katiba

  1. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wangu, msione sifa kuikanyaga Katiba na mkidhani hatuna la kuwafanya. Mkumbukeni Mangungo kwa tafakuri

    Hakika tumeshuhudia mengi katika kipindi hiki kifupi viongozi wetu wakitenda hili na lile kwa faida ya nchi yetu, lakini pia wakitenda hili na lile kwa fedheha ya nchi yetu. Ni kipindi ambacho baadhi ya viongozi wa kisiasa wamekuwa na nguvu kushinda katiba ya nchi wanayo apa kwayo kuilinda...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kuanzia leo Disemba 06, 2020. ===== Taarifa kwa vyombo vya Habari Kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka...
  3. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Nani anavunja Katiba ya nchi? Nani wa kusema? Na adhabu yake ni ipi na nani wa kutoa adhabu hiyo?

    NANI ANAVUNJA KATIBA YA NCHI? NANI WA KUSEMA? NA ADHABU YAKE NI IPI NA NANI WA KUTOA ADHABU HIYO? Katika Ulimwengu huru, unaojali na kuheshimu haki na demokrasia; viongozi walioapa kuilinda Katiba ya Nchi huiheshimu sana na ikitokea wameivunja adhabu yao ni kujiuzuru mara moja! Wananchi na...
  4. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ndugai avuliwe U-spika wa Bunge, kutokana na kuikanyaga Katiba ya nchi kwa kung'ang'ania kuwakumbatia wabunge wa viti maalum wa Chadema

    Tunajua kuwa sheria mama ya nchi hii ni Katiba ya Jamhuri wa Muungano, 1977, ambapo kila mwananchi anapaswa kuiheshimu na kuitii. Viongozi wakuu wa serikali wanaapishwa kwa kuilinda Katiba hiyo kabla hatujawakabidhi madaraka hayo. Katika kile tunachokiona watanzania kwa sasa kuona viongozi...
  5. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula kuongoza matembezi ya hiyari kuhamasisha Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    ASKOFU KUONGOZA MATEMBEZI YA HIARI YA RAIA KUHAMASISHA UUNDAJI WA TUME HURU YA UCHAGUZI NA UANDIKAJI WA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA! Wapendwa Watanzania! Tunapenda kuwajulisha kuwa Askofu Mwamakula, anakusudia kuongoza Matembezi ya Hiari ya Raia yasiyopungua umbali wa Kilometa 15 katika Mikoa...
  6. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Wananchi (CUF) kuzindua kongamano la kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi Desemba 20, 2020

    CUF CHAMA CHA WANANCHI Desemba 20,2020 kitazindua rasmi kongamano la kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kongamano hilo litafanyika katika ofisi kuu ya chama BUGURUNI . MWANACHI, MWANACHAMA WA CUF WOTE MNAKARIBISHWA.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je, kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA Halima Mdee ni Mwanachama au siyo Mwanachama wa CHADEMA?

    Kufuatia kusudio la Halima James Mdee na wenzake 18 la kukata rufaa Baraza Kuu la CHADEMA wakipinga maamuzi ya Kamati Kuu ya kuwavua uanachama, kwa sasa hadhi yao ikoje? Ni wanachama wafu ambao Baraza Kuu linaweza kuwafufua au siyo wanachama na kwahiyo siyo Wabunge? Naomba vifungu vya Katiba...
  8. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Endapo kuna mtu au kikundi cha watu kipo juu ya Sheria na Katiba, basi Taifa halipo huru

    Wanajamvi, Kama kwenye Taifa kuna mtu au kikundi cha watu ambao wako juu ya Sheria na Katiba, basi Taifa hilo siyo huru. Bali litakuwa linaongozwa na kundi hilo. Ngoja kitu kimoja tulivyokuwa wajinga kama Taifa. Na ujinga siyo tusi, maana unafutika, ila ni adui mkubwa wa maendeleo tokea...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Ukombozi la kudai Katiba mpya Tanzania

    Uzinduzi wa Kongamano la kuanzisha mchakato wa kudai katiba mpya litafanyika tar 20/12/2020
  10. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai aburuzwe Mahakamani kwa kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Sakata linaloendelea kati ya Spika Ndugai, CHADEMA na wale Wabunge 19 waloapishwa kinyume cha Katiba ni aibu kwa Tanzania. Ili kukomesha huu upuuxi wa Spika Ndugai CHADEMA lazima ifungue kesi Mahakamani haraka sana ili sheria ichukue mkondo wake. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko...
  11. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai, kinachotakiwa ni kufuata katiba sio hisia zako

