katiba

  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania GE2020 Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania

    Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020. UTANGULIZI Ugonjwa wa Korona – COVID-19 Sote Tunafahamu kuwa nchini mwetu na Dunia kwa ujumla kumekuwepo na taharuki kubwa ya Ugonjwa wa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania CCM kuweka mabadiliko ya Katiba kwenye ilani ya 2020-2025 wanalenga tupate Katiba ya wananchi au ya watawala?

    Chama Cha mapinduzi kinakusudia kuja na agenda ya katiba mpya kwenye ilani,je kwa sheria iliyopitishwa juzi bungeni ya kuwawekea kinga ya kuishtakiwa viongozi wa mihimili tunategemea katiba iletwe na CCM?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Msajili: Mikutano ya Vyama vya Siasa inaratibiwa na Jeshi la Polisi kwa mujibu wa Katiba

    Ni katika kipindi cha Kipima Joto mubashara ITV Msajili Msaidizi Nyahoza amesema Msajili hausiki na uratibu wa mikutano ya kisiasa bali jukumu hilo ni la Jeshi la Polisi na ndio wanaopaswa kulitolea maelezo au elimu. Maendeleo hayana vyama
  4. I

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu: CCM ya sasa haiheshimu Katiba

    Mheshimiwa Lazaro Nyalandu yupo mubashara Wasafi FM. Anasema CCM aliyoiacha si ile ya Mwalimu Nyerere. CCM ya sasa haiheshimu Katiba ya Jamhuri wala katiba ya chama chao. Anasema akiwa Rais wa Jamhuri, pamoja na mambo mengine mazuri, atahakikisha nchi inapata Katiba mpya. Anasema atahakikisha...
  5. Dam55

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli ni kwamba Uchaguzi 2020 ni wa upande mmoja, hakuna ushindani, tunakwenda kutimiza matakwa ya Katiba tu

    Kwa kifupi kabisa ni kwamba tunakwenda kwenye Uchaguzi ambao mshindi tayari anajulikana. Ninasema haya kwasababu zifuatazo. 1. Kukubalika kwa Rais Magufuli kwa watanzania walio wengi (hili liko wazi na halina ubishi) Watanzania wanampenda sana huyu mtu na hawapo tayari aondoke Ikulu mapema. 2...
  6. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

    1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU! 2/ Kwa kusema...
  7. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Chama cha ACT-Wazalendo chapokea 21 waliokuwa Wabunge wa CUF

    Salaam Wakuu, Leo Muda si Mrefu, Viongozi Wakuu wa Chama cha ACT Wazalendo kitaongea na Wananchi na Dunia kwa Ujumla. Ni tukio kubwa haijawahi kutokea. ====== UPDATES: 1048HRS: Kwa sasa ni Burudani inaendelea 1100HRS: Viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo wanaingia Ukumbini wakiongonzwa na Zitto...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wadau mbalimbali watoa maoni kuhusu Bunge la 11 lilivyokuwa. Wengine wasema lilikiuka sana Katiba na kuibeba Serikali badala ya wananchi. Wewe je?

    Mchambuzi wa masuala ya Katiba, Sera, Siasa na Maendeleo ya Watu, Mcheleli Machumbana, alisema kwa miaka mitano ya Bunge la 11 lilikuwa na upitishaji wa sheria zinazokinzana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. “Kwa mfano Bunge limeweka kinga ya kupindukia kwa viongozi wakuu wa nchi...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tume Huru, Mgombea Huru na kumbukumbu ya Kuzaliwa TANU

    TUME HURU na MGOMBEA HURU 2020 ni mwaka wa Uchaguzi. Kama huchaguliwi basi unachagua. Kama hupigiwi kura na hupigi kura lazima kuna sababu inayokuzuia. Kuna watu wengi wanaruhusiwa kupiga kura lakini hawaruhusiwi kupigiwa kura. Wana haki ya kuongozwa tu lakini hawaruhusiwi kuongoza. Katiba...
  10. WilsonKaisary

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kuitafsiri na kuisoma Katiba

    Kuomba msaada wa kujua Jambo naamini si ujinga. Kwenye katiba kuna kitu kinaitwa ibara na sheria ndogo za mwaka Fulani. 1: Ibara Ni Nini? Na ibara za katiba zinapatikana wapi? >>Ibara ndogo Ni Nini na zinapatikana wapi? 2: Sheria ndogo Ni zipi na zinapatikana wapi? Na kwenye katiba, unakuta...
  11. Mystery

    JamiiForums Tanzania Wakati Umma wa watanzania unatamani tuwe na Katiba mpya iliyoboreshwa, watawala wao wanaendelea kututungia sheria za ukandamizaji!

    Kilio cha muda mrefu cha Umma wa watanzania ni tuwe na Katiba mpya ya nchi ambayo itakuwa imepanua wigo wa demokrasia na kuleta utawala bora, ambao ni utawala wa sheria Ndiyo maana katika vitu ambavyo Rais aliyepita, Jakaya Kikwete, angeingia katika rekodi za kutukuka ni kama angefanikiwa...
  12. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Warusi wengi waunga Mkono mabadiliko ya katiba

    Rais wa Urusi Vladmir Putin amesema Warusi wengi zaidi wameunga mkono mpango wake wa mabadiliko ya katiba ili kumpa mwanya wa kubakia madarakani, Putin amesema Raia wengi nchini humo wamekubali mpango huo ambao utamwezesha Putin kusalia kwenye kiti cha Urais
  13. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha Marais & vyama vingi ndio sababu pekee ya kukua kwa uchumi wa Tanzania

    Pamoja na mambo mazuri mengi ambayo Mwalimu Nyerere aliyeyafanya ambayo pengine hayatakuja sahaulika hata kizaizi na kizaizi lakini Tanzania imerudi nyumba sana kipindi cha Mwalimu Nyerere kutokana na kukaa muda mrefu madarakani. Laiti kama Nyerere angeachia madaraka mapema na kuruhusu vyama...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Watanzania mniombee ili nimalize vizuri kipindi changu cha uongozi kama ilivyo kwenye katiba baada ya hapo niwaachie wengine

    Hizi ni kama salamu kwa Ndugai na wale wengine wenye nia ya kubadilisha Katiba ili kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani. Leo jijini Dodoma katika sherehe za uzinduzi wa wa barabara katika mji wa kiserikali yenye urefu wa kilomita 51.2, pamoja na uzinduzi wa Jengo la ofisi za TARURA mji wa...
  15. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Kusema hakuna mtu wa kuvaa viatu vya Urais baada ya Dkt. Magufuli ni kukosa akili

    Kuna watu wataleta nyuzi za kishamba sana eti haoni mtu wa kuvaa viatu vya Urais baada ya miaka 5 au 10 ya Dr Magufuli. Sisemei Dr Magufuli hajafanya kazi , la hasha, Kajitahidi na kachapa kazi ila Tanzania ina watu mil 58 , naamini kuna watu Zaidi ya mil 1 wanaoweza kufanya vizuri kwenye kiti...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Katiba ipo ili iwafae watu na si kinyume chake

    Yahusu Mabadiliko ya katiba. Ikiwa kipo/vipo vifungu vya katiba ambavyo havitufai kwa mahitaji ya nyakati, tunaweza kabisa kunyofoa vifungu hivyo tukabandika vifungu/kifungu ambacho kitatufaa. Sioni sababu ya msingi kung'ang'ania na kushupaza shingo juu ya kifungu...
  17. Dr Akili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ona katiba mpya ya Kenya inavyowatesa Wakenya

    Kamwe fahari wawili hawawezi kaa zizi moja. Katiba yao mpya iliweka fahari zaidi ya watatu katika zizi moja. Ona sasa mambo ya utawala wa nchi unavyokuwa mgumu.
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

    Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
  19. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Jeshi awaagiza askari walinde Katiba juu ya maandamano na sio kumlinda Trump na kauli zake

  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria: Rais, Makamu wake, Jaji Mkuu, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge kutofunguliwa kesi Mahakamani

    MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamepinga muswada wa sheria wa marekebiaho ya sheria mbalimbali nchini namba 3 wa mwaka 2020. THRDC na LHRC wametoa tamko la kupinga muswada huo leo Alhamisi tarehe 4 Juni 2020 mbele...
Back
Top Bottom