katavi

The Katavi mouthbrooder (Haplochromis katavi) is a species of cichlid fish endemic to Tanzania where it is found in the Lake Rukwa drainage. This species can reach a length of 9.9 centimetres (3.9 in) TL.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata Boom Sprayer ya kukodishwa mkoa wa Katavi?

    Habari wadau, Natarajia kulima mahindi katavi mpanda kama ekari 300 kwa wazoefu naweza pata boom sprayer inayoendeshwa na trekta kwa kukodi. Na gharama zake zipoje
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Katavi awapa onyo Wanunuzi wa zao la Pamba

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvus Mrindoko amewataka wanunuzi wa zao la Pamba kuhakikisha wanalipa pesa za wakulima kwa wakati ili kuwafanya wakulima wa zao la pamba kutokata tamaa ya kulima zao hilo. Mrindoko ameyasema hayo wakati akizindua msimu mpya wa mauzo ya zao la Pamba katika Kijiji cha...
  3. Bob swagger

    JamiiForums Tanzania Playstation 3

    Naomba wajuzi wa machimbo ya playstation 3 mm nipo mkoani katavi naogopa matapeli
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi Katavi watakiwa kutokwepa kulipa kodi ya ardhi

    Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Katavi wameiomba serikali kuona namna bora ya kuwapunguzia wananchi Kodi ya ardhi na kodi ya jengo ambapi imekua mzigo kwa wananchi hao kulipa kodi mbili kutokana na serikali kukata fedha kupitia mfumo wa LUKU huku kodi ya ardhi ikitakiwa kulipiwa katika ofisi za...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Katavi: Barabara iliyofungwa kutokana na athari za mafuriko kuanza kutumika

    Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoani Katavi, Mhandisi Martin Mwakabende ameifungua barabara hiyo baada ya kufanyiwa ukaguzi na ukarabati wa Daraja la Stalike kuelekea Mkoani Rukwa. Barabara hiyo ilifungwa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko baada ya kujaa maji...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waathirika 4166 wa Mafuriko Katavi wapewa misaada yenye thamani ya Sh Milioni 113

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amepokea misaada ya waathirika 4166 ambayo imetolewa na Serikali pamoja na Wadau wa maendeleo. Naye, Katibu tawala wa mkoa huo, Albert Msovela amesema misaada hiyo ina gharama ya jumla ya sh milioni 113. Ikumbukwe kuwa mwezi uliopita naadhi ya maeneo...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania RC Katavi, Mwanamvua Mrindoko: Uzalishaji wa Chakula Mkoa wa Katavi Waongezeka

    RC KATAVI, MHE. MWANAMVUA MRINDOKO: Uzalishaji wa Chakula Mkoa wa Katavi Waongezeka UJUMBE WA RC KATAVI KWA WATANZANIA KUHUSU MAZINGIRA WAKATI WA MAAHDIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNANO. Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko ametoa wito kwa Wananchi wa Mkoa huo kutunza mazingira kwa wivu...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: TAKUKURU yabaini usimamizi mbovu katika miradi ya Serikali

    Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Katavi, Faustine Maijo amesema miradi inayotekelezwa na Serikali kwa manufaa ya Wananchi inashindwa kukamilika kwa wakati kutokana na baadhi ya Watumishi wa Serikali kushindwa kuisimamia ipasavyo. Maijo amesema Watumishi wa...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania RC Mwanamvua Mrindoko: Zaidi ya Trilioni 1.2 Zatolewa Kubadilisha Katavi Miaka Mitatu ya Rais Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko kwa kushirikiana na wakuu wa wilaya zote zilizopo ndani ya mkoa wa Katavi wameeleza mafanikio yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia Suluhu Hassan kwa kipindi cha miaka mitatu ya uongoziwake ambayo yameleta matokeo chanya...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mkoani Katavi imekamata Watuhumiwa 128, wamo wa Dawa za Kulevya, Gongo Lita 223

    Jeshi la Polisi mkoani Katavi imekamata Watuhumiwa 128 kwa makosa mbalimbali wakiwa na vielelezo vya makosa hayo. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi, Kaster Ngonyani amesema wamenaswa kupitia msako na doria ambazo zinaendelea kila wakati ili kuhakikisha usalama unaendelea kuwepo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe ndio maana Katavi na Sumbawanga wanaua. Kwanini uharibu maisha ya mtu?

    Yaani napalangana kuuza kangala na huku napiga kazi.. Kuna dada mmoja alinikuta kazini (Kapuni naliweka jina lake.) Aliponikuta kazini alikuja hajui kitu. Nikamfundisha kazi. Baada kujua kazi. Akabadilika akaanza kunichafua kwa mabosi. Asubuhi bosi akija anakuja amenuna. Ghafla nikaanza...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ashikiliwa kwa kukutwa na Koki 330 za bomba, mali ya Mamlaka ya maji Katavi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (MUWASA) Mpanda wamefanikiwa kumnasa Gaudensia Assenge (45) kwa kukutwa na koki 330 za bomba ambazo zinadaiwa ni mali ya wizi. Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Kaster Ngonyani amesema mtuhumiwa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Wanaume watakiwa kutembelea Watoto Vituo vya Yatima

    Shirika la Nyumba (NHC) limepeleka moyo wa mawingu katika kituo cha watoto yatima kilichopo Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi ambapo limetoa zawadi mbalimbali zenye thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni mbili. Afisa Habari wa Shirika hilo, Domina Rwemanyila amesema jukumu la kutoa zawadi kwa watoto...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Katavi: DC Mpanda aagiza mwekezaji kurudisha mto

    Wananchi wa Kijiji cha Mtisi kilichopo Kata ya Sitalike, Halmashauri ya Ndimbo Mkoani Katavi wamedai kukerwa na mwekezaji aliyewekeza katika machimbo yaliyo katika kijiji hicho ambapo mwekezaji huyo amehamisha mto ili shughuli yake iende kadri anavyotaka. Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuf...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Martha Mariki atoa mashuka 100 katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi

    Mbunge Martha Mariki Atoa Mashuka 100 Katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Mariki kupitia Chama cha Mapinduzi [CCM] Mkoa wa Katavi ametoa Shuka 100 kwaajili ya kuwasidia wagojwa katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi na Vituo vya afya...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Katavi: 18 wamekamatwa kwa kuuza sukari nje ya bei elekezi

    Wafanyabiashara 18 Mkoa wa Katavi wamekamatwa kwa kuuza sukari kinyume na bei elekezi ya Serikali ambapo katika mkoa wa huo sukari inapaswa kuuzwa kuanzia Tsh. 2,900 hadi 3,200. MrinMkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amewataka Wafanyabiashara kuzingatia maelejezo ya Serikali hususani...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Katavi: Wavuvi Nsimbo wameomba kurudishiwa pesa zao kukatiwa vibali vya uvuvi

    Wananchi waliokuwa wakifanya shughuli zao katika Mto Katuma ulioko Kata ya Sitalike, Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wameomba kurudishiwa pesa zao walizotoa kwa ajili ya kukatiwa vibali vya uvuvi ambavyo havikuainisha eneo rasmi ya kufanyia shughuli hiyo. Meleji Mollel ambaye ni Afisa...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: UCSAF yajenga Kituo cha Redio Mpimbwe

    Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) ambao ndio wafadhili wakuu wa kujenga vituo vya Serikali kupitia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamekamilisha ujenzi wa kituo cha redio ya jamii katika Halmashauri ya Mpimbwe Mkoani Katavi chenye thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni 200 ikiwa ni...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Madaktari Bingwa 18 kutoka Marekani kutua Hospitali ya Tanganyika

    Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi, Dkt. Alex Mrema amesema wanatarajia kupokea timu ya Madaktari Bingwa 18 kutoka Nchini Marekani kwa ajili ya kutoa huduma ya matibabu ya upasuaji ambapo itafanyika bila malipo (bure). Madaktari hao wanatarajia kufika tarehe...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Wananchi wacheleweshwa kulipwa fidia

    Baadhi ya wakazi wa Kata ya Shanwe, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameiomba Serikali kuwalipa fidia yao ambayo imetokana na kupisha mradi wa maji wa miji 28 unaotekelezwa katika Manispaa ya Mpanda. Wamesema kila wanapouliza kuhusu kulipwa fidia yao wanapewa majibu yasiyowafurahisha ambapo...
Back
Top Bottom