katavi

The Katavi mouthbrooder (Haplochromis katavi) is a species of cichlid fish endemic to Tanzania where it is found in the Lake Rukwa drainage. This species can reach a length of 9.9 centimetres (3.9 in) TL.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Katavi kuna ongezeko la matukio ya ukatili wa kijinsia kwa 12.5%

    Kamanda wa Polisi Mkoa, ACP Ali Makame amesema ongezeko hilo ni kuanzia Januari hadi Septemba 2022 ambapo kulikuwa na matukio 270 ya ukatili kulinganisha na 240 yaliyotokea mwaka 2021. Ametaja sababu zinazoongeza matukio hayo ni pamoja na tatizo la Afya ya Akili na kupungua kwa utoaji elimu juu...
  2. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Taa za disko zafungwa Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU) Katavi

    Wadau Katika pita pita zangu nimekuta na hii habari, binafsi siamini kama kweli Watendaji wa Serikali ya Katavi wamelikalia KIMYA suala hili hebu tusubiri tuone kama kuna Uwajibikaji kwa Wahusika au Mpaka Waziri Mkuu atoke Japan aende Katavi. ==================== Taa za disko zafungwa ICU...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Katavi: Watumishi 4 wasimamishwa kwa Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 300 za Ujenzi wa Hospitali

    Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko, ameagiza kusimamishwa kazi kwa watumishi wanne walioiingizia serikali hasara ya shilingi milioni 300, kwa kujenga majengo ya hospitali ya wilaya ya Nsimbo chini ya kiwango na fedha zingine kutokujulikana matumizi yake. Mrindoko amefikia hatua hiyo...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Katavi: Watumishi 4 wasimamishwa kwa Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 300 za Ujenzi wa Hospitali

    Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko, ameagiza kusimamishwa kazi kwa watumishi wanne walioiingizia serikali hasara ya shilingi milioni 300, kwa kujenga majengo ya hospitali ya wilaya ya Nsimbo chini ya kiwango na fedha zingine kutokujulikana matumizi yake. Mrindoko amefikia hatua hiyo...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mtendaji Katavi aliyeomba Rushwa ya 200,000 ahukumiwa miaka mitano jela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi imetoa hukumu katika Shauri la Jinai Na. CC. 72/2021 dhidi ya Florence Noel Malilo (Kaimu Afisa Mtendaji Kijiji cha Mapili, Halmashauri ya Wilaya Mlele). Mshtakiwa alishtakiwa kwa makosa ya kuomba na kupokea rushwa ya shs. 200,000...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Katavi: Afisa Ardhi ahukumiwa kwenda jela Miaka 2 kwa tuhuma za Rushwa

    Afisa Ardhi Msaidizi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda, Japhet Noberth MweziMpya, amehukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini ya TSH.200,000 kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya TSH. 70,000 Katika Hukumu hiyo ya shauri la jinai Na. CC. 90/2022 iliyotolewa Agosti 30, 2022 na Hakimu...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Katavi: Muongoza watalii ahukumiwa miaka mitatu jela kwa kuomba rushwa

    TAKUKURU mkoa wa Katavi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa, Agosti 24, 2022 imefungua shauri la jinai Na. CC. 95/2022 dhidi ya Elisha Christopher Mashamba ambaye ni muongoza watalii katika hifadhi ya misitu ya Tongwe East - Nkondwe Waterfalls Camp. Ameshitakiwa kwa makosa ya kuomba na...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Makarani wa Sensa Arusha, Katavi waporwa vishikwambi

    Makarani wawili wamejikuta katika wakati mgumu baada kuporwa vifaa vyao vya kukusanyia taarifa maarufu kama vishikwambi na vibaka. Tukio la kwanza limetokea jijini Arusha ambapo karani aliyetambuliwa kwa jina la Saraphia Kiwango ameporwa kishikwambi chake alipokuwa akielekea kuanza kuhesabu...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Katavi: Ashikiliwa na Polisi kwa kupanga njama za mauaji ya Mchepuko wa Mkewe mdogo

    JESHI la Polisi mkoani Katavi linamshikilia Machia Mbasa (65) kwa tuhuma za kudaiwa kulanjama za kujaribu kumuua Mabula Ntemange (37) huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Katavi Ali Makame Hamad, amesema tukio hilo...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA waliokabiliwa na kesi ya mauaji waachiwa huru Katavi

    Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Isengule Mkoani Katavi, Ocsar Sangu na wenzake watano ambao ni wafuasi wa CHADEMA waliokaa mahabusu kwa miaka minne wameachiwa huru baada ya kubainika hawana hatia Walikuwa wanakabiliwa na tuhuma za kuwaua wafanyabiashara waliokuwa wakinunua mazao katika Kijiji Chao...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Katavi: Wanaume wanaogopa kuwawezesha kiuchumi wake zao wanaamini watakuwa jeuri

