:
1048HRS: Kwa sasa ni Burudani inaendelea
1100HRS: Viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo wanaingia Ukumbini wakiongonzwa na
Zitto...
Mchambuzi wa masuala ya Katiba, Sera, Siasa na Maendeleo ya Watu, Mcheleli Machumbana, alisema kwa miaka mitano ya Bunge la 11 lilikuwa na upitishaji wa sheria zinazokinzana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
“Kwa mfano Bunge limeweka kinga ya kupindukia kwa viongozi wakuu wa nchi...
TUME HURU na MGOMBEA HURU
2020 ni mwaka wa Uchaguzi. Kama huchaguliwi basi unachagua. Kama hupigiwi kura na hupigi kura lazima kuna sababu inayokuzuia. Kuna watu wengi wanaruhusiwa kupiga kura lakini hawaruhusiwi kupigiwa kura. Wana haki ya kuongozwa tu lakini hawaruhusiwi kuongoza. Katiba...
Kuomba msaada wa kujua Jambo naamini si ujinga.
Kwenye katiba kuna kitu kinaitwa ibara na sheria ndogo za mwaka Fulani.
1: Ibara Ni Nini? Na ibara za katiba zinapatikana wapi?
>>Ibara ndogo Ni Nini na zinapatikana wapi?
2: Sheria ndogo Ni zipi na zinapatikana wapi? Na kwenye katiba, unakuta...
Kilio cha muda mrefu cha Umma wa watanzania ni tuwe na Katiba mpya ya nchi ambayo itakuwa imepanua wigo wa demokrasia na kuleta utawala bora, ambao ni utawala wa sheria
Ndiyo maana katika vitu ambavyo Rais aliyepita, Jakaya Kikwete, angeingia katika rekodi za kutukuka ni kama angefanikiwa...
Rais wa Urusi Vladmir Putin amesema Warusi wengi zaidi wameunga mkono mpango wake wa mabadiliko ya katiba ili kumpa mwanya wa kubakia madarakani, Putin amesema Raia wengi nchini humo wamekubali mpango huo ambao utamwezesha Putin kusalia kwenye kiti cha Urais
Pamoja na mambo mazuri mengi ambayo Mwalimu Nyerere aliyeyafanya ambayo pengine hayatakuja sahaulika hata kizaizi na kizaizi lakini Tanzania imerudi nyumba sana kipindi cha Mwalimu Nyerere kutokana na kukaa muda mrefu madarakani. Laiti kama Nyerere angeachia madaraka mapema na kuruhusu vyama...
Hizi ni kama salamu kwa Ndugai na wale wengine wenye nia ya kubadilisha Katiba ili kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani.
Leo jijini Dodoma katika sherehe za uzinduzi wa wa barabara katika mji wa kiserikali yenye urefu wa kilomita 51.2, pamoja na uzinduzi wa Jengo la ofisi za TARURA mji wa...
Kuna watu wataleta nyuzi za kishamba sana eti haoni mtu wa kuvaa viatu vya Urais baada ya miaka 5 au 10 ya Dr Magufuli. Sisemei Dr Magufuli hajafanya kazi , la hasha, Kajitahidi na kachapa kazi ila Tanzania ina watu mil 58 , naamini kuna watu Zaidi ya mil 1 wanaoweza kufanya vizuri kwenye kiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.