kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi madai ya Wakulima wa Vanilla kutolipwa zaidi Tsh. Bilioni 1 na Kampuni ya Sosaka Limited

    Wakulima wa zao la Vanilla Mkoani Kagera wameendelea kuiomba Serikali kuingilia kati kuwasaidia kupata malipo yao ya zao hilo walilouza kwa Kampuni ya Sosaka Limited. Imeelezwa kuwa Kampuni hiyo ilifuata taratibu zote na kupata vibali kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, ikanunua Vanilla...
  2. T

    JamiiForums Tanzania DP World nchini Tanzania: Kampuni ya UAE kuchukua bandari za Afrika

    DP World nchini Tanzania: Kampuni ya UAE kuchukua bandari za Afrika CHANZO CHA PICHA,AFP Maelezo kuhusu taarifa Author,Na Beverly Ochieng Nafasi,BBC Monitoring, Nairobi 24 Oktoba 2023 Mkataba wa mamilioni ya dola uliotiwa saini kati ya kampuni kubwa ya baharini ya Emirati DP World na Tanzania...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kampuni ya Pepsi ya Israel imetoa soda mpya zenye rangi za bendera ya Palestina ili zinunuliwe na Wapalestina

    Salaam ndugu zangu, Nimeona picha inasambaa ikieleza kuwa Kampuni ya Israeli ya PEPSI imebadilisha muundo wake na kuandika Palestina ili kuepuka kufungiwa na Palestina.
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya PAF Promotion yampeleka Mahakamani Mwakinyo, yamdai fidia ya mamilioni

    Kesi dhidi ya bondia wa ngumi za kulipwa Nchini, Hassan Mwakinyo ambayo imefunguliwa na Kampuni ya PAF Promotion inatarajia kutajwa kwa mara ya kwanza Novemba 13, 2023 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, A.H. Msumi ikiwa na jumla ya madai 8 ya msingi. Kampuni hiyo imewasilisha...
  5. Tman900

    JamiiForums Tanzania Ipi ni kampuni yenye mabati bora Tanzania?

    Kuna lundo la Kampuni za mabati Tanzania, na Viwanda Kila Sehemu. Kuna lundo la Ma agent kwenye Milango ya Viwanda hivyo. Utapeli umekua mwingi kwenye swala la kununua Bati, usipo ibiwa Pesa, utaibiwa kuuziwa bidhaa mchanganyiko. Na istoshe bei zao pia ni zawizi sio bei halisi mbazo kiwanda...
  6. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Hongera Mama Zara kwa Tuzo ya Kampuni Bora ya Utalii Afrika

    Kwa mara nyingine tena mwanamama Zainab Ansell Mkurugenzi wa Kampuni ya uwakala wa utalii nchini Tanzania ya ZARA TANZANIA ADVENTURE ,amenyakua Tuzo ya kampuni Bora ya Uwakala wa utalii Afrika ijulikanayo kwa Jina la 'Africa's Leading Tour Oparetor . Tuzo hiyo imetolewa na World Travel...
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania yalipa Fidia ya Tsh. Bilioni 75 kwa kufuta Leseni ya Kampuni ya Madini

    Inauma sana pesa za Walipakodi kupotea Kwa sababu ya uzembe wa Baadhi ya watu na hawachukuliwi hatua yeyote. Dola mil.30 sawa na Bil.75 ni km 55-60 za Barabara ya Lami ila Kuna watu wamepata kiulaini. Swali. Hivi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Huwa inalisaidiaje Taifa? === Kwa mujibu...
  8. covid 19

    JamiiForums Tanzania Msada wa mwenye mawasiliano ya Kampuni ya Cassava Starch of Tanzania Corporation Limited (CSTC) ya Nyengedi mkoani Lindi

    Kwema tafadhali mwenye mawasiliano na mtu anayefanya kazi kiwandani hapo nahitaji mawasiliano yao kwenye site zao hayapo hewani naona kimya, hii kampuni ya Cassava Starch of Tanzania Corporation Limited (CSTC) ipo Nyengedi mkoani Lindi. Natanguliza shukrani wakuu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa vanilla Kagera kutapeliwa na kampuni ya SOSAKA

    Sisi Wakulima wa Zao la Vanilla Kagera tulimuuzia Kampuni ya Sosaka Limited iliyopewa vibali na Ofisi ya Mkoa wa Kagera, vanilla zetu mnamo tarehe 19-23 July 2023 lakini mpaka sasa hatujalipwa hela zetu. Sosaka alikua ananunua vanilla kwa bei ya 15,000 Tsh na alikusanya takribani kilo 80,000...
  10. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Ijue kampuni ya Marcopolo, kampuni ya kuunda bodi za mabasi

    KAMPUNI YA MARCOPOLO Kampuni ya #marcopolo ilianzishwa tarehe 6 Agosti 1949 huko Caxias do Sul kama Nicola & Cia Ltd. Wakati kampuni inaanzishwa ilikua na washirika 8 na wafanyikazi 15. Mnamo mwaka 1971 kampuni ilibadilisha jina na kuwa Marcopolo S.A. (Marcopolo S.A. yaani mtengenezaji wa body...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Dar es Salaam inayothamini usawa wa kijinsia inatangaza ajira kwa wanawake

    Kampuni yenye ofisi zake jijini Dar es Salaam inayothamini usawa wa kijinsia inatafuta wanawake 10 wa kushusha lori 4 za saruji. Yaani kwa siku ni kushusha saruji kwenye malori manne. Hii ajira ni ya kudumu. Changamkieni fursa kina dada.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kampuni ya Yapi Merkezi imekumbwa na ukata wa pesa hivyo kuathiri ujenzi wa reli ya kisasa (SGR)au Serikali ya Tanzania inaficha ukweli?

