Kubadilisha umiliki wa biashara binafsi kwenda kampuni

shaby10

New Member
May 21, 2014
1
0
Ukibadilisha umiliki wa biashara binafsi kwenda kampuni inabidi upate tin no nyingine ya kampuni ambayo ni tofauti na ile ya mwanzo (biashara binafsi)
swali.

Endapo tin no ya mwanzo ina deni (TRA) , je hilo deni litaamishiwa kwenye kampuni?, au litabaki kwa mtu binafsi?

Ahsanten
 
Kwa practice TRA hawatajubali kuibadilisha hiyo biashara hadi either uwalipe au uwape mpango wa kulipa deni lako la TIN binafsi. Kimsingi hizo ni biashara mbili tofauti lakini ukiibadilisha kuwa kampuni inamaanisha kuwa ni 'upgrade' so kuna uhusiano mkubwa na TIN binafsi.
Fika ofisi yako ya TRA uwape hii taarifa uone watakupa option gani
 
Back
Top Bottom