katiba

  1. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Sasa hawaitaki tena Katiba ya Warioba, wanataka kama ile ya Marekani yenye mfumo wa utawala wa majimbo

    Sasa wameweka wazi aina ya katiba mpya wanayoitaka. Wanakusudia kuufumua kabisa mfumo wa utawala wa nchi yetu na kuufanya uwe kama ule wa Marekani wa majimbo yanayojitegemea. Nchi yetu itagawanywa kwenye majimbo (kanda) kama tisa hivi kama zilivyo kanda za chama hicho. Kila kanda itaongozwa na...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

    Wakuu nawasalimu kwa salamu ya Ukombozi , leo tena Mh Lissu anaendelea kuwatembelea Watanzania wenzake kwa lengo la kuwaomba ridhaa ya kupewa kura ili awe Rais wa Tanzania , mikutano ya leo itapigwa Mkoani Katavi na Kigoma . Endelea kubaki hapa hapa JF kwa habari za uhakika. ---- Napenda...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
  4. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Agenda ya kubadili Katiba si ya Rais Magufuli, ni agenda ya wapambe

    AGENDA YA KUBADILI KATIBA SI YA RAIS MAGUFULI, NI AGENDA YA WAPAMBE. Nawasalim wana JF Nimeamua kuandika andiko hili ili kutoa ufafanuzi wa maneno na taarifa zinazosambaa mitaani, mitandaoni na viunga mbalimbali vya taifa letu kuwa Rais Magufuli ana mpango wa kubadilisha “ Katiba ili aweze...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alishasema hatabadili Katiba ili kusalia madarakani. Kwanini Kabwe, Membe, Tundu Lissu mnamenea mnamnenea uongo ?

    Zitto kabwe alichokiandika kwenye Gazette la South Africa (Tanzania’s election: Time for urgent action) ni ni mandalizi ya kuanzisha vurugu kabla na baada ya uchaguzi. Agenda ya kuwadanganya wananchi eti wasimchague Magufuli kwa kusingizia eti akichaguliwa tena atabadiri katiba ni hoja ya...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya Uchaguzi ya NCCR Mageuzi: Vipaumbele ni Katiba Mpya, Elimu, Muafaka wa Kitaifa, Afya na Ustawi wa Jamii, Mazingira na Makazi

    UTEKELEZAJI WA HII ILANI NA SIFA ZA KIONGOZI Serikali itakayoongozwa na NCCR-Mageuzi itaweka mkazo katika kuimarisha mifumo ya kiutendaji ya serikali kuu na serikali za mitaa ili ufuatiliaji wa utekelezaji wa Ilani uwe wenye tija kwa umma wa watanzania. Serikali itahakikisha usimamizi wa miradi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Mkimchagua Magufuli, ana lengo la kubadili Katiba kuondoa ukomo wa vipindi vya kutawala

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Chadema ndugu Tundu Lissu, amewaasa Wananchi wa Bagamoyo kuwa, Magufuli ana lengo la kubadili ukomo wa vipindi vya utawala na ndiyo maana hilo Suala lilizungumzwa bungeni na Spika Ndugai. Lissu akawaambia wananchi kuwa, Ndugai asingeweza yeye binafsi kulizungumza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania H. Polepole, Profesa Kabudi na Bashiru Ally juu ya Katiba Mpya na Muungano

    Profesa Kabudi alisema wazi, kuwa kwenye ishu ya muungano, wazanzibar mambo yao yako mezani, yako well documented isipokuwa yale ya Tanganyika. Akasema anaogopa siku watanganyika watakaponyanyuka na kudai mambo yao Humphrey Polepole akasema, Katiba ya Sasa inampa Rais wa sasa madaraka makubwa...
  9. kagoshima

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tubadilishe Katiba tuwe na Wabunge na Madiwani wa kuteuliwa na Tume

    As it stand wanachofanya Tume ni comedy. Katiba yetu inaainisha vyema Wabunge na Madiwani wachaguliwe vipi au wateuliwe vipi. Mfano kwenye Ubunge Katiba inaainisha kwamba; 1. Kuna wabunge wa kuchaguliwa majimboni na Wananchi baada ya kuwa approved na vyama vyao, 2. Kuna nafasi za wabunge 10...
  10. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Katiba imeshampa Ushindi Mgombea wa CCM kabla ya Uchaguzi, Vyama vingi Kiini macho

    Kuna sababu zaidi ya 99% kua mgombea wa CCM amepewa ushindi na katiba ya JMT kwa sababu za msingi zifuatazo, labda wananchi waamue wenyewe kutokujali katiba hii. SABABU ZENYEWE 1. Mwenyekiti wa CCM na mngombea wa Urais ndiye anayewateua mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na makamishna...
  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, Katiba za nchi zinaruhusu Nchi moja kuinunua Nchi nyingine?

