ThnkingAloud
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 232
- 180
Kuna tatizo la usajili "ONLINE" wa kampuni BRELA.
Baada ya kutimiza masharti yote ya ONLINE REGISTRATION ikiwa ni pamoja na kuingia gharama za usajili unaambiwa eti jina linafanana na kampuni iliyopo. Hii si sawa kabisa kwa sababu unakuwa tayari umeishafanya name clearance online. Kwa hiyo jina linakuwepo kwa ajili ya usajili.
Halafu hata CEO au MSAJILI wa BRELA hapatikani kuonoda sintofahamu inayojitokeza.