    Nimekusikia Spika Ndugai ukisema kina Mdee, Bulaya na matiko wameteseka kwa ajili ya Mbowe halafu Mbowe anawafanyia hiyana kwa kuwafukuza chama ili watoke bungeni. Eti Mdee alivunjika mkono kwa kumtetea Mbowe. Nimeshangaa sana huo uzalendo wa hao kina mama inawezekana ni kwa mahaba ya mapenzi...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kwani Tanzania ipo vitani? Au kuna hali ya hatari?

    Wanazuwoni na magwiji wa Sheria Mimi naomba kuuliza kwani nchi ipo ktk hali ya hatari? Au kuna tamko la nchi Kuwa ktk hali ya hatari? Je Rais anaweza kuiweka nchi ktk hali ya hatari bila kutangaza ktk umma? Why I'm asking? Kuzima mitandao ya SIM na Uhuru wa kuwasiliana ni moja ya mambo...
  13. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Nchi hii kuna kitu hakipo sawa. Haiwezekani Katiba ya nchi haiheshimiwi, inakiukwa hovyo hovyo tu!

    Nichukue fursa hii kuwaambia watanzania kwamba huenda future yetu si nzuri sana. Hii ni kwa tafsiri ya kwamba pasipo na haki popote amani haiwezi kupatikana. Kama ipo amani ni ya kulazimisha tu kwa maana ya uvumilivu. Haiwezekani mtu anaamka anaamua kuvunja katiba ya nchi makusudi kabisa kwa...
  14. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai awaapisha Humphrey Polepole na Riziki Lulida. Asema Bunge linawatambua Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofutiwa uanachama CHADEMA

    Spika wa Bunge Job Ndugai leo November 30,2020 atawaapisha Wabunge wawili walioteuliwa na Rais Magufuli, Wabunge hao ni Humphrey Polepole ambaye ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM na Riziki Said aliyekuwa Mbunge Viti Maalum katika Bunge la 11 kupitia CUF. Shughuli za uapisho zitafanyika...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Je, kuna haja ya Spika Ndugai kumjibu Mbowe juu ya tafsiri halisi ya Katiba na Kanuni kuhusu kiapo cha mbunge?

    Spika Ndugai alisema kanuni za bunge zinaruhusu mbunge kuapishwa nje ya ukumbi wa bunge jambo muhimu ni lazima mbunge aape mbele ya Spika wa bunge. Mwenyekiti wa Chadema ambaye ni mbunge mstaafu na pia alikuwa mjumbe kwenye kamati ya kanuni amesema kanuni ile inakwenda kinyume cha katiba...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

    Natabiri ya kuwa jaribio lolote la kubadili katiba na kurefusha ukomo wa Rais litazua Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili. Yani hamtoamini wala kudhania. Itakuwa ni siku mbaya na nzito kwa Taifa ndipo sote tutaamini kweli kuna deep state in side state. Nasali...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Siamini kama Halima Mdee anaijua Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania kumzidi Mzee Msekwa aliyeiasisi katiba hiyo mwaka 1977

    Watu wenye akili wanaelewa wazi kuwa Halima James Mdee kuendelea kubishana na kamati kuu ya CHADEMA ni kupoteza muda wake bure kwa sababu swala hili limeshafika mwisho Binafsi nimemuelewa Spika mstaafu wa Bunge ambaye sahihi yake imo kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nimeona...
  18. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati wa kusimamia misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Taifa letu tangu limepata uhuru limekuwa likitawaliwa kwa misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sheria za nchi yetu Ndio maana hatuoni nchi hii ikiendeshwa kwa presidential decrees au ubabe na udikteta. Tulishuhudia bunge la kumi jinsi lilivyoweza kuiadhibu serikali kwa...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Pius Msekwa: Kwa mujibu wa Katiba, mpaka sasa Halima Mdee na wenzake hawana sifa za kuwa Wabunge

    Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa Halima Mdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa Wabunge kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao. Kauli hiyo ameitoa hii...
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya Wabunge au ukumbi wa Bunge

    Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge. Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni. Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya...
Back
Top Bottom