kali

  1. H

    JamiiForums Tanzania Wimbo Overdose ya Diamond kali sana nimeikubali

    Jamaa kaachia wimbo kimya kimya kwa kweli aina hii ya release za Diamond zinakuwaga kali tofauti akifanya promo kubwa.Nimependa sana lyrics yake, melody, Vocal na S2kizzy katengeneza beat nzuri sana ni wimbo ambao huwezi kuuchoka kama baadhi ya nyimbo za mondi.
  2. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania SI KWELI China imepitisha Sheria ya kuwanyonga wanaojihusisha na mapenzi ya jinsi moja

    Inasemekana huko mitandaoni kuwa Serikali ya China imepitisha Sheria ya kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja(ushoga), na Adhabu kali kwa yeyote atakaye jihusisha na na Mapenzi ya Jinsia Moja ndani ya nchi hiyo.
  3. Willy T

    JamiiForums Tanzania Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

    Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia Pia kuna Captain Philips bonge la movie Death race Kuna moja mauwaji ya #Rebel
  4. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Kulikoni kukamatwa na kupewa kesi kina Mwabukusi, Mdude na Dkt. Slaa wakati Lissu ndiye anaupinga mkataba kwa lugha kali zaidi?

    Peace, Katika mjadala wa bandari hakuna aliemzidi Lissu kuzunguka huku na huko akikusanya halaiki kubwa na kupinga mkataba tena kwa lugha kali zaidi, huku akitema hoja nzito nzito zikiambatana na makaripio na dhihaka kwa mamlaka za serikali. Sambamba na hoja zake za moto Lissu amefika mbali na...
  5. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Hii collabo kati ya mtu mzima Jigga (Jay-Z) na Slim Shady (Eminem) Renegade nani aliua (verses kali)?

    Mataita, kwa wale wote ambao tayari wameupa sikio mkwaju huu wa "Renegade" kati ya mzee mzima Jigga akimshirikisha Slim Shady ni mchizi gani alipiga verses kali humu. Mpaka sasa mzani wangu bado upo 50/50 verses za machizi wote nazielewa kiaina. Sijui kwa nini hawa mataita huu mkwaju hawa...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Picha ya Rais Samia kwenye Simba Day ndio picha kali zaidi ya kiongozi wa nchi kwenye michezo

    Picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Wachezaji wa timu ya Simba kabla ya mechi na timu ya Power Dynamos ya Zambia iliyofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023 INAWEZEKANA NDIO PICHA "KALI" ZAIDI...
  7. Gentlemen_

    JamiiForums Tanzania Ngoma kali za Rhumba: All the time Old is Gold

    Binafsi napenda mziki mzuri, hasa kulingana na nyakati. Hali ya hewa leo na huu muda wa usiku hizi ngoma zinachoma moyoni sana. 1> Bane by Oliver NGoma 2>Samba Mpangala -Marina 3> Monique Seka -Okaman 4> M. Seka -Adeba 5> O. N'Goma -Fely Etc Aisee mizigo ni mingi wacha niwaachie wadau (Wazee...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama taarifa hizi za 'Hujuma' inayofanyiwa Simba na Yanga ni kweli, hatua kali zichukuliwe

    Kuna taarifa (si rasmi bado naendelea Kuzichunguza) zinadai kuwa Tiketi nyingi za 'Simba Day' zilizonunuliwa huku Uongozi wa Simba SC ukifurahia SOLD OUT yake wakiamini kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utajaa hadi Pomoni Keshokutwa zimenunuliwa na Matajiri wenye UMAFIA wa Yanga SC kwa Makusudi ili...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama unapataga pisi kali Kila weekend tuzungumze matumizi yetu

    Salaam nyingi kwa waiter🤣! Imekuwa ada yaani kama kawaida mikoa yetu maarufu ya kula bata, Dodoma, DSM, Arusha, na Morogoro. Mabaharia tunakawaida ya kutimba viwanja bila hiana bila kelele tunakaa zetu kaunta na kula vyomboz. Napenda demu pisi ambaye hana matako makubwa sana napenda size ya...
  10. salehe magari

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    NISSAN DUALIS *CROSS RIDER Price :17.5mls (GARI NI MPYA 100%) Year 2010/2011 Engine Cc 1990 Full Ac Low mileage Rim sports 0688591584
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Miji 15 nchini Italia yawekwa kwenye tahadhari kutokana na wimbi la joto kali

