Kampuni za Kikristu, Mwanaume anarithi Kampuni ya Baba Mkwe!

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,409
8,911
Nimeshudia mara nyingi tu kwenye Ukristu kwa wazungu mwanaume anarithisishwa Kampuni na Baba Mkwe wake na anainedeleza vizazi hadi vizazi, tanzagiza utaambiwa usihenge ukweni, mara kiwanja cha mwanamke usijenge, tanzagiza hata maana ya ndoa haieleweki ni mila mbele tu kwanza.

Kwenye ukristu unakuta mwanaume kaoa mtoto ambaye baba yake ana kampuni, baba kama hana mtoto wa kiume anamrithisha mume wa binti yake kampuni, hiyo ndiyo ndoa ya kikristu full trust …
 
Join date:26 June 2007

Unajua nini mkuu,hii ni aibu ukiwa kama mtu mzima upo hapa since 2007 (yaani miaka 17 nyuma) lakini unaanzisha thread za hovyo namna hii,check na mods wafute huu uzi
 
We nae ni moumbavu toka lini kuna kampuni za kikristo? Mouuzi utakufa masikini
Amesema kwenye Ukristo, he is just being specific. Na kaelezea experience yake kama nawewe una experience ya urithi ulioona kwa Wahindu au Budha ukiwa Nyarugusu sema.
Join date:26 June 2007

Unajua nini mkuu,hii ni aibu ukiwa kama mtu mzima upo hapa since 2007 (yaani miaka 17 nyuma) lakini unaanzisha thread za hovyo namna hii,check na mods wafute huu uzi
Thread ina utoto gani. Mbona maelezo yake mafupi yanaleta maana na ujumbe na yana mantiki.

Kwanza hapa anazungumzia mazingira ya Ulaya ambapo unakuta mtu ana mtoto mmoja au wawili kwa kutaka. Mtoto wa kike akiolewa baba mkwe anaweza mrithisha mtoto wake au familia au akaweka mkwe wake custodian wa estate. Mifano ipo mingi sana.

Ila bongo baba mkwe awe mfanyabiashara na mkwe wake mfanyabiashara, ila baba mkwe alibahatika kupata binti pekee. Unakuta bora agawe mali kwa ndugu ambao hawajui lolote kwenye uendeshaji wa biashara kuliko ampe mkwe wake (assume binti yake alifariki ila aliacha watoto).

Wazungu wanagawa mali kuangalia legacy, kazi waliyosotea miaka na miaka je itabaki kuwa hai. Huku kwetu wanagawa mali tu kama kumfaidi mfiwa. Mtu anafariki akiwa bilionea ila baada ya miaka mitatu biashara zinakufa.

Nchi nyingine hakuna guarantee ya nani anapewa urithi, hata museum, charity organization, state, binamu, mpwa, mtoto wa kambo wanaweza pewa urithi mkubwa au sawa na mtoto wa kuzaliwa.
 
Amesema kwenye Ukristo, he is just being specific. Na kaelezea experience yake kama nawewe una experience ya urithi ulioona kwa Wahindu au Budha ukiwa Nyarugusu sema.

Thread ina utoto gani. Mbona maelezo yake mafupi yanaleta maana na ujumbe na yana mantiki.

Kwanza hapa anazungumzia mazingira ya Ulaya ambapo unakuta mtu ana mtoto mmoja au wawili kwa kutaka. Mtoto wa kike akiolewa baba mkwe anaweza mrithisha mtoto wake au familia au akaweka mkwe wake custodian wa estate. Mifano ipo mingi sana.

Ila bongo baba mkwe awe mfanyabiashara na mkwe wake mfanyabiashara, ila baba mkwe alibahatika kupata binti pekee. Unakuta bora agawe mali kwa ndugu ambao hawajui lolote kwenye uendeshaji wa biashara kuliko ampe mkwe wake (assume binti yake alifariki ila aliacha watoto).

Wazungu wanagawa mali kuangalia legacy, kazi waliyosotea miaka na miaka je itabaki kuwa hai. Huku kwetu wanagawa mali tu kama kumfaidi mfiwa. Mtu anafariki akiwa bilionea ila baada ya miaka mitatu biashara zinakufa.

Nchi nyingine hakuna guarantee ya nani anapewa urithi, hata museum, charity organization, state, binamu, mpwa, mtoto wa kambo wanaweza pewa urithi mkubwa au sawa na mtoto wa kuzaliwa.
Sasa hizo ni kwa mujibu wa taratibu za jamii yao na sio Ukrisito.
Ukrisito haujatoa utarabu wowote juu ugawaji wa mrathi.
 
Back
Top Bottom