    UMESIKIA ishu ya baadhi ya wanaume wa Kijiji cha Mapili Kata ya Ilela, Halmashauri ya Mlele mkoani Katavi? Kama hujasikia ipo hivi, kumbe wanatamani sana kuwawezesha wake zao kiuchumi, lakini wanashindwa kuwawezesha kiuchumi wakihofia wanawake hao kubadilika na kutowasikiliza wakiwa na kipato...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mila, desturi chanzo cha mimba na ndoa za utotoni

    Halmashari ya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi inadaiwa kukithiri kwa tatizo la mimba na ndoa za utotoni huku chanzo chake kikitajwa kuwa ni uwepo wa mila na desturi za baadhi ya makabila wanaoishi katika eneo hilo. Tatizo hilo limebainika wakati shirika lisilo la kiserikali la Marie Stopes...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Katavi: Idara ya TAMISEMI yalalamikiwa zaidi na Wananchi TAKUKURU

    Malalamiko 57 ya Rushwa yalifikishwa TAKUKURU Mkoani humo kati ya Januari - Machi 2022. Aidha, katika kipindi hicho Malalamiko mengine 4 ambayo hayakuhusisha Rushwa yalipokelewa Uchunguzi wa Majalada 55 bado unaendelea, na Majalada mengine mawili Uchunguzi wake ulikamilika na Watuhumiwa...
  14. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mganga alawiti watoto sita akiwapa matibabu

    Mganga wa kienyeji mkazi wa Majengo ya Mpanda mkoani Katavi, Akili Abakuki maarufu kama Jimmy (38) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwalawiti watoto sita wakati akiwapatia matibabu nyumbani kwake. Kaimu wa Jeshi la Polisi Mkoani hapo, Sylivester Ibrahim amesema mtuhumiwa...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Katavi: Wastani wa Watoto 9 ufanyiwa ukatili kila siku

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amezungumzia kuhusu matukio ya ukatili yanayotokea katika Mkoa huo, watoto wakiwa sehemu kubwa ya waathirika. Amesema matukio 887 sawa na 65.17% ya matukio 1,361 yaliyoripotiwa kuanzia Januari hadi Machi 2022 yalihusu watoto. Takwimu hizo zimeonesha...
  16. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Katavi: Wananchi wa Mishamo waomba kuwekewa minara ya simu, mawasiliano ya Radio

    Baadhi ya wananchi kutoka katika vijiji tofauti tofauti katika makazi ya Mishamo mkoani Katavi katika wilaya ya Tanganyika, wanakosa huduma muhimu za mawasiliano ya Radio na simu. Wanakijiji hao kutoka katika vijiji vya Mgansa, Isubangala, Bujombe na vijiji vingine jirani wamekuwa wakikosa...
  17. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Katavi : Shule ya Msingi ina walimu sita tu, Mawimbi ya Radio hayafiki .

    Shule ya msingi Ilangu. Iliyopo katika kata ya Ilangu wilayani Tanganyika inakabiliwa na upungufu wa walimu pamoja na vyumba vya madarasa. Siyajali Odasi ambae ni Makamu Mwenyekiti wa kijiji hicho amesema kuwa shule hiyo yenye wanafunzi zaidi ya mia tisa (900) iliyopo kijijini kwake ina walimu...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mke amkata Mume kwa panga kisha ajiua

    Mwanamke mkazi wa Kijiji cha Sibwesa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, Wande Emmanuel (30), amemjeruhi mumewe, Dotto Enosi (35) kwa kumkata na panga kichwani kisha na yeye kujinyonga kwa kutumia kitenge. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi, Ali Makame Hamad, alisema tukio hilo lilitokea...
  19. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania KATAVI: Bei za bidhaa zazidi kupaa hewani

    Unbelievable yaani mafuta ya kula ya Korea litre 10 ni 67000/= Unga wa ngano 25kg ni 44000/= Sabuni takasa box moja ni 17000/= Sukari 25kg ni 63000/= Soda zilianza kuadimika hata kabla ya vita Na hizo bidhaa zilianza kupanda hata kabla ya vita Mwaka jana mwezi kama huu wa tatu sukari pekee...
  20. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mume amuua mkewe, mwanaye kisa ugomvi wa gunia 60 za mpunga

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi linawashikilia watu wanne waliokiri kufanya mauaji katika matukio tofauti, akiwamo mmoja aliyemuua mke na mwanawe na kuitupa miili yao kwenye pori la Kalilankulukulu wilayani Tanganyika. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Machi 15, 2022 Kamanda wa...
Back
Top Bottom