Timiza malengo yako ya kibiashara 2024

daydreamerTZ

Senior Member
Sep 26, 2020
118
189
Nina imani nitakuwa mkombozii Kwako kwa sababu nina uzoefu wa masuala yote ya kusajili biashara (kama kampuni au jina la biashara) kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako.

Huduma zitolewazo;
1. Kusajili Kampuni
2. Kusajili jina la biashara
3. Kuandaa memorandum and article of association
4. Logos, business cards posters n.k
5. Makadirio ya Kodi
6. Kuandaa company profile n.k

Tembelea ofisi yetu ya biashara Day Dreamer Tz Consultancy - Google Search

Kwa mawasiliano zaidi Piga/WhatsApp 0629706263.
 
Naomba kuuliza kidogo

1. Mfano nna 5mil je nna weza sajili kampuni nikaweka iwe na mtaji wa 1bilion?

2. Je minimum shares mtu anaweza kuwa nazo kwenye kampuni ni ngapi? Ikiwa kampuni ni wamiliki wawili?

3. Je mwaka wa kulipa kodi ya kampuni ni mwaka wa serikali au mwaka wa kampuni i.e. tokea kampuni iundwe?
 
1. mtaji unaandika brela ni estimation zako TU boss, lkn tambua hizo details baadhi ya taasisi za serikali nazo zinaona, so mfano ukaweka 1bn wakati wa kukadiriwa Kodi tra, huwezi estimate kwa 5m

2. kwa kampuni shareholders minimum ni wawili, ko at least kila MTU awe na hisa 1 na kuendelea, kumbuka namba za hisa wamiliki huamua wenye lkn mgawanyo wake jumla lazima uwe 100% ambapo sio lazima zote ziwe subscribed yaan, mnaweza sema kampuni ina hisa 100, dir 1 ana share 20 and dir 2 ana share 20 hizo 40.nyingine mkaziretain kwa any future investment opportunities kama kupata investor mwingine nk

3. kampuni ikiundwa inapaswa kwenda kufanya estimation ambapo italipa Kodi iliyo kadiriwa kwa installments, naa baada ya mwaka wa kampuni wa mahesabu kuisha ndani ya miezi sita inapaswa kuleta audited report za financial statements haponpia itakuwa evaluated kiasi cha Kodi, kama Kuna difference either unalipia kilichopungua , au utadai kilichozid kulinganishwa na estimation zako.
 
1.kwahiyo leseni inachukua muda gani kuipata kutoka brela
2.na vipi kuhusu usajili wa kampuni brela online
3,na vipi nikitaka kuwa kampuni zaidi ya moja.lakini mwekezaji ni mimi yuleyule usajili wake ukoje??
 
1. siku tatu za kazi
2. siku tatu za kazi
3. inawezekana mkuu, chamsingi wamiliki wawe wawili na kuendelea, pia unaweza fungua kampuni ambayo itakuja miliki kampuni nyinginezo
 
Kwa ushauri na msaada kuhusiana na masuala yote ya usajili wa biashara usulisite kuwasiliana nasi kupitia 0629706263
 
Back
Top Bottom