    Hali ya joto nchini Italia inatarajiwa kuongezeka kwa nyuzijoto 12C (53.6F) zaidi ya wastani. Utabiri wa siku ya Jumamosi kwa JIji la Roma unaonesha kuwa halo iko katika nyuzijoto 37C (98.6F), na 43C (109.4F) siku ya Jumapili. “Italia, Uhispania, Ufaransa, Ujerumani na Poland zote...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hadhari ya Baridi kali Mbeya, Njombe na Iringa

    “Hali hii ya upepo na baridi inatarajiwa kwenda hadi mwezi Agosti, Septemba ndo hali ya joto itaanza kushuhudiwa, hivyo watu wajipange hasa katika mikoa ya Mbeya, Iringa na Njombe ambapo huko baridi zaidi hushuhudiwa.” – Rose Senyagwa, Mchambuzi wa hali ya hewa TMA. @tanzaniameteorological...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Falling Nandy Vs Shu Diamond ipi Amapiano kali?

    Lazma tuweke ushabiki pembeni, na tushindanishe kwa haki, tuongee ukweli kati ya Amapiano aliyotoa dada Nandy unaoitwa Falling na hii Amapiano aliotoa msanii namba moja kwa mashabiki wengi Diamond inayoitwa Shu, ipi ni ngoma kali kiukweli ukweli, ipi Ina vibe? Hapa ieleweke nashindanisha ngoma...
  14. TODAYS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii kali! Kuna jambo la kujifunza kutoka kwa hawa Wakenya hapa

    Nimerudia mara tatu kuangalia tukio hili, ila mara ya nne nikakumbuka kuna wadau huko hebu nikapate kutanua mawazo kutoka kwako. Kama una bundle fungua ni video ya 5mb, uangalie kwa umakini ili mawazo yako yareply kwa unakini. ☝🏾 Hili tukio la hawa jirani zetu hapo Kenya kurushiwa mabomu ya...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Muuguzi KCMC auawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali uchochoroni

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Muuguzi wa hospitali ya KCMC Moshi Khudheifa Changa (26) Akitoa taarifaa hiyo kwa vyombo vya habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro ACP Simoni Maigwa amesema kuwa walio kamatwa ni...
  16. Collins george

    JamiiForums Tanzania Tunauza furniture kali za kisasa

    Furniture Safi 0786437672 TV show case ✅Urefu ni fut 5. 5 ✅Bei ni Tsh 280,000 Tunapatikana Manzese, Argentina
  17. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pisi kali zilikuwa zinanifilisi

    Leo nimejaribu kukagua nguo zangu zote, karibia robo tatu zimepauka na zimepoteza mng'ao wake; nikawa najiuliza, hivi ni mimi equation x ndio huwa navaa haya mavazi? Ama kweli, pisi kali zinatufilisi sana; tunajikuta tunahonga sana na kusahau kupendezesha miili yetu. Nilikuwa najiuliza, kwa...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Hii ngoma mpya ya lavalava Kali ametisha

    Jana ndio ilikuwa Mara yangu ya kwanza nasikia ngoma ya lavalava nilikuwa sijawahi kuitafuta kuisikiliza ila wakati nipo kwenye daladala ndipo ngoma nikaisikia ya Tajiri jamaa latisha Sana kuanzia idea yake mpaka melodies Cha muhimu asiwe anakaa kimya Sana bila kutoa ngoma kwa kipindi hiki Cha...
  19. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Dar kuna mlipuko wa Malaria Kali?

    Kama unaishi Dar, chukua tahadhari mapema maana kuna "mbu" mmoja hatari sana anayeeneza malaria kali ambayo inapelekea watu wanalazwa mpaka wodi za wagonjwa mahututi. Hakikisha huachi kupuliza dawa ya kuua mbu kila jioni, na unalala kwenye chandarua salama kisicho na matundu yanayoingiza mbu.
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kunywa Pombe kali na kucheza kamari za Kichina hazisaidii, nchi inaibiwa. Watanzania mnatakiwa kuamka

    Naona mnakomaa kulewa Pombe kali huku mkishinda mnacheza kamari. Hii ni dalili kuwa Watanzania mmekata tamaa na mmeacha wanaoiba mali zenu wawaibie wanavyotaka Hivi mnadhani hii ndio suluhu. Mbona Ndugai aliwapa angalizo kuwa nchi itapigwa mnada mkapuuza au sio nyie?
Back
Top Bottom