kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Vinywaji feki vya Highlife maeneo ya Moshi vyatishia kampuni ya Derick Global Trading

    Kuna wimbi kubwa la usambazwaji na uuzwaji wa vinywaji feki vya Highlife katika maeneo mbalimbali ya mji wa moshi unaofanywa na wafanyabiashara wasiowaaminifu. Hatua hiyo inatishia uzalishaji na uuzwaji wa Highlife halisi inayozalishwa na kampuni ya mwekezaji mzawa, Willy Lucas Tarimo...
  2. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania TCRA waichunguze kampuni ya simu za mkononi ya Halotel

    Mtandao wa Halotel umekuwa na tabia ya kukata salio la muda wa maongezi mara tu unapoongeza salio. Hii imenitokea zaidi ya mara tatu sasa, na nikipiga simu huduma kwa wateja naambiwa kuna huduma nimejiunga inayokata salio hilo, wakati hakuna huduma yoyote ambayo mimi nimejiunga. Mbaya zaidi...
  3. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Jua maana ya vifupisho mbalimbali vinavyotumiwa na kampuni ya Toyota, ie VX, GX etc

  4. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kampuni zinazopokea wanafunzi wa field Mbeya

    Habari, Naomba kwa yeyote anaejua kampuni au sehem nyingine ambapo wanapokea wanafunzi wa field kwa kozi ya degree of marketing and public relations mkoa wa Mbeya.
  5. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Ferruccio Lamborghini, mwanzilishi wa kampuni ya LAMBORGHINI, mapito yake binafsi ya kimaisha na kampuni yake mpaka sasa

    KARIBU SANA MWANA JAMIIFORUM TUJIFUNZE na ruksa kukosoa chapisho. FERRUCCIO LAMBORGHINI Zamani nilinunua magari mashuhuli sana ya gran Turismo na katika kila hizi gari nililinunua niliona zina mapungufu. Yana joto sana, au hayakupi ile starehe, au hayana kasi ya kuridhisha au hayajamaliziwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo, nahitaji kufungua kampuni ya general cleaning nahitajika kuwa na mtaji wa shingap

    Naomba msaada zaidi kuhusiana na ufunguzi wa kampuni ya usafi (general cleaning)
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO HR wa Kampuni ya G 1 Security Group Limited, amshambulia mmoja ya Wafanyakazi wake baada ya kwenda kufuatilia Sitahiki zake

    Mnamo tarehe 10/02/2024 Hr wa kampuni ya ulinzi ya G1 security iliyopo upanga jijini dar es salaam mtaa wa kitonga,kwa kushirikiana na baadhi ya watendaji wengine,walijaribu kumuua mmoja wa aliyekuwa mfanyakazi wao katika nafasi ya supervisor aliyefahamika kwa jina KESI. Mfanyakazi huyo alifika...
  8. Hidden Diamond

    JamiiForums Tanzania Jamani Mbeya hakuna mtu anayejua viwanda au kampuni ijayotafuta wafanyakazi

    Niko Mbeya jamani mimi ni kijana nauliza kama kuna Kiwanda chochote au kampuni yoyote inayotafuta wafanyakazi.kwa Maana nimezunguka mkia sehemu Lakini wapi
  9. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Anayeuza kreti za bia na soda kampuni yoyote

    Wasiliana nami kwa namba 0756294771. Nahitaji, nipo Moshi Mjini. Karibuni.
  10. edwin89

    JamiiForums Tanzania Makreti ya bia kampuni ya serengeti yanauzwa

    Kreti za serengeti zipo 100 zinauzwa na chupa zake. Kwa wanaofungua stoo ya bia za jumla. Elfu 10,000 kwa kreti moja.karibu sana.
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Magnis ya Australia yaitumia Graphite ya Ruangwa kupata bilioni 816

    Kampuni ya mitaji ya Singapore, PAY imetoa dola za kimarekani milioni 320 kwa mradi wa Graphite mkoani Ruangwa unaotekelezwa na Magnis. Kampuni ya Magnis Energy kupitia kampuni yake tanzu nchini, Uranex Tanzania Limited inamiliki mradi wa Nachu Graphite uliopo Ruangwa mkoani Lindi. Kampuni ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha umiliki wa biashara binafsi kwenda kampuni

    Ukibadilisha umiliki wa biashara binafsi kwenda kampuni inabidi upate tin no nyingine ya kampuni ambayo ni tofauti na ile ya mwanzo (biashara binafsi) swali. Endapo tin no ya mwanzo ina deni (TRA) , je hilo deni litaamishiwa kwenye kampuni?, au litabaki kwa mtu binafsi? Ahsanten
  13. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Tanzania Ninampango wa kufungua kampuni ya uongozaji wa watalii ndani ya Tanzania

    Post closed
  14. hp4510

    JamiiForums Tanzania Serikali na TCRA chukueni hatua kampuni ya Flex cash

    Wangudu Leo nikiwa kwenye feri natoka kigamboni kwenda mjini, nilikaa karibu na ndugu mmoja alikuwa busy kuongea na simu Baada ya muda kidogo nikaona anakosa nguvu kama anataka kuzimia, anatokwa na jasho Sana, Ikabidi kwenda kumsaidia na kumuuliza shida ya mkasa uliompata Kumbe bwana ana...
  15. Quraish Hussein

    JamiiForums Tanzania Maoni kuhusu uwekezaji katika Kampuni ya uzoaji takataka

    Ndugu Zangu Habarini Nina wazo la kufungua kampuni ya ukusanyaji na uzoaji taka ngumu katika sekta mabali mbali kama taasisi, mashule, majumbani nk. Lakini naomba kujua ni zipi changamoto za mradi huu pia zi zipi fursa za kukuza mradi huu. Pia nataka kujua namna ya uendeshaji wa mradi huu...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kwenye suala la bima tunaomba Wafanyakazi wa Umma tuwe huru kuchagua kampuni yoyote ya bima ya Afya

    Kwenye suala la bima tunaomba Wafanyakazi wa Umma tuwe huru kuchagua kampuni yoyote ya bima ya Afya Mimi naomba utaratibu ubadilike Ili Kila mtu awe huru kuchangia anapohitaji
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni Gani inatoa bima Bora ya afya kwa mwananchi anayejilipia yeye binafsi?

    Kama nilivyosema wadau naomba ushauri
  18. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Kikristu, Mwanaume anarithi Kampuni ya Baba Mkwe!

    Nimeshudia mara nyingi tu kwenye Ukristu kwa wazungu mwanaume anarithisishwa Kampuni na Baba Mkwe wake na anainedeleza vizazi hadi vizazi, tanzagiza utaambiwa usihenge ukweni, mara kiwanja cha mwanamke usijenge, tanzagiza hata maana ya ndoa haieleweki ni mila mbele tu kwanza. Kwenye ukristu...
  19. snipa

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya TECNO Leo kuzindua Robot Yao Mpya.

    Kampuni ya TECNO Leo imetangaza kuwa itazindua Robot yake. Kaa tayari kwa uzinduzi wa TECNO Robot! Siku ya Leo! TECNO itazindua kwa mara ya kwanza mbwa wake wa kwanza wa roboti iliyoboreshwa kwa AI, TECNO Dynamic 1, kwenye MWC Barcelona 2024. Roboti hiyo ya kisasa inajumuisha slogan ya TECNO ya...
  20. S

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Huenda ni mimi nilifanya makosa kwa kutopitia terms & conditions vizuri ila hawa jamaa walicho nifanyia ni uzalilishaji mkubwa sana. Kuna app moja mtandaoni (play store) inaitwa "PESA M FINANCE". Hawa jamaa walinikopesha elfu 42 mtandaoni kwa muda wa siku 7. Siku jana nilitakiwa ndiyo nilipe...
Back
Top Bottom