Msemaji wa serikali ametolea ufafanuzi wa mambo mbalimbali ikiwemo uchaguzi wa serikali za mitaa, haki za binadamu na kustaafu kwa CAG.
Dr Abbas amesema ukiachalia mbali CAG hata Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania amewekewa kanuni zinazombana na kumuongoza katika utendaji wake wa kila...
Ki ukweli mimi si mwanasheria, na sina taaluma yoyote ya uanasheria zaidi ya kusoma intro ya sheria wakati nasoma masters, ila ili suala la katiba na elimu yangu yote nimekuja kujua umuhimu wa kuwa na katiba imara katika awamu hii ya tano.
Nilikuwaga nasikia watu mbalimbali wakilalamikia...
Maneno mengi sana yanasemwa nchini kuwa mara nyingi Rais Magufuli anavunja katiba ya Jamhuri ya Tanzania kwa makusudi. Nakiri kuwa hata mimi kuna wakati nilishazungumzia hilo.
Baadae nilijiuliza ikiwa mimi ningekuwa ndio Magufuli, nikijua ninaweza kuvunja katiba kimakusudi na hakuna utaratibu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Novemba 4, 2019 kuanzia majira ya saa tatu na nusu (3:30) asubuhi atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni
Wanaoapishwa ni pamoja na;
1. Charles Edward Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
Ali Bongo amepata stroke na alikuwa kwenye matibabu kwa takriban miezi 18. Sasa hivi anajitahidi kuwashawishi raia wake kuwa anaweza kusimama tena katika uchaguzi ujao.
Kebehi nyingi sana zilimuendea Tundu Lissu kuwa hawezi kuwa mgombea wa urais kwakua ni 'kilema'. Ikitokea rais aliyeko...
Kwa haya machache tunayoyaona, Rais wetu anavunja taratibu na kanuni waziwazi, vipi kwa tusiyoruhusiwa kuona? Tutazame haya machache:
1. Nafasi 10 alizopewa kuteua wabunge alivunja katiba tukapiga kelele mmoja akajiuzulu kisha kupewa ubalozi. Hata hivyo kujiuzulu kwa huyo mmoja hakukumoondolea...
Habari zenu wakuu,
Hivi karibu kuna Mkulima alienda Mahakamani hapa Tanzania ili kuomba Katiba ibadilishwe ili rais Magufuli aendelee kutawala ili amalizie Miradi yake aliyoianzisha.
Rais Magufuli kafanyia makubwa hii nchi kwa kipindi kifupi.
Je hawa marais waliobadilisha katiba zao...
Wakuu mimi nashauri tui"shape" vizuri vizazi vijavyo vya JMT kwa kuwafundisha katiba na sheria za nchi na umuhimu wake. Hii itawasaidia watoto kuelewa vizuri hata wakiwa watu wazima, mithali inatufundisha hivyo.
(A) Itawasaidia watoto wetu kuelewa:
1.wakati wa kusema mambo fulani yahusuyo...
Watanzania tusikubali propaganda za kijinga hizi.!!! Tamko la bunge La ulaya lina hoja nyingine zaidi ya 14 tofauti na ushoga, watu kupigwa risasi na kukosekana uchunguzi,watu kupotea na kukutwa kwenye viroba,sheria ngumu ya mitandao,chaguzi na wapinzani kunyanyaswa,kufunguliwa kesi za kisiasa...
Kongamano linaanza saa 3:00 asubuhi hii.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ni Mshiriki Maalum kwenye Kongamano hilo. Watoa Mada ni Wanazuoni wabobezi katika masuala ya Uchumi, Siasa ya Uchumi,Siasa ya Jamii, Sheria n.k
John Pombe Joseph Magufuli - Tanzania...
Alliance for Change and Transparency-Tanzania Maoni ya ACT-Tanzania kuhusu namna ya kutoka katika mkwamo uliopo katika mchakato wa Katiba Mpya.
1. Nchi yetu iliingia katika mchakato wa Katiba kwa kushirikisha wananchi wote ili kupata Katiba bora yenye kuakisi matakwa ya nchi kwa sasa na...
Wanabodi,
Uendeshaji wa vyama vya siasa nchini, unaongozwa na sheria, taratibu na kanuni. Ikithibitika pasipo shaka kuwa chama fulani, kinakiuka sheria, taratibu na kanuni, kinapaswa kuwajibishwa, kuadhibiwa hata kufutwa, kutegemeana na tuhuma halisi!.
Miongoni mwa masharti ya usajili wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.