Hii mikoa laana zimezidi za watu au shida ni nini? Ilipaswa kuwa baridi mwezi huu lakini joto kama lote tofauti na mikoa mingine. Hatujui lini winter(kipupwe) kitaanza 🤦🏾
Ina maana majira yamebadilika huku tu, mbona mikoa mingine sasa hivi kuna baridi?
Kumekuwa na tabia ya wananchi wasiostaarabika kufungulia chemba za vyoo(Kutapisha Vyoo) kipindi cha mvua zinaponyesha.
Hii tabia ya kishenzi ipo hasa Dar es Salaam mitaa ambayo miundombinu ya gari la kunyonya majitaka ni mibovu kiasi kwamba hapafikiki kwa urahisi. Pia wengine wenye tabia hiyo...
Hi,
Ni onyo kali hata iweje usiache ghetto ukahamisha vitu vyako ukaenda kuishi na mwanamke kwake awe amejenga au amepanga, au kama mmepanga yeyw mwanamke ndiye awe anafahamika kwa mwenye nyumba ni kosa kubwa.
Kwa asili wanawake hawatabiriki na hawana upendo wa kudumu, mwanamke anataka kitu...
Habari ya leo ndugu waTanzania na wote msomao mada hii. Hope you are good with your life.
Leo napenda niwape ushuhuda wa maisha yangu jinsi fridge lilivyo badilisha maisha yangu na kuongeza ufanisi wangu wa kupiga show kunako majambo.
Mimi nimepanga geto, sina mke, ila katika kuhakikisha...
Wakuu kwema? I hope mko poa
Nina 400,000/= hapa nahitaji kununua PC, ningependa mnishauri kwa budget hii
- Napata Laptop MPYA yenye uwezo gani? na wapi naweza kuipata?
- Napata laptop USED yenye Uwezo gani? (Kutoka yale maduka wanayouza used laptops)
Naomba mnisaidie katika hili wakuu...
Mara zote mchezaji anapoondoka yanga kihuni na kwa ngebe na kebehi nyingi uwa mwisho wake ni mbaya sana, Tunarejea habari za wakina Frank Domayo, Gadiel Michael, Ibrahim Ajibu, na wengine kilichowakuta wanakijua mpaka sasa wamepotea kwenye ramani ya soka.
Kwa maana iyo waombe msamaha wanachama...
Wasalaam,
Habarini wajameni, kwa wiki mbili ntakuwa safarini tanga got some friends from Ethiopia, Europe and Uganda a crew of 15 Baharia tunafanya regionwise city beak travels, and our exploring trip bogins with tanga, naombeni kujua maeneo recent yenye vyombo vikali.
Hawa wageni nataka...
Mwaka Jana wandoa wanaume wanadai wamama wabaya Wakaenda Kwa michepuko,
Mwaka huu wamama na shida zao na comments zao na michepuko .
At least mna watoto bwana hebu shukeni mtuambie shida nini ?mbona mama zenu , baba zenu walikuwa wanavumiliana aisee acheni hizo .
Vumilieni aisee maana...
Baadhi ya wavuvi waliochomewa nyavu zao wakati Mpina akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi wameomba achukuliwe hatua na kuwalipa fidia.
Wakati hilo likiendelea baadhi wametaka CCM isimpe tena nafasi ya kugombea Ubunge mwaka 2025 baada ya kushiriki kupora ardhi zaidