Tusaidiane kujua kampuni nzuri za uhakika kwa ajili ya bima za nyumba

Pridah

JF-Expert Member
Jul 20, 2023
523
1,919
Habari.

Muda wa ku renew bima za vijibanda vyangu umekaribia ila kusema ukweli kampuni niliyopo niliingia tu kwa ushawishi wa rafiki yangu anayefanya hapo ila natamani kujua kama kuna kampuni bora na ya uhakika zaidi nikishawishika nihame.

Wenye mijengo yenu mloikatia bima za moto naomba mtutajie Kampuni ya bima zenu na mtuambie kwa nini mmezichagua hizo kampuni ili na sisi tukatie vibanda vyetu.

Itapendeza zaidi yakiwa makampuni makubwa yanayojulikana.

Natanguliza shukrani🙏🙏
 
NIC wako poa sana siku hizi. Sababu ya kukata Bima NIC ni kutokana na ubora wa huduma zao kwa sasa. Vilevile, ni Taasisi ya Serikali kwa hiyo hakuna ubabaishaji. Mimi mwenyewe nyumba zangu na magari yangu pia nimekatia Bima ya NIC.
 
Asante nitawafuatilia mkuu.

Happy holidays Season🙏
 
Habari.

Muda wa ku renew bima za vijibanda vyangu umekaribia ila kusema ukweli kampuni niliyopo niliingia tu kwa ushawishi wa rafiki yangu anayefanya hapo ila natamani kujua kama kuna kampuni bora na ya uhakika zaidi nikishawishika nihame.

Wenye mijengo yenu mloikatia bima za moto naomba mtutajie Kampuni ya bima zenu na mtuambie kwa nini mmezichagua hizo kampuni ili na sisi tukatie vibanda vyetu.

Itapendeza zaidi yakiwa makampuni makubwa yanayojulikana.

Natanguliza shukrani🙏🙏
Mimi chochote kinachohitaji bima hua nakatiaga Alliance Insurance. Naiona kama ndio kampuni nzuri Kwa Bima Kwa sasa.

Chochote namaanisha Gari na nikisafiri pia (travel insurance). Bahati mbaya kwenye Nyumba sijawahi kukatiaga bima.
 
Nimekupata asante mkuu ila bima ya moto ya nyumba ni muhimu sana mkuu.
Shakir
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom