katavi

The Katavi mouthbrooder (Haplochromis katavi) is a species of cichlid fish endemic to Tanzania where it is found in the Lake Rukwa drainage. This species can reach a length of 9.9 centimetres (3.9 in) TL.

View More On Wikipedia.org
  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Katavi: Serikali waombwa kuingilia kati mgogoro wa ardhi, wadai wawekezaji wamepewa kinyume na utaratibu wa sheria

    BAADH ya wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi wameiomba Serikali ya Mkoa huo kuingilia kati mgogoro wa ardhi wa zaidi ya hekali 40 zilizopo katika Kitongoji cha Jelemanga "A" na "D"kijini cha Milala. Mgogoro huo uliodumu muda mrefu unatokana na baadhi ya wananchi kudai kuchukuliwa...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mwalimu wa Mafundisho akamatwa kwa kulawiti Watoto wanne

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limemkamata mwalimu wa mafundisho ya dini katika Kanisa la Katoliki Mpanda Mjini, Joseph John (27) akituhumiwa kuwalawiti watoto wanne. Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Februari 10, 2022 Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi ACP, Ally Makame...
  3. Hero

    JamiiForums Tanzania Barabara inayounganisha Tabora na Katavi inafanyiwa hujuma

    Pamoja na uzuri wa barabara ilivyojengwa, hivi karibuni mkandarasi alisimika mabango yenye tahadhari za usalama barabarani hasa sehemu hatarishi. Mabango hayo siyo TU yaliongeza ubora wa barabara bali ilikuwa msaada sana kwa watumiaji barabara hasa nyakati za usiku. Cha kushangaza sana...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Katavi: BAVICHA yasambaza moto wa Katiba Mpya kwenye vijiwe vyote vya Kahawa na Tangawizi

    Huu ndio Mtiti ambao hawa vijana wameamua kwenda nao kwa sasa, huku taarifa zikionyesha kwamba kila wanapoingia wanashangiliwa mno. Katavi yote inawaka moto wa Katiba Mpya. Kwa hali ilipofikia si rahisi tena kuzuia Katiba Mpya. Mungu ibariki Bavicha.
  5. BilioneaPATIGOO

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani nzuri ya mabasi ya kwenda sehemu hizi?

    Mpanda au Katavi, tushirikishane kampuni gani ya basi zuri la kwenda mikoa/wilaya hizo kutokea mkoa wa Dar es Salaam. Natanguliza shukrani.
  6. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu aweka rekodi ya kudumu Mikoa ya Kigoma na Katavi

    Wakati Taifa likielekea kupokea Jumla ya Mega Watt 2,115 kutoka kwenye bwawa la JNHPP kwenda kwenye gridi ya Taifa ya Umeme Kigoma na Katavi bado walikuwa wanaongelea habari za umeme wa sola na majenereta, Watu Wakigoma na Katavi ilikuwa ni hadithi ngeni kuwaambia watapokea mwekezaji...
  7. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Katavi University of Agriculture iliishia wapi?

    Katavi University of Agriculture (KUA) ilipata mpaka ithibati ya kutoa Shahada za Awali zaidi ya miaka 5 iliyopita, wakapewa mpaka Ardhi ya kuendeleza. Lakini yaliyobaki Ni historia. Kuna watu watafika Motoni wamechoka Sana aisee
  8. T

    JamiiForums Tanzania Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

    Ofisi ya taifa ya takwimu imetoa pato la kila mkoa nchini Tanzania, mkoa wa Dar es salaam wazidi kuongoza ukifuatiwa na Mwanza. Mikoa ya Katavi na Njombe imeshika mkia kwa kua na pato dogo sana ukilinganisha na mikoa mingine. Kwenye kumi bora kanda ya ziwa imeingiza mikoa 3, Mwanza, Shinyanga...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bashe: Rais Samia ametoa Sh700 milioni ujenzi skimu ya Usense mkoani Katavi yenye urefu wa 7.5km

    Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Rais Samia ametoa Sh700 milioni kwa ajili ya ujenzi wa skimu ya Usense na kuboresha uzalishaji wa zao la mpunga linalolimwa katika skimu hiyo iliyopo Kata ya Uruwira Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi. Naibu Waziri wa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Serikali: Watu zaidi ya laki 5 wamepata chanjo ya COVID-19, mikoa iliyofanya vizuri ni Katavi, Lindi na Mtwara!

    Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema hadi sasa watanzania zaidi ya laki tano wamepata chanjo ya covid 19 ambayo ni 51% ya chanjo zilizopokelewa. Mikoa iliyofanya vizuri ni Katavi, Lindi na Mtwara, amesema!
  11. zipompa

    JamiiForums Tanzania IGP sirro wawajibishe wakuu wa vituo vya polisi Katavi

    Wakuu salama, Kumeibuka wimbi la watoto wadogo miaka 15-17 kwa Dar wakiitwa panya road huku katavi wamekuwa na vikundi vya vijana hao (damu chafu, mazombi, watoto wa kaburi moja, fulldoz, avengers, changanyikeni), wakishirikiana na baadhi ya polisi wasio waaminifu kufanya vitendo vya kipuuzi...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Katavi: Polisi wawashikilia watu 9 kwa madai ya ujangili

    Katavi. Jeshi la polisi mkoa wa Katavi kwakushirikiana na kikosi maalumu cha askari wa Hifadhi za Taifa (Tanapa) kutoka makao makao Arusha wamekamata watu tisa akiwemo raia wa Burundi wakiwa na meno matatu ya tembo, bunduki aina ya AK- UC-0045-1988 ikiwa na magazine moja na risasi 28...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa ajili ya Freeman Mbowe yazidi kurindima, leo ilikuwa zamu ya Katavi

    Wananchi mbali mbali pamoja na waumini wa madhehebu ya Kikristo , leo wameangusha maombi mazito kwa ajili ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, aliyerundikwa Rumande kwa matakwa ya watawala waoga, kwa kesi ya uongo ya Ugaidi ili kumnyamazisha. Mbowe anakomolewa kwa sababu ya UZALENDO wake...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Katavi: RC ataka fedha zilizoibwa (Milioni 867) zirudishwe kabla ya Juni 30

    MKUU wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko ameamuru watumishi walioiba zaidi ya shilingi milioni 867 wawe wamezirudisha ifi kapo Juni 30, mwaka huu. Fedha hizo zinazodaiwa kuibwa kwenye halmashauri tano, zinakadiriwa kuweza kugharamia ujenzi wa vituo viwili vya afya. Mrindoko alitoa agizo hilo...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaokataa Chato isiwe mkoa, kuna swali moja kwenu

    Je, hawa Watu (wakimaanisha nyie wana JamiiForums) wanaokataa Chato isiwe Mkoa mbona Katavi (sasa Mkoa) Kijiografia ni Mdogo kuliko Chato na haina Miundombinu mizuri (hasa barabara) kama Chato lakini umekuwa Mkoa na wala hamkulalamika na kusema lolote ila kwa Chato Macho yamewatoka kama Bundi na...
  16. KAYAMASKINI

    JamiiForums Tanzania TRA Katavi acheni kujiona miungu watu

    Kwa tabia zilizopo TRA Katavi kwa wafanyabiashara si rafiki na kuridhisha unapokwenda TRA Katavi utadhani umekwenda kituo cha polisi, mikwara umekuwa mingi baada ya kuelimishwa na umekwenda kuwalipa kodi, hiki ndicho kinachofanya kuona kama usumbufu namna huduma zao. Wahusika angalieni mkoa huu...
  17. msovero

    JamiiForums Tanzania Je, Mkuu wa Mkoa Katavi apiga marufuku Walimu wa kujitolea?

    Ikiwa serikali inasema kipaumbele kwenye ajira 6000 zilizotangazwa na Rais, Samia kuwa ni walimu waliojitolea, mkuu wa mkoa wa Katavi bw. Juma Homera, amewahi kupiga marufuku walimu hao kufundisha katika mkoa wake na kudai Serikali inaajiri walimu kila siku. Msikilize kwenye video hapa chini...
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari waaibishwa kutoripoti uwanja wa ndege wa Katavi kuota nyasi na mmliki wa ambulance zilizokamatwa bandarini

    Uandishi wa uhakika huwezi kuwa rafiki na Mamlaka, Kuna siku moja Trump alikuwa anaishambulia CNN kwa Twitter kuwa badala ya kuitangaza vizuri Marekani na miradi yake ya kiuchumi chombo hicho kimekazana kupambana na Utendaji wa Rais na proganda zingine. Muda huo huo CNN wakamjibu Tena kwa...
Back
Top Bottom