katavi

The Katavi mouthbrooder (Haplochromis katavi) is a species of cichlid fish endemic to Tanzania where it is found in the Lake Rukwa drainage. This species can reach a length of 9.9 centimetres (3.9 in) TL.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Mlele (Katavi) amewataka wavamizi katika Milima ya Lyamba Lyamfipa kuondoka haraka

    Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi amewataka Wananchi wanaofanya shughuli za Kibinadamu katika Milima ya Lyamba Lyamfipa kuondoka haraka kwani milima hiyo ndio yenye uoto wa asili na kutunza vyanzo vya maji. Kauli hiyo ya Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Majid Mwanga imetolewa katika Kata ya...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Katavi: Kaya 17 zakabidhiwa msaada baada ya kuathirika na mafuriko

    Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali hapa nchini zimeendelea kuleta madhara makubwa ndani ya jamii ambapo mnano tarehe 02 mwezi huu kaya zaidi ya 17 katika Mtaa wa Msufini Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi ziliathirika na mafuriko ambapo baadhi ya nyumba zilianguka na wengine...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Katavi: Watuhumiwa 121 wanaswa na Jeshi la Polisi kwa makosa mbalimbali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limewatia mbaroni watuhumiwa 121 kwa makosa mbalimbali ikiwemo wizi, uzururaji, mauaji na uvunjifu wakiwa na vielelezo vya tuhuma hizo. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi, ACP Kaster Ngonyani amesema katika misako mbalimbali inayoendelea katika mkoa huo...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Viongozi wa Elimu watakiwa kupandisha kiwango cha uandikishaji wa Wanafunzi

    Viongozi na Wadau wa Elimu Mkoa wa Katavi wametakiwa kuhakikisha kila mtoto mwenye sifa za kuanza darasa la kwanza anaandikishwa haraka ili aweze kuanza masomo Januari 2024. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuf wakati akimwakilishi Mkuu wa Mkoa wa Katavi wakati wa kikao...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Katavi: Wananchi Wilayani Tanganyika wamlilia Mkandarasi kuchelewesha barabara

    Wananchi wa Kijiji cha Luhafwe iliyoko Kata ya Tongwe Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wamemuomba mkandarasi anayetekeleza ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami inayoanzia Kijiji cha Vikonge hadi Luhafwe kukamilika kwa wakati uliopangwa ili waanze kunufaika nayo. Kolita...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Mpanda walalamikia Jeshi la Polisi jinsi linavyoendesha Oparesheni zake

    Baadhi ya Wafanyabiashara katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamelilalamikia Jeshi la Polisi kwa namna linavyoendesha oparesheni zake za kusaka waharifu ambapo katika siku za hivi karibuni baadhi ya Wananchi wamekuwa wakipigwa na jeshi hilo hasa katika nyakati za jioni na kuleta hofu kwa...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Moto Wateteketeza Bidhaa za Wafanyabiashara Karibu na Soko Kuu Katavi

    Moto mkubwa umeibuka katika maeneo ya karibu na soko kuu lililoko manispaa ya Mpanda mkoani Katavi na kuteketeza mali zinazotajwa kuwa na thamani ya Shilingi milioni tano ambapo jeshi la zimamoto na uokoaji limefanikiwa kuuzima moto huo. Shabani Hassani ni shuhuda wa kwanza kuuona moto huo na...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Watu wawili wauawa kwa kuchinjwa kisa wivu wa mapenzi

    Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni wapenzi Katalina Juma (21) na Athanas Alyen ( 23) wakazi wa Kata ya Kabungu, Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wamekutwa wakiwa wameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali, huku chanzo kikidiwa ni wivu wa mapenzi. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Oktoba...
  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Katavi: Chongolo, amebaini kusimama Kwa mradi wa skimu ya umwagiliziaji kutokana na uchakavu wa miundombinu

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ,(CCM), Daniel Chongolo, amebaini kusimama Kwa mradi wa skimu ya umwagiliziaji kutokana na uchakavu wa miundombinu uliokithiri, mradi huo upo katika Kata ya Ugalla Kijiji cha Katambike, mkoani Katavi. Chongolo amesema mradi huo haufanyi kazi tangu mwaka 2007...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki Ataja Muarobaini wa Kumtua Mama Ndoo Kichwani Katika Ziara ya Chongolo Mkoa wa Katavi

    MBUNGE MARTHA MARIKI ATAJA MUAROBAINI WA KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI MKOA WA KATAVI KATIKA ZIARA YA CHONGOLO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki ameshiriki katika ziara ya Katibu Mkuu CCM, Ndugu Daniel Chongolo katika Mkoa wa Katavi iliyolenga kukagua utekelezaji wa...
  11. vnn

    JamiiForums Tanzania KATAVI: Walimu Zaidi ya 200 Waandamana ofisi za CCM kudai Haki yao ya kupandishwa madaraja

    Takriban walimu 200 wa shule za msingi na sekondari Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameandamana mpaka Ofisi ya Mkoa ya Chama cha Mapinduzi wakiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya upandishwaji wa madaraja ya mshahara baada ya kukaa kwa muda mrefu katika utumishi bila kupata stahiki hiyo...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki Achangia UWT Milioni 2 na Mifuko 60 ya Saruji Ujenzi Nyumba za Makatibu UWT Wilaya ya Mpanda na UWT Mkoa wa Katavi

    MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa Shilingi Milioni 2 na Mifuko 30 ya Simenti kwaajili ya Kusaidia Ujenzi wa Nyumba za watumishi wa UWT Wilaya ya Mpanda na UWT mkoa wa Katavi. Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa Shilingi Milioni 2 na Mifuko 30 ya...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Festo Mariki Ahitimisha Ziara na kugawa Milioni 29 Katika Kata Zote 58 za Mkoa wa Katavi

    MBUNGE MARTHA FESTO MARIKI AHITIMISHA ZIARA NA KUGAWA MILIONI 29 KATIKA KATA ZOTE 58 MKOA WA KATAVI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki amehitimisha ziara yake ya kutembelea Kata 58 za Mkoa wa Katavi katika Kata ya Majimoto na Kasansa zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki Atoa Zaidi ya Milioni 4 Kusaidia Ujenzi wa Ofisi za CCM Wilaya - Katavi

    Mbunge Martha Mariki Atoa Zaidi ya Milioni 4 Kusaidia Ujenzi wa Ofisi za CCM Wilaya - Katavi MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Mariki ametoa Mifuko 50 ya Simenti kwaajili ya Kusaaidia Ujenzi wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi [CCM] Wilaya ya Mlele. Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT

    Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT. WABUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi wametoa shilingi Milioni 6 Kwaajili ya kusaidia Maendeleo ya Chama na Jumuiya ya UWT ili kuhakikisha Chama na Jumuiya ya UWT zinaendelea kuimalika. Wabunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania KATAVI: Wananchi walia upandishwaji nauli kiholela

    Wanachi mkoani Katavi, wameiomba Serikali kuingilia kati tabia ya madereva wa vyombo vya usafiri mkoani humo kupandisha nauli bila kufuata utaratibu uliowekwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA). Tabia hiyo ya kupandisha bei inadaiwa kuanza siku za hivi karibuni baada ya serikali...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya Petroli na Dizeli yaadimika vituoni mkoani Katavi

    Shughuli za usafirishaji wa abiria kupitia usafiri wa pikipiki na bajaji mkoani Katavi zimesimama kutokana na ukosefu wa mafuta ya petrol na dizeli kwenye vituo vya kuuzia mafuta, hali iliyowaathiri madereva wa vyombo hivyo kukosa mahitaji ya familia zao. Wakizungumza na mwananchi leo...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki achangia Milioni 5 ujenzi zahanati ya Kajeje Kata ya Kanoge, Katavi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki tarehe 24 Julai, 2023 amefanya ziara katika Kata ya Kanoge Mkoa wa Katavi na kukabidhi Shilingi Milioni tano (5,000,000) kwaajili ya kuchangia Ujenzi wa Zahanati Jengo la Mama na Mtoto katika Kijiji cha Kajeje Kata ya Kanoge. Aidha...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Katavi Wamshukuru Rais Samia kwa Huduma ya Maji

    MHE. MARTHA MARIKI - WANANCHI WA KATAVI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA HUDUMA YA MAJI Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ameishukuru serikali kwa kuwaletea Huduma ya Maji safi na Salama wa kazi wa Kata ya Mwamkulu Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi. Mhe. Martha Mariki Akiwa katika...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki Achangia Milioni 29 Kuinua Uchumi wa Wanawake Mkoa wa Katavi

    MHE. MARTHA MARIKI ACHANGIA MILIONI 29 MAKUNDI YA AKINA MAMA MKOA WA KATAVI ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki ameendelea na ziara yake katika Kata mbalimbali za Mkoa wa Katavi huku akikabidhi Shilingi Milioni 29 za kuwawezesha wanawake...
Back
Top Bottom