DOKEZO HR wa Kampuni ya G 1 Security Group Limited, amshambulia mmoja ya Wafanyakazi wake baada ya kwenda kufuatilia Sitahiki zake

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Mnamo tarehe 10/02/2024 Hr wa kampuni ya ulinzi ya G1 security iliyopo upanga jijini dar es salaam mtaa wa kitonga,kwa kushirikiana na baadhi ya watendaji wengine,walijaribu kumuua mmoja wa aliyekuwa mfanyakazi wao katika nafasi ya supervisor aliyefahamika kwa jina KESI.
IMG_20240310_115800_935.jpg

Mfanyakazi huyo alifika ofisini hapo kuchukuwa stahiki zake baada ya kampuni hiyo kuamua kumsimamisha kazi. Lakini matokeo yake hakupatiwa haki yake na aliambulia kushambuliwa vibaya sana.
IMG_20240310_115735_137.jpg

Kesi hii ilifunguliwa jalada katika kituo cha polisi sarenda. Lakini hata hivyo haki ya mlalamikaji imepindishwa huku ikisadikika R.C.O kwa kushirikiana na baadhi ya askari wa kituo cha Central, wanashirikiana na G1 security katika kupoteza haki ya mfanyakazi huyo ambaye hata sasa bado hajapona.

Tunaviomba vyombo husika vifatilie ili haki ya mtanzania huyu mnyonge,ipatikane.
 
Mnamo tarehe 10/02/2024 Hr wa kampuni ya ulinzi ya G1 security iliyopo upanga jijini dar es salaam mtaa wa kitonga,kwa kushirikiana na baadhi ya watendaji wengine,walijaribu kumuua mmoja wa aliyekuwa mfanyakazi wao katika nafasi ya supervisor aliyefahamika kwa jina KESI.
View attachment 2930199
Mfanyakazi huyo alifika ofisini hapo kuchukuwa stahiki zake baada ya kampuni hiyo kuamua kumsimamisha kazi. Lakini matokeo yake hakupatiwa haki yake na aliambulia kushambuliwa vibaya sana.
View attachment 2930197
Kesi hii ilifunguliwa jalada katika kituo cha polisi sarenda. Lakini hata hivyo haki ya mlalamikaji imepindishwa huku ikisadikika R.C.O kwa kushirikiana na baadhi ya askari wa kituo cha Central, wanashirikiana na G1 security katika kupoteza haki ya mfanyakazi huyo ambaye hata sasa bado hajapona.

Tunaviomba vyombo husika vifatilie ili haki ya mtanzania huyu mnyonge,ipatikane.
Tusikie maelezo ya G1 security pia.
 
Pole sana.
Ila hii stori ipo upande mmoja ili kutafuta huruma.
Ngoja tungojee story ya upande mwengine wa pili tujiridhishe. Isije ikawa kama ile ya bilionea samwel Shami aliyetoroka nabodaboda hadi wami to Arusha.

Nawachukia sana WAONEVU, WASALITI NA WADHULUMATI.
 
Back
Top Bottom