kali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna series kali kushinda Game of Thrones?

    Najua zipo series nyingi sana ambazo waandishi walituliza akili kuziandika kama vile vikings,lord of the rings etc,ila bado sijakutana na mzigo mkali kama Game of thrones, humu mwandishi alijua watazamaji ni nini tunataka na akatupatia. Natumai waandishi bongo muvi watafikia levo hizi 1 day.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Kila inapokaribia mitihani napata stress kali nashindwa hata kulala naishia kupostpone chuo. Naomba msaada

    Habari wana JF, Mimi nina tatizo kila nikiamua nisome chuo basi ikikarbia mitihani napatwa na hali ya anxiety au kichwa kujam. Hii hali imepelekea mimi kupostpone au kuacha chuo mara tatu. Sasa nnaona kabisa Nahtaji elimu ili inikomboe na umaskini. Nifanye nini kupambana na hii hali...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Joto kali laporomosha soko la wanawake vibonge. Vimbaumbau wanapeta.

    Ukitaka kukutana na uvundo usioelezeka, basi tafuta demu mwenye umbo la tembo. Utajuta kwann ilimtaka. Kutokana na mijasho inayomwagika hovyo mwilini fungus wametapakaa kwenye mikunjo na michirizi yote. Vimbaumbau ndiyo mpango mzma kwa joto hili. © Sexless kungwi la kitaa.
  4. JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milion 2 niwekeje ghetto liwe Kali?

    Wataalam, Asiwadanganyeni mbwa yeyote kukaa kwa baba mkwe jau sana...Hii nyumba nayoishi masaki ni ya baba mkwe, Sasa juzi kati luku iliisha nikampigia kumuomba anunulie nyumba yake umeme,looh hayo maneno niliyomwagiwa ni heri kumwagiwa maji ya ukoko. Sasa kwa hasira nachofanya mshahara...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

    Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku. Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na...
  6. JamiiForums Tanzania THROWBACK: Demu wangu - Mchizi Mox ft Ngwair nani alipiga verses kali?

    Throwback hii hapa kwaju wa demu wangu wa Mchizi Mox ft Ngwair nani alipiga verses kali na aliflow kinyamwezi For me naenda na mwanangu Ngwair aliumiza sana humu ndani hasa kile kipande cha "niguse niku chanechane na viwembe" nakikubali sana. Wewe kwako nani aliumiza humu ndani?
  7. JamiiForums Tanzania Shikamoo Fally Ipupa kwa hili Rhumba lako Kali na Tamu la MAYDAY

    Pole sana Ferre Gola kwani kila ukijitahidi kumkimbiza na kumkuta Mpinzani wako Fally Ipupa tokea mkiwa Waimbaji na Wanenguaji wa Kiume wa Koffi Olomide unakuta ameshafika mbali Kimuziki muda mrefu sana. Sauti ya Kipekee ya Fally Ipupa inaendana vyema kabisa na Nyimbo zake zote za taratibu (...
  8. JamiiForums Tanzania Ipi ni soundtrack yako kali kwenye movie au series ulizowahi kuangalia?

    ....
  9. JamiiForums Tanzania Joto Kali: Wanawake Wajawazito na Watoto Wachanga Waathirika Zaidi

    Wanawake wajawazito wanaweza kuwa hatarini zaidi wakati wa joto kali kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Joto kali linaweza kuzidi uwezo wa mwili wa kudhibiti joto la mama mjamzito, na hii inaweza kuongeza hatari ya matatizo wakati wa ujauzito na kujifungua. Muda wa kujifungua, wanawake...
  10. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Movie Kali Pendwa miaka hiyo ya 1980s-1990s na vibanda umiza kiingilio sh.10.

    Tujikumbushe Movie Pendwa na mabanda umiza ya video wakati huo miaka ya 80-90 wa screen chogo na VHS. Nakumbuka wakati nikiwa Mbeya Kuna sehemu ilikuwa inatwa kwa Mponzi watu walikuwa wanavaa hata hewa hamna sehemu nyingine panaitwa K.K.K kwa Mzee mmoja alikuwa anaitwa Mwakilembe ya Yasini huko...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Sehemu ya kusubiria abiria Kivukoni joto ni kali na feni hazifanyi kazi

    Kuna tatizo tunaomba Serikali, Jamii na hasa mamlaka husika zifahamu ili hatua zichukuliwe, ni kuhusu kero ya joto kutokana na msongamano wa watu Kivukoni Jijini Dar es Salaam. Abiria tunaotumia vivuko tunapata shida sana wakati wa kusubiri Kivuko kwenye lounge kutokana na joto kali...
  12. JamiiForums Tanzania HAMAS kuipiga Israel ni somo kali kwa watawala wote

    Hamas waliwezaje kuivamia Israel na kuua wanajeshi na kuwateka wayahudi zaidi ya 1000? Inajulikana kuwa Israel ni taifa lenye mifumo ya kisasa kabisa ya ulinzi ya kugundua na kupiga maadui lakini ni miezi 4 sasa inashindwa kufikia malengo yake kule Gaza. Israel imeikandamiza Palestine tangu...
  13. JamiiForums Tanzania Wanne wakamatwa kwa kutengeneza Pombe Kali 'Feki' Morogoro

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata Watu wanne ambao ni Ramadhani Mdoe (30) Mkazi wa Msamvu akiwa na wenzake watatu wakiwa wanatengeneza na kusambaza pombe kali feki katika kiwanda kisichosajiliwa (kiwanda bubu) kilichopo Mtaa wa Tushikamane Kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro...
  14. JamiiForums Tanzania Baba mwenye nyumba hataki nifanye biashara ya pombe kali

    Wanajamvi habari za muda huu, poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki. Niende kwenye mada moja kwa moja. Nimepangisha fremu kwenye NYUMBA moja mjini kwa lengo la kufungua biashara ya pombe Kali yaani liquor store. Nikaingia mkataba na mwenye nyumba wa miezi kumi wakati huo yeye hajui nataka...
  15. JamiiForums Tanzania Vyombo vya dola viwachukulie hatua kali sana matapeli wanaojifanya chawa kwa kumshushia hadhi yake Rais

    Serikali na Chama wakiwa wanajua Hali halisi ya ugumu wa maisha wanaopitia watanzania kiuchumi wanajitokeza matapeli mfano wa choice variable na Lucas Mwashambwa kwa makusudi au kwa kutumwa na mafisadi na kuamua kuleta uongo wa kiwango cha Hali ya juu kwa Hali inavyoendelea? kwani nani hajui...
  16. JamiiForums Tanzania Malipo ya Bima kwa wote itaunganisha watanzania kuanzisha vita kali dhidi ya CCM

    Umoja ni nguvu na changamoto na shida ni chachu ya kuleta umoja wenye nguvu. Maisha magumu sana sana na mpango huu wa bima kwa wote ndio ccm na serikali yao ya kidhalimu itajua haiju dadadeki kudadedeki acha vita ije haraka. Wakati wa kuukataa upumbavu ushafika. Tusubiri yajayo yana heri Wadiz
  17. JamiiForums Tanzania Ni zipi ngoma kali za Hip Hop 2023?

    WAKUU KWEMA. HABARI ZA ASUBUHI. TUKUTANE KIDOGO HAPA NDUGU ZANGU WA HIP HOP. Wakati tunaenda kuumaliza huu mwaka 2023. Nitajie Top 10 ya ngoma zako bora ambazo umesikiliza sana kwa mwaka 2023 kwa upande wa Hip Hop lakini. Sio hizo trap. Ukishindwa nitajie top 5 yako..Yale mawe makali ya HIP...
  18. JamiiForums Tanzania Engine ya gari kutoa sauti Kali unapopita kwa speed Kali kwenye rasta

    Heri ya Christmas na mwaka mpya. Wakuu Leo nilikuwa na safari ndefu kidogo Sasa nilikuwa nilikuwa natembeza kachombo kangu kwa speed. Baadaye nikaanza kusikia mlio mkubwa wa kugonga kwenye engine nikipita kwenye rasta kwa speed. Kausafiri kalizima Kama mara moja kutokana na iyo hali. Je...
  19. JamiiForums Tanzania Mwaka 2024 natangaza rasmi vita kali na members wa wanafiki kwa Rais Samia

    Mwaka 2024 naingia rasimi na maadui wa serikali ya Tanzania akiwemo Choice variable, Lucas mwashambwa na wengine wanaompamba Samia kinafiki huku wakijua kuwa Hali ya kisiasa kwa Samia ni ngumu mitaani kuwahi kutokea katika siasa za Tanzania Hawa jamaaa wanasifia ujinga ujinga na unafiki mtupu...
  20. JamiiForums Tanzania Baa zenye pisi kali aka wadangaji Dar

    Wajuzi naomba ntililike na uzi Kuna zile baa za mfano kitambaa juliana .wavuvi sijui elements hizo mengi ni mashindikanaa lakini kuna chimbo za kijanja za kula pisi mq banker .manesi .watumishinwa uma naomba ntaje zsngu The hood Hii ipo sinza mori ukienda uliza ka spiri t and wine shop haka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…