kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Canal+ yaweka ofa ya Tsh. Trilioni 4.9 kuinunua Multichoice

    Kampuni ya Canal+ ya Ufransa inayomiliki vyombo vya habari, ambayo pia ni kampuni tanzu ya kampuni ya Vivendi SE, imetoa ofa mpya ya kuinunua MultiChoice, katika mkataba ambao utaitathmini kampuni hiyo kutoka Afrika Kusini kuwa thamani ya Dola Bilioni 2.9. ======= French media company Canal+...
  2. Ibrah Goye

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya uuzaji wa viwanja Bagamoyo

    Habari ndugu mtanzania mwenzangu. Tunakukaribisha sana katika uwekezaji kwenye idara ya ardhi. Sisi PMG AND ASSOCIATE COMPANY LIMITED tunajihusisha na shughuli mbalimbali kama :- 👉🏿Uuzaji wa viwanja na mashamba 👉🏿Upimaji wa ardhi 👉🏿Ubunifu na usimamizi wa majengo 👉🏿Urasimishaji Na kwa maeneo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya Mikopo inayojiita Credit Land imenifanyia udhalilishaji

    Nimepitia udhalilishaji wa kimtandao naomba kupata utaratibu nifanyeje tafadhali. Wamenidhalilisha vibaya mno wameniundia mpaka group, wameadd ndugu zangu na marafiki wakidai ni tapeli nimekaidi kulipa mkopo wao na matusi juu. Kampuni inaitwa Credit Land
  4. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kampuni imebuni namna ya kutumia teknolojia ya AI kama njia ya “kufufua” wafu na kuwaunganisha na wapendwa wao walio hai

    Kampuni hiyo kutoka China imekuwa ikitumia teknolojia inayoiga akili ya binadamu (AI technology) kubuni nafsi ya kidijitali ya aliyefariki na kuwezesha jamaa zake kuwasiliana naye jinsi ilivyokuwa kabla ya kufa kwake. Teknolojia hiyo imesifiwa na wengi kwa kuwa inawapa waliofiwa faraja ya muda...
  5. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Kwanini kampuni ya Maboto haina Application Number ya mkopo katika mfumo wa ESS

    Tunaomba tujue kwani tasisi zote za kibenki ukingia kwenye mfumo unakuta application number ya mkopo ambayo inakuwezesha kusettle deni lako lakini hawa maboto uhuni gani ulitumiaka mpaka hazina wakawakubalia na kuwa N/A Kwanini aisee hii inchi imechezewa sana tunaomba utumishi muwape namba hao...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Lake Energies yadaiwa kudhulumu malipo ya kazi ya Simulizi na Sauti ya Skywalker

    Mtangazaji mkongwe ambaye ni mmiliki wa Platforms za Simulizi na Sauti ameituhumu kampuni ya Nishati ya Lake Energies (zamani lake oil) kuwa imemdhulumu malipo ya kazi aliyoifanyia kampuni hiyo na kila anapojaribu kufuatilia amekuwa akizungushwa. Kitendo hicho kimefanya afikie hatua ya kuweka...
  7. snipa

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya tiGO kutumia Nguvu kubwa kulazimisha Watanzania kuweka salio kwenye namba zao za simu

    Ni jambo la kushangaza kidogo, kwasabu ni jambo ambalo halipo kisheria, hata katika makubaliano wakati unasajili laini laini za Tigo. Hii Leo nimepokea ujumbe unaonilazimisha kuweka Salio ndani ya siku tatu, ikiwa Leo ni tarehe 2 mwisho tarehe 5. Na naambiwa laini yangu itafungiwa kupiga simu...
  8. sinaham

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya vodacom mna nini mwaka huu? Nimekuwa nikipokea offer mfulululizo mfano sms hii hapa na kabla ya hapo MB kama zote.

    Najuaga hakunaga vya bure. Nimekuwa nikipokea sms za kupokea vifurushi bure. Una Dakika 20(Voda) na SMS 100 mpaka 2024-04-08 07:05:35 kuwasiliana na ndugu, jamaa na marafiki. Kujua salio Piga *149*60#. Vigezo kuzingatiwa nimajiuliza sana kwa ile kanuni ya HAKUNA CHA BURE HAPA DUNIANI yasije...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hivi ni ujinga kiasi gani mtu anapaswa kuwa nao mpaka atume pesa kwa mtu au kampuni hewa?

    Karibu kila wiki nakutana na matapeli wa mtandao kwa style tofauti. Huwa nawaacha mpaka waone pesa hizi hapa ndipo nawachana kuwa njia zao za utapeli ni za kitoto hivyo wanapaswa wabadili njia au waache hiyo kazi haramu wamrudie Mungu. Wengi wanaishia kunitukana na kuniblock maana nakuwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya utalii yapigwa faini kwa kuwaruhusu Watalii kula hadharani Zanzibar

    Kamisheni ya Utalii Zanzibar imethibitisha kuipiga faini ya dola 500 kampuni ya utalii ya Organisateur Francophone Tours and Travel kwa kuruhusu watalii kula hadharani katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan. Katika taarifa Afisa wa Uhusiano wa Tume ya Utalii Zanzibar Mohamed Nassor Bajuni alisema...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Badala ya kubinafsisha mashirika yanayotushinda kwa kampuni za nje kwanini tusitafute ma CEO kutoka nje, wenye uzoefu na kazi hizo?

    Inaonekana wazi serikali haiwezi kuendesha shirika lolote. Mwendokasi na hasara za ATC ni mfano wa karibuni juu ya kushindwa huko. Mwendokasi unaenda kutafutiwa muwekezaji kutoka nje!! Huku ni kujirudisha nyuma maana muwekezaji huyo hata kama atatoa huduma nzuri namna gani lakini atachota uchumi...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwako mkurugenzi wa TANOIL: Fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida

    Kwako mkurugenzi wa TANOIL fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida. Kwanza kabisa naomba kumshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa kuruhusu uhuru wa kujieleza hivyo sasa tunaweza walau hata kushauri kwa uwazi hata kukosoa pia. Pili napenda kuweka...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali imetafuta Kampuni kutoka Dubai ili kuipa tenda ya kuendesha Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi Jijini Dar es Salaam

    Inaelezwa Serikali imetafuta Kampuni kutoka Dubai ili kuipa tenda ya kuendesha Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ushirikiano wa Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, amesema DART itasaini makubaliano Mwezi ujao na Kampuni ya Emirates National...
  14. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Hii Kampuni ichunguzwe

    Kampuni ya usafirishaji Mabasi, New force imehusika kwenye ajari nyingi sana. Ifike kipindi mamlaka husika itueleze tatizo lipo wapi vinginevyo roho za watu zitazidi kuteketekea tu kila kukicha.
  15. kelvinvevo

    JamiiForums Tanzania Unaweza kufungua kampuni nje ya nchi? Hatua zake zipoje?

    Habari wakubwa natumai wazima. Nilikuwa natamani kujua kama inawezekana kufungua kampuni yako nje ya nchi na hatua za kufungua nje ya nchi zinaanzia wapi? Asanteni.
  16. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani yaishitaki kampuni ya Apple kwa kuhodhi soko la simu kinyume cha Sheria za Ushindani

    Hii taarifa ilitoka siku 2 zilizopita. Sijui kama imejadiliwa humu ama lah. Lakini hebu tuijadili. Serikali ya Marekani imeishitaki kampuni ya Apple kwa kuhodhi soko na biashara ya simu zake na kuzuia ushindani kwenye mfumo wake wa simu(Apple ecosystems). Serikali ya Marekani inaituhumu Apple...
  17. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya tathmini ya Moody's yaipandisha daraja Tanzania kutoka B2 kwenda B1

    Kampuni ya kutoa tathmini ya nchi juu ya uwezo wake wa kukopa na kulipa madeni, credit rating agency iitwayo Moody's imeipandisha daraja nchi ya Tanzania kutoka B2 kwenda B1. Pamoja na hilo nchi yetu bado iko kwenye kundi la nchi ambazo hazitabiriki. Yaani kuikopesha na kulipwa ni bahati...
  18. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Kampuni za kuuza viwanja zinaumiza wananchi, Serikali iingilie kati

    Ni jambo la kushangaza unapopita mitandaoni kukutana na matangazo ya kampuni zinajinadi kuuza viwanja vya SQM 200, 300 nk, katika maeneo mbalimbali nje ya Jiji. Tena, mbaya zaidi wanaviuza kwa vipimo vya futi. Hivi kweli tunaruhusu viwanja vya SQM 200 miaka hii? Je, haya makampuni hayana...
  19. Bata Boy Official

    JamiiForums Tanzania Ni nani au kampuni gani iliyotengeneza App ya Cheka Plus? Ya wale jamaa wa Cheka Tu?

    Kwema bandugu? Hata sina maneno mengi kwenye hili... Kama title inanyojieleza naomba kufahamishwa ni nani au akina nani? Waliotengeneza App ya Cheka Plus? Natanguliza shukurani.
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wanaokamata magari yanayoharibika barabarani ni kina nani?

    Kuna mambo yanatokea watu wanakaa kimya inasikitishaa sana Kuna mradii sijui wa nani yaan gari isiaribikee njian dk 😱 wako na breakdown wanavuta gariyako Inasikitisha sana naamini manispaa mkooo mnajua hawaa watu ushauri tu waonywe waondoke kuna siku mtasikia mambo ya ajabu watanzania...
Back
Top Bottom