    Mfano labda Tanzania ikataka kuinunua Rwanda pamoja na watu wake wawe mali binafsi ya TZ, utaratibu kama huo unawezekana katika mantiki na misingi ya kibiashara baina ya pande mbili husika?
  12. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata (kudownload) katiba mtandaoni

    Wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, huku mtandaoni naweza kupata katiba ambayo ipo updated? Naomba kama kuna mtu anajua anijuze au kama ana softcopy(pdf) pia nitashukuru. Naomba kuwasilisha.
  13. IAfrika

    JamiiForums Tanzania Katiba ya shirikisho la Afrika Masharki

    Kama tunavyojua kwa sasa, marais wa Jumuiya waliamua kuwa kongamano la kisiasa (confederation) itakuwa muungano wa kisiasa wa mpito wa kukaribisha shirikisho la kisiasa (federation). Tofauti kubwa kati ya kongamano la kisiasa na shirikisho la kisiasa ni kuwa uanachama wa au kuondoka kongamano ni...
  14. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: CCM haijawahi kufuata Ilani yake wala katiba ya nchi kwa miaka 5

    Wasalaam, Naomba niweke wazi ukweli halisi bila ushabiki wa kisiasa chama chetu cha mapinduzi mwaka 2015 walikuja na ilani nzuri na ya kupendeza Wakati wa kampeni, baada ya kushinda uchaguzi bwana yule alitupilia mbali ilani ile na kifanya jinsi alivyoona yeye inafaa na jinsi alivyotaka yeye...
  15. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya uchaguzi na CCM wainajisi katiba, Deo Mwanyika hastahili kuteuliwa wala kugombea ubunge kwa sababu ya kesi ya kukwepa kodi

    Tuweke rekodi sawa, Deo Mwanyika alihukumiwa kwa kukwepa kodi. Michango ya NSSF ya Deogratius Mwanyika, aliyekuwa Rais wa migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, imelazimika kulipa sehemu ya fidia ya makubaliano maalum kwa Serikali baada ya kukiri kufanya makosa. Fedha kiasi...
  16. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Job Ndugai asema CCM inahitaji 2/3 ya wabunge ili tuamue chochote kinacholetwa na Serikali

    "Mimi kama Spika katika demokrasia ya Kibunge suala siyo ujuzi wa kusema na kupanga hoja, ni muhimu sana Wabunge wa @ccm_tanzania wakazidi theluthi mbili ya Wabunge wote ili tuweze kuamua jambo lolote linaloletwa Bungeni na Serikali yetu" - Spika Ndugai. #UzinduziKampeniCCM...
  17. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hitaji la katiba ya JMT ibara ya 98, kifungu kidogo cha 1(b) ndiyo sababu kuu ya kuenguliwa wagombea ubunge wa ACT Wazalendo, Pemba

    Mada ya uzi huu si ngeni kwetu sisi Watanzania. Nina uhakika wengi (kama si wote) tunaIfahamu vyema hii kitu lakini ni wakati muafaka kuweka msisitizo hususani kutokana na mazingira tuliyo nayo sasa kuhusiana na mwenendo wa teuzi za wagombea urais, ubunge na madiwani kwenye uchaguzi wa mwaka...
  18. Sijijui

    JamiiForums Tanzania Katiba yetu ya 1977 na uchaguzi wa 2020

    Katiba Yetu inaweza ikawa na mapungufu mengi, katiba hii hii pamoja na mapungufu yake mengi, Mwinyi, Mkapa na Kikwete waliilinda hata kama chaguzi za wakati huo zilikuwa na makando kando lakini hayakuwa Kama haya ya leo. Lakini pia rais aliyeapa kuilinda, kuitetea na kuihifadhi katiba...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania/Dunia ya leo Katiba kuruhusu Darasa la Saba kuwa Mbunge ni aibu kwa Taifa

    Sina nia ya kuwadharau wale wenye elimu ya Darasa la Saba ila ninaandika haya kwa kuzingatia nafasi ya uwakilishi wa Jimbo na unyeti wa nafasi hii. Dunia/Tanzania ya leo siyo ile ya miaka ya 60s. Tunahitaji mabadiliko makubwa katika nyanja zote ikiwemo katika nafasi za ubunge. Mbunge ni mtu...
  20. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Kuna siri Seif na Mbowe kuhusu kudai Katiba Mpya

    Kwa mawazo yangu ukitaka kuvunja muungano basi uwe na Serikali ya Tanganyika yenye madaraka ya ndani makubwa sawa na ile ya Zanzibar. Ukifanya hivyo utabakia na serikali ya muungano yenye kudhibiti Wizara chache hazizidi kumi. Serikali ya muungano itakuwa dhaifu tegemezi. Kama tanganyika...
Back
Top Bottom