Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

raisiajaye

Member
Aug 2, 2023
18
26
Rais Samia wanasiasa wabaya wamekuwekea mtego mwingine hatari sana, wameleta kampuni toka Kenya yenye masilahi na wao inayomilikiwa na Mkenya Andrew Chege kwa kushirikiana na baadhi ya wanasiasa wa Tanzania

Kampuni iliyokataliwa na JPM yarudishwa kinyemela (Safari tech) ya Kenya
Wametapeli Ghana na sasa wameingizwa Tanzania , kwa nini sisi watanzania ni wajinga namna hii?
Kwa nini serikali yetu kuna watu hawafikiriii?
kwa nini viongozi wetu wanawaza 10% tu?

Kampuni hii inayomilikiwa na Mbunge wa Kenya aitwaye Andrew Chege
ili wahi kuletwa na wanasiasa na JPM akaikataa
Ni kampuni yenye historia za kitapeli (Hewa)
Inajitangaza kuwa iko sponsored na IMF ,USAID ,World Bank na makao makuu yake inasema yako UK(Uingereza)
Taarifa za kiuchunguzi kipindi cha JPM ziliobaini kuwa kampuni hio haina mafungamano na World Bank ,IMF wala USAID bali hutumia mwamvuli huo kupata tender

Kampuni hio ambayo baadhi ya wana siasa wa Tanzania wana hisa kupitia kwa mwanasiasa mwanzilishi aitwaye Andrew Chege (Mbunge wa Kenya) Imerudi tena
Maafisa kadhaa wa Ikulu na baadhi ya waandamizi wa wizara ya fedha tayari wameshaingia makubaliano ya awali kuileta kampuni hio kuja kufanya auditing kwenye makampuni mbali mbali na watalipwa fedha nyingi sana za walipa kodi wa Tanzania

Kampuni hio itapewa tenda ya kufanya auditing ya kampuni nyingi zikiwemo kampuni za simu (vodacom, Honora/Tigo, Airtel etc), pia TRA itafanyiwa auding na makampuni mengine yanayotakiwa kulipa kodi mbalimbali, lengo ni kutaka kuona kama kuna mianya ya kodi kwenye makampuni hayo
Swali langu la msingi

1. CAG hua anafanya ukaguzi ambao haujitoshelezi mpaka iletwe kampuni toka Kenya?

2. Internal auditors na external auditors wa kampuni zilizo nchini hazikufaa mpaka ikatafutwa kampuni ya Safaritech toke kenya?

3. Makampuni ya simu ya Call detailed records(CDR) , tunaruhusu kampuni ya kenya ije ishike taarifa za siri za watanzania?

Yaani kampuni ya mwana siasa wa kenya ije iangalie CDR za simu za watanzania?
Kumbuka CDR zinaonyesha wewe umepiga simu wapi,kwa nani ,ukiwa wapi na taarifa nyingine nyingi za siri
4.Kwa nini JPM alikataa wakenya kuja na kufikia taarifa za siri za watanzania lakini serikali hii inaruhusu sasa?

Ghana kuna kampuni dada ya safari tech , walienda kukagua MTN Ghana , na kwa sababu walikua wanalipwa asilimia ya kodi iliyokwepwa wanayoigundua , walibambikia kampuni ya ghana ukwepaji wa kodi wa Billion 8 USD ili walipwe 30% ya pesa hio.

Kwa Tanzania, kampuni za simu jiandaeni kubambikiwa madeni ili hawa mabwana wapate cha juu.

Kwa kua suala la kampuni hii lina masilahi na wanasiasa kadhaa wa Tanzania ,ambao wameidanganya Ikulu na ikulu kuruhusu Kampuni hio iongee na wizara vya fedha , watu wa usalama wa Taifa na vyombo vya ulinzi na usalama wafanye special vetting ya wanasiasa wote waliohusika kuingiza nchini kampuni hii.

Pia Kampuni ya nchi jirani ambayo ni washindani wa nchi yetu ,kuruhusiwa kugusa taarifa za siri za watanzania ni hatari sana, tunauza taarifa za nchi kwa taifa jirani chini ya kampuni hewa isiyo na uwezo wa kufanya auditing.

Nawawekea reference za mmiliki wa kampuni hio Andrew Chege (Mbunge wa Kenya)

Nawawekea kasheshe walioisababisha Ghana kwa kufanya audit fake

1.https://commsrisk.com/ghana-tax-authority-defends-appointment-of-dodgy-telco-revenue-assurance-auditors/
2.https://www.techfocus24.com/mtns-ghs8-billion-tax-gra-ditched-kpmg-for-imf-agent-safaritech/
3.https://www.techfocus24.com/mtns-ghs8-billion-tax-gra-ditched-kpmg-for-imf-agent-safaritech/
4.https://theindependentghana.com/gra-denies-contract-with-safaritech-uk/
5.https://starrfm.com.gh/2023/07/pac-demands-details-of-engagement-between-gra-auditing-firm-safaritech/?amp=1

Nisiwachoshe sana, niwaambie tu kwamba Nchi hii imepitia kampuni janja na zenye mikono ya wanasiasa wenye nguvu kama IPTL na nyingine nyingina sasan mnaletewa kampuni itakayolitwa Billions of TZS kodi za watanzania ambazo wanasiasa wetu wanaenda kuzichukulia Kenya

Mawaziri wanaohusika na hii kampuni wameidanganya Ikulu na sasa wanataka kumwingiza Rais Samia kwenye scandal nyingine kubwa sana ambayo inaweza kumgharimu 2025

UPDATE
Website ya safaritech imeondolewa hewani baada ya taarifa hii

chege.jpg
 
Kampuni hio itapewa tenda ya kufanya auditing ya kampuni nyingi zikiwemo kampuni za simu (vodacom ,Honora/Tigo, Airtel etc), pia TRA itafanyiwa auding na makampuni mengine yanayotakiwa kulipa kodi mbalimbali ,lengo ni kutaka kuona kama kuna mianya ya kodi kwenye makampuni hayo
Swali langu la msingi
1.CAG hua anafanya ukaguzi ambao haujitoshelezi mpaka iletwe kampuni toka Kenya?
2.Internal auditors na external auditors wa kampuni zilizo nchini hazikufaa mpaka ikatafutwa kampuni ya Safaritech toke kenya?
3.Makampuni ya simu ya Call detailed records(CDR) , tunaruhusu kampuni ya kenya ije ishike taarifa za siri za watanzania?
Yaani kampuni ya mwana siasa wa kenya ije iangalie CDR za simu za watanzania?
Kumbuka CDR zinaonyesha wewe umepiga simu wapi,kwa nani ,ukiwa wapi na taarifa nyingine nyingi za siri
4.Kwa nini JPM alikataa wakenya kuja na kufikia taarifa za siri za watanzania lakini serikali hii inaruhusu sasa?

Ghana kuna kampuni dada ya safari tech , walienda kukagua MTN Ghana , na kwa sababu walikua wanalipwa asilimia ya kodi iliyokwepwa wanayoigundua , walibambikia kampuni ya ghana ukwepaji wa kodi wa Billion 8 USD ili walipwe 30% ya pesa hio.
Kwa Tanzania ,kampuni za simu jiandaeni kubambikiwa madeni ili hawa mabwana wapate cha juu.

Nisiwachoshe sana, niwaambie tu kwamba
Nchi hii imepitia kampuni janja na zenye mikono ya wanasiasa wenye nguvu kama IPTL na nyingine nyingina sasan mnaletewa kampuni itakayolitwa Billions of TZS kodi za watanzania ambazo wanasiasa wetu wanaenda kuzichukulia Kenya
Mawaziri wanaohusika na hii kampuni wameidanganya Ikulu na sasa wanataka kumwingiza Rais Samia kwenye scandal nyingine kubwa sana ambayo inaweza kumgharimu 2025View attachment 2843149
Muda mwingine wakati mnamtetea au mnamweka mbali huyu mwanamke na hizi scandals mnaishia kutengeneza picha kama ni zezeta au mjinga haiwezikani kila jambo anadanganywa na kupotoshwa. Ni kiongozi gani kutwa anazidiwa ujanja na vijana wake.
 
Japokuwa hoja yako inaweza kuwa na mantiki, lakini naona kama wewe kwa upande wako kama vile kuna maslahi yako pia yametishiwa na kamouni hii! Je, wewe binafsi una uhakika kwamba huna mgongano wa maslahi kuhusiana na ujio au uwepo wa Kampuni hii hapa nchini Tz????????
 
JPM asingekubali uozo wake chattle airport uanikwe wazi na kampuni hii au ule ununuzi wa ndege
 
Japokuwa hoja yako inaweza kuwa na mantiki, lakini naona kama wewe kwa upande wako kama vile kuna maslahi yako pia yametishiwa na kamouni hii! Je, wewe binafsi una uhakika kwamba huna mgongano wa maslahi kuhusiana na ujio au uwepo wa Kampuni hii hapa nchini Tz????????
Nimefanya reference ya uozo wa kampuni hii kwenye nchi ambayo imehusika, nini kingine nikisema uamini?
ukweli nauchora kwamba mambo yameoza
 
Muda mwingine wakati mnamtetea au mnamweka mbali huyu mwanamke na hizi scandals mnaishia kutengeneza picha kama ni zezeta au mjinga haiwezikani kila jambo anadanganywa na kupotoshwa. Ni kiongozi gani kutwa anazidiwa ujanja na vijana wake.
Rais hana mkono wake kwenye hii scandal ,lakini kuna watu wanamtafutia ajari kwenye haya mauozo
 
Rais Samia wanasiasa wabaya wamekuwekea mtego mwingine hatari sana, wameleta kampuni toka Kenya yenye masilahi na wao inayomilikiwa na Mkenya Andrew Chege kwa kushirikiana na baadhi ya wanasiasa wa Tanzania

Kampuni iliyokataliwa na JPM yarudishwa kinyemela (Safari tech) ya Kenya
Wametapeli Ghana na sasa wameingizwa Tanzania , kwa nini sisi watanzania ni wajinga namna hii?
Kwa nini serikali yetu kuna watu hawafikiriii?
kwa nini viongozi wetu wanawaza 10% tu?

Kampuni hii inayomilikiwa na Mbunge wa Kenya aitwaye Andrew Chege
ili wahi kuletwa na wanasiasa na JPM akaikataa
Ni kampuni yenye historia za kitapeli (Hewa)
Inajitangaza kuwa iko sponsored na IMF ,USAID ,World Bank na makao makuu yake inasema yako UK(Uingereza)
Taarifa za kiuchunguzi kipindi cha JPM ziliobaini kuwa kampuni hio haina mafungamano na World Bank ,IMF wala USAID bali hutumia mwamvuli huo kupata tender

Kampuni hio ambayo baadhi ya wana siasa wa Tanzania wana hisa kupitia kwa mwanasiasa mwanzilishi aitwaye Andrew Chege (Mbunge wa Kenya) Imerudi tena
Maafisa kadhaa wa Ikulu na baadhi ya waandamizi wa wizara ya fedha tayari wameshaingia makubaliano ya awali kuileta kampuni hio kuja kufanya auditing kwenye makampuni mbali mbali na watalipwa fedha nyingi sana za walipa kodi wa Tanzania

Kampuni hio itapewa tenda ya kufanya auditing ya kampuni nyingi zikiwemo kampuni za simu (vodacom, Honora/Tigo, Airtel etc), pia TRA itafanyiwa auding na makampuni mengine yanayotakiwa kulipa kodi mbalimbali, lengo ni kutaka kuona kama kuna mianya ya kodi kwenye makampuni hayo
Swali langu la msingi

1. CAG hua anafanya ukaguzi ambao haujitoshelezi mpaka iletwe kampuni toka Kenya?

2. Internal auditors na external auditors wa kampuni zilizo nchini hazikufaa mpaka ikatafutwa kampuni ya Safaritech toke kenya?

3. Makampuni ya simu ya Call detailed records(CDR) , tunaruhusu kampuni ya kenya ije ishike taarifa za siri za watanzania?

Yaani kampuni ya mwana siasa wa kenya ije iangalie CDR za simu za watanzania?
Kumbuka CDR zinaonyesha wewe umepiga simu wapi,kwa nani ,ukiwa wapi na taarifa nyingine nyingi za siri
4.Kwa nini JPM alikataa wakenya kuja na kufikia taarifa za siri za watanzania lakini serikali hii inaruhusu sasa?

Ghana kuna kampuni dada ya safari tech , walienda kukagua MTN Ghana , na kwa sababu walikua wanalipwa asilimia ya kodi iliyokwepwa wanayoigundua , walibambikia kampuni ya ghana ukwepaji wa kodi wa Billion 8 USD ili walipwe 30% ya pesa hio.

Kwa Tanzania, kampuni za simu jiandaeni kubambikiwa madeni ili hawa mabwana wapate cha juu.

Kwa kua suala la kampuni hii lina masilahi na wanasiasa kadhaa wa Tanzania ,ambao wameidanganya Ikulu na ikulu kuruhusu Kampuni hio iongee na wizara vya fedha , watu wa usalama wa Taifa na vyombo vya ulinzi na usalama wafanye special vetting ya wanasiasa wote waliohusika kuingiza nchini kampuni hii.

Pia Kampuni ya nchi jirani ambayo ni washindani wa nchi yetu ,kuruhusiwa kugusa taarifa za siri za watanzania ni hatari sana, tunauza taarifa za nchi kwa taifa jirani chini ya kampuni hewa isiyo na uwezo wa kufanya auditing.

Nawawekea reference za mmiliki wa kampuni hio Andrew Chege (Mbunge wa Kenya)

Nawawekea kasheshe walioisababisha Ghana kwa kufanya audit fake

1.https://commsrisk.com/ghana-tax-authority-defends-appointment-of-dodgy-telco-revenue-assurance-auditors/
2.https://www.techfocus24.com/mtns-ghs8-billion-tax-gra-ditched-kpmg-for-imf-agent-safaritech/
3.https://www.techfocus24.com/mtns-ghs8-billion-tax-gra-ditched-kpmg-for-imf-agent-safaritech/
4.https://theindependentghana.com/gra-denies-contract-with-safaritech-uk/
5.https://starrfm.com.gh/2023/07/pac-demands-details-of-engagement-between-gra-auditing-firm-safaritech/?amp=1

Nisiwachoshe sana, niwaambie tu kwamba Nchi hii imepitia kampuni janja na zenye mikono ya wanasiasa wenye nguvu kama IPTL na nyingine nyingina sasan mnaletewa kampuni itakayolitwa Billions of TZS kodi za watanzania ambazo wanasiasa wetu wanaenda kuzichukulia Kenya

Mawaziri wanaohusika na hii kampuni wameidanganya Ikulu na sasa wanataka kumwingiza Rais Samia kwenye scandal nyingine kubwa sana ambayo inaweza kumgharimu 2025

View attachment 2843149
Majina ya akina Andrew Chege(Chenge) kwa dili wapo vizuri!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom