Kampuni ya KPMG yatangaza kusimamisha malipo kwa wafanyakazi 12,000

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
576
1,626
Taarifa ya kusitishwa kwa malipo iliripotiwa kwa mara ya kwanza na FT, huku wafanyakazi wakipata nyongeza ya mishahara ikiwa tu watapandishwa vyeo rasmi, kabla ya mapumziko ya Krimasi

Inasemekana kwamba washirika wa KPMG hulipwa zaidi ya pauni £700,000 kila mwaka kabla ya malipo ya ziada (bonus).

Haya yanajiri baada ya wote wanaojiita 'big four'; KPMG, EY, dELOITTE NA PwC kutangaza msururu wa ajira kusitishwa pamoja na kusitishwa kwa mishahara katika miezi ya hivi karibuni.

Wakati Mfumiko wa bei ukiwa bado juu ya lengo la asilimia 2 ya Benki Kuu ya Uingereza kwa asilimia 4.6, kusitishwa kwa malipo hayo kutakuwa kama kupunguzwa kwa thamani halisi kwa wengi.

Mwezi uliopita, KPMG ilisema ilikuwa inapanga kupunguza nafasi za ajira na kusitisha mishahara katika idara yake ya ushauri wa mikataba nchini Uingereza, huku kampuni hiyo kubwa ya huduma za kitaalam ikisema soko duni la mikataba na mazingira magumu ya kiuchumi vimepelekea kupunguza mahitaji.

Wengine waliotangaza kupunguza wafanyakazi miezi ya nyuma ni pamoja na kampuni ya EY, PwC, pamoja na Deloitte.

Ili kuvutia na kuhifadhi talanta bora,tunakadiria mishahara yetu kila mwaka ili kubaki kwenye ushindani na tunaendelea kuwekeza kwa watu wetu. Kufuatia mahitaji dhaifu ya soko mwaka huu, ongezeko lolote la mishahara limekuwa likiwapa kipaumbele wale wanapandishwa vyeo."

====

Big four firm KPMG has announced it will freeze the pay of 12,000 staff, as the services sector continues to be hit by a major slowdown.

The freeze was first reported by the FT, with staff only getting a pay boost if they get a formal promotion, ahead of the Christmas break.

Partners at KPMG are said to be paid upwards of £700,000 annually, before bonuses.

This comes as all of the so-called ‘big four’: KPMG, EY, Deloitte and PwC, have announced a series of job cuts and pay freezes in recent months.

With inflation still above the Bank of England’s two per cent target at 4.6 per cent, the pay freezes will for many be real-terms cuts.

On 10 November, KPMG slashed bonuses for its UK deals team, after having already cut payouts for the deals division by around half in May.

Last month, KPMG said it was planning a wave of job cuts and salary freezes in its UK deal advisory division, with the professional services giant saying a subdued deals market and challenging economic landscape has driven down demand.

Around 110 employees, some six per cent of the UK deals business workforce, are expected to be laid off.

But KPMG isn’t the only culprit – with the entire services sector indulging in job cuts and pay freezes, as demand is hit by a major slowdown.

In August, it was reported EY was poised to slash a number of jobs and warned staff they will face more meagre pay rises and smaller bonus pots.

Meanwhile, in June of this year, PwC announced it would hand more than 25,000 junior members of staff a hefty pay cut. Earlier this month, PwC also announced 600 jobs were to be cut, as the slowdown continued to bite.

Deloitte also announced 800 jobs were to be slashed in October, with consulting hit hardest.

A KPMG UK spokesperson, told City A.M.: “To attract and retain the best talent, we benchmark our salaries each year to remain competitive and we continue to invest in our people. In light of softened market demand this year, any pay increases have prioritised those who have been promoted.

“We will be rewarding eligible colleagues for their efforts this year with a bonus. However, reflecting the challenging economic and market environment, this will be lower than in previous years.”

City A.M
 
Dah mbona hatari, KPMG nilikuwa nawakubali sana kwenye uandaaji wa strategic plans.
 
Back
Top Bottom