Nina imani nitakuwa mkombozii Kwako kwa sababu nina uzoefu wa masuala yote ya kusajili biashara (kama kampuni au jina la biashara) kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako.
Huduma zitolewazo;
1. Kusajili Kampuni
2. Kusajili jina la biashara
3. Kuandaa memorandum and article of...
Kampuni ya Puma energies imetoa msaada wa vifaa vya ujenzi yenye thamani ya TSH 70 milioni kwa wananchi wa Hang waliokumbwa na janga la maporomoko ya udongo.
Sijaelewa Logic ya hii dhana ya wananchi wa Hang kumshukuru 'mama' wakati waliotoa msaada ni Puma energies. Mama amehusikaje hapo...
Heri ya Chrismas wakuu.
Visiting home for Christmas kula pilau kwa bimkubwa, nimekuta hii baiskeli kuna bwana mdogo—Uncle wangu yuko form one day school—ameifufua na anaitumia usafiri wa kwenda shule.
Kabla ya ujio wa pikipiki hizi za kichina, Pre–2009, Baiskeli hizi zilikuwa zinatumiwa sana...
Wale Wazee wa zamani watakubaliana na mimi kuwa kulikuwa na wakati ambapo moja ya runinga yako, kompyuta, redio au bidhaa nyingine muhimu za kielektroniki zingetengenezwa na Toshiba.
Hata hivyo, Kampuni hiyo kubwa ya Kijapani ya vifaa vya kieleteoniki ya KijapanoToshiba, iliyotawala kwa ubora...
Habari za mida wadau....
Kama kuna mtu mwenye kampuni, anaefanya kazi, anaejihusisha na mambo ya usafirishaji wa mizigo kuanzia bandarini mpaka kumfikia mteja ndani na nje ya nchi including masuala yote ya clearing and forwarding za mizigo mbalimbali inayoingia nchini tafadhali naomba contacts dm.
Habari.
Muda wa ku renew bima za vijibanda vyangu umekaribia ila kusema ukweli kampuni niliyopo niliingia tu kwa ushawishi wa rafiki yangu anayefanya hapo ila natamani kujua kama kuna kampuni bora na ya uhakika zaidi nikishawishika nihame.
Wenye mijengo yenu mloikatia bima za moto naomba...
Rais Samia wanasiasa wabaya wamekuwekea mtego mwingine hatari sana, wameleta kampuni toka Kenya yenye masilahi na wao inayomilikiwa na Mkenya Andrew Chege kwa kushirikiana na baadhi ya wanasiasa wa Tanzania
Kampuni iliyokataliwa na JPM yarudishwa kinyemela (Safari tech) ya Kenya
Wametapeli...
Hivi karibuni mamlaka ya mawasiliano ya Afrika ya kusini imetoa kauli ya kuzuia uingizwaji wa vifaa vya starLink.
Baada ya Afrika ya kusini Mamlaka ya mawasiliano ya Ghana nayo imepiga marufuku
India ni moja ya nchi barani Asia zilizo zuia pia, Uturuki na Egypt pia.
Ukiacha tetesi za CIA kuwa...
Tumeongea mara nyingi ssna juu ya wizi wa KAMPUNI hizi za SIMU kwa wateja wao lakini ni km mnapuuza. Ebu fikiria KAMPUNI inakuunga kwenye huduma ambayo haujaomba wala huijui, unatumiwa tu ujumbe kuwa umeungwa na maelezo kibao. Je huu siyo wizi. Kwanini tunahangaika na vibaka tunaacha hawa watu...
Hii kampuni ya forex trade wamenipa mchanganua wao wa jinsi ninavyoweza kupiga hela nikitrade nao, lakini nahitaji mwongozo wenu, na hasa, waliowahi kufanya nao biashara.
Hii kampuni ya forex trade wamenipa mchanganua wao wa jinsi ninavyoweza kupiga hela nikitrade nao, lakini nahitaji mwongozo wenu, na hasa, waliowahi kufanya nao biashara.
Habari wanajukwaa mko salama?
Nina rafiki yangj yuko USA nataka kumtumia mzigo wake huko alipo, so naombeni msaada wenu wa kujuzwa kampuni ambayo naweza safirisha nao mzigo ukamfikia mhusika kwake.
Natanguliza shukuran.👏
Kufungua kampuni ilikuwa kero miaka ya nyuma lakini naona kero imerudi licha ya kuwa kuna mfumo rahisi kabisa wa kusajili kampuni.
Yaani business name inachukua hadi mwezi mmoja kama umejaza kila kitu sawa. Kuna Tabia ukikosea tu review inakuwa haraka kabisa na unaambiwa kurekebisha, lakini...
Habari zenu wadau
Nimekuja hapa nahitaji muongozo wenu nijue kampuni gani inafaa za hii huduma web hosting hapa Tanzania
Ninataka nifungue site yangu kabla sijakulupuka nimeona ni vyema nipate muongozo
Source: Bloomberg
Subscribe
China Secretly Transforms Huawei Into Most Powerful Chip War Weapon
The government is increasingly relying on Huawei — the company Washington tried to destroy — to lead the country’s efforts to build an independent semiconductor ecosystem.
By Bloomberg News...
Taarifa ya kusitishwa kwa malipo iliripotiwa kwa mara ya kwanza na FT, huku wafanyakazi wakipata nyongeza ya mishahara ikiwa tu watapandishwa vyeo rasmi, kabla ya mapumziko ya Krimasi
Inasemekana kwamba washirika wa KPMG hulipwa zaidi ya pauni £700,000 kila mwaka kabla ya malipo ya ziada...
Kuna tatizo la usajili "ONLINE" wa kampuni BRELA.
Baada ya kutimiza masharti yote ya ONLINE REGISTRATION ikiwa ni pamoja na kuingia gharama za usajili unaambiwa eti jina linafanana na kampuni iliyopo. Hii si sawa kabisa kwa sababu unakuwa tayari umeishafanya name clearance online. Kwa hiyo jina...
Kaa mkao wa kula kwa mapinduzi ya teknolojia! Makampuni duniani kote yanajiandaa kuleta vifaa vya kisasa kabisa. Wamevutiwa na makampuni yenye uvumbuzi, na wana hamu ya kuleta msisimko katika eneo la teknolojia, wakiahidi kubadilisha mtazamo wako kidijitali kama kijana..
Miongoni mwa vifaa...
Wakuu naomba msaada wa kampuni Bora inayosafirisha simu za viswaswadu na smart phones Kwa haraka kuja Tanzania Kwa haraka Kwa njia zote mbili ndege na meli angalau mwezi mmoja niwe nimepokea mzigo. Kuna kampuni Zina ahadi hewa Hadi inaboa, tumia uzoefu wako. Itapendeza ukiambatanisha na gharama...
Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, baada ya kukaa na kufikilia sana nataka kununua jiko la gesi la Gesi la Plet 6 (4-Gesi + 2-Umeme), nina familia ya mimi na shemeji yenu tu na sitaki kuja kununua tena Jiko uko mbeleni ndio maana nimeamua ninunue la plet izo 6 (USHAURI UNARUHUSIWA)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.