    Tanzania inatafakari Mpango B kwa ajili ya mradi wake wa SGR huku kampuni ya Uturuki ikiachwa. Mawaziri wa fedha kutoka Tanzania na Zanzibar wameanza kuchangisha fedha kwa ajili ya mradi wa reli ya standard gauge (SGR) baada ya mkandarasi mkuu wa kampuni ya Uturuki Yapi Merkezi kuonyesha dalili...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya basi Machame safari Kutoka Dar ~ Arusha zimeadimika barabarani shida nini?

    Hii kampuni ilianza Kwa speed ya 5G , Kwa safari Za Dar Es Salaam kwenda arusha. Ili fungua Ofisi kila mahali Huku Dar Es Salaam na Arusha . Ukilipanda ulikuwa Unapewa soda , juice na pipi sasa gari zimeadimika barabarani Tatizo ni nini!! Au wanahisi walichomoa Huku Hisa zao!!
  14. olimpio

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Kampuni anayomiliki Maharage Chande

    Rais wa jamhuri ya Muungano mama Samia, alitengua uteuzi wa aliyekuwa Mkurugenzi wa TTCL Maharage Chande ,muda mfupi tu baada ya kuteuliwa . Pamoja na Track Record safi , uzalendo na uchapakazi mzuri wa Peter Ulanga Rais aliamua kumrudisha madarakani Mkurugenzi Ulanga si tu kwa weledi wake...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si Ujinga; Maharage Chande anafanya biashara gani na TTCL? Kwanini Biashara hiyo inafichwa?

    Tunauliza haya kwa uzuri tu, wala hatuna wivu wowote ule na kiongozi Mjasiriamali, na kwa vile Maharage ni Mtumishi wa Umma hatuamini kama ni makosa kujua taarifa zake. Mimi mwenyewe ni Mfanyabiashara na Mwanasiasa pia, kwahiyo si ajabu mtu mwingine kufanya biashara. Bali kikubwa ni biashara...
  16. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kampuni 3 zapigwa faini ya Tsh. Milioni 158.8 kwa kutumia vibaya Taarifa Binafsi za Wananchi

    Kampuni hizo ni pamoja na Mulla Pride Ltd, iliyopigwa faini ya Tsh. 50,404,970. Taasisi hii inamiliki 'App' za kutoa huduma za Mikopo za FairCash na KeCredit, imebainika kutumia Taarifa Binafsi za Wateja ili kudai Madeni . Pia, kuna Klabu ya Starehe ya Casa Vera Lounge ambayo imekutwa na Kosa...
  17. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Mitungi Empty ya GAS 200 inauzwa Kampuni Zote.

    Kwa wafanyabiashara wakubwa wa gas wa jumla na reja reja kuna mitungi ya Gas inauzwa. Mitungi hii ni Empty haina Gas, kampuni za Gas zilizopo ni zote kasoro ORYX tu. CAM GAS MIHAN/TAIFA GAS OGAS LAKE GAS PUMA GAS MANJIS GAS Ukija utachagua unataka mitungi ipi uchanganyiwe vipi. Mnunuzi ni...
  18. Gidabed

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya kampuni ya safe land world investment

    Wakuu natumai mpo salama otherwise poleni na majukumu. Kuna kampuni moja inafahamika kwa jina la safe land world investment,inasadikika ni kampuni inayohusika na masuala ya uwekezaji ambapo unawekeza pesa yako na kuisubiria kwa muda wa siku takribani 170. Kwa mujibu wa kampuni hii kiwango cha...
  19. daydreamerTZ

    JamiiForums Tanzania Elimu juu ya bodi ya wakurugenzi

    Bodi ya Wakurugenzi ni sehemu muhimu ya uongozi wa kampuni au shirika. Majukumu ya Bodi ya Wakurugenzi: 1. Kutoa mwelekeo na sera za jumla za kampuni. 2. Kuchagua na kusimamia Mkurugenzi Mtendaji (CEO). 3. Kuhakikisha utawala bora na uwajibikaji. 4. Kuidhinisha bajeti na mipango mikubwa ya...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CONFIDENTIAL: Barua Pepe zaonesha Maafisa 62 wa Serikali ya Tanzania akiwemo IGP walihongwa Fedha na ACACIA (2008/2015)

    Acacia, kampuni ya uchimbaji madini iliyokuwa na shughuli zake nchini Tanzania kabla ya kuingia kwenye mgogoro mkubwa na Serikali, inadaiwa kutumia takriban Shilingi bilioni tatu (Dola za Kimarekani milioni 1.2) kwa mwaka kulipa maafisa waandamizi wa Serikali kati ya 2008 na 2015, uamuzi ambao...
Back
Top Bottom