Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,447
- 7,827
Kampuni ya mitaji ya Singapore, PAY imetoa dola za kimarekani milioni 320 kwa mradi wa Graphite mkoani Ruangwa unaotekelezwa na Magnis.
Kampuni ya Magnis Energy kupitia kampuni yake tanzu nchini, Uranex Tanzania Limited inamiliki mradi wa Nachu Graphite uliopo Ruangwa mkoani Lindi.
Kampuni ya Magnis ilikumbana na changamoto ya kifedha na haikuwa na hali ya kukopesheka kirahisi huku mapema mwezi huu ikipokea huruma ya kuhairishiwa marejesho yake kwenye mkopo wenye riba kubwa ilikopa awali.
Pesa hizo zitawezesha mradi wa Nachu kuzalisha tani 240,000 za graphite kwa mwaka.
Madini ya Graphite yanatumika kutengeneza betri na umuhimu wake umeongezeka wakati dunia ikielekea kwenye matumizi ya magari ya umeme.
=======
After four months of diligence, Singapore-based PEY Capital has entered into an exclusivity period with Magnis Energy Technologies to source $320-million in funding for the Nachu graphite project, in Tanzania.
As part of the financing process, PEY has recently engaged its related Tanzanian entity, Tantel, to provide local financial and operational support services.
“Our financing discussions with PEY and Tantel continue to progress in a positive manner,” said chairperson Frank Pullas.
“In recent months Magnis has been in discussions for the offtake of significant volumes of graphite
concentrate,” he added.
The funding will allow for the full development of Nachu to produce 240 000 t/y of graphite concentrate.
SOURCE: Mining Weekly