TRA na Waziri mwenye dhamana "Nape Nnauye" hivi hizi kampuni za simu zimeizidi nguvu Serikali au

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Oct 4, 2022
1,177
2,281
Tumeongea mara nyingi ssna juu ya wizi wa KAMPUNI hizi za SIMU kwa wateja wao lakini ni km mnapuuza. Ebu fikiria KAMPUNI inakuunga kwenye huduma ambayo haujaomba wala huijui, unatumiwa tu ujumbe kuwa umeungwa na maelezo kibao. Je huu siyo wizi. Kwanini tunahangaika na vibaka tunaacha hawa watu. Angalia ujumbe huo wa HALOTEL walionitumia wakati hata hiyo huduma sijui, na nikituma SMS ya KUJIONDOA inakataa. Ni huzuni na mateso sana.
Screenshot_20231212-085506.png
 

Attachments

  • Screenshot_20231212-091227.png
    Screenshot_20231212-091227.png
    8.8 KB · Views: 2
Ndo zao hizo bila kuwasahau vodacom, voda kila nikijaza vocha inakatwa fasta wanadai wananichezesha kwenye betting ya mpira........hivi waziri unaruhusu mitandao ikate salio la wateja kwa kisingizio cha betting. Mtandao unawezaje kukuchagulia timu sahihi za ku-bet ili ushinde kama siyo wizi.​
 
Waziri yupo busy anatafuta uzushi mtandaoni usitegemee kama atalifanyia kazi hili swala...ukiona wahuni wanatuma meseji ya Tuma hela kwenye namba hii hadi kwao harafu hakuna kinachoendelea jua Utapeli utaendelea kuwepo mpaka matapeli watakapochoka wenyewe na kubadili mbinu ingine...
 
Tumeongea mara nyingi ssna juu ya wizi wa KAMPUNI hizi za SIMU kwa wateja wao lakini ni km mnapuuza. Ebu fikiria KAMPUNI inakuunga kwenye huduma ambayo haujaomba wala huijui, unatumiwa tu ujumbe kuwa umeungwa na maelezo kibao. Je huu siyo wizi. Kwanini tunahangaika na vibaka tunaacha hawa watu. Angalia ujumbe huo wa HALOTEL walionitumia wakati hata hiyo huduma sijui, na nikituma SMS ya KUJIONDOA inakataa. Ni huzuni na mateso sana.View attachment 2840110
Hata tigo wanao huo uhuni
 
Tanzania yetu ni nchi nzuri na yenye amani.
 

Attachments

  • IMG_20231212_084228.jpg
    IMG_20231212_084228.jpg
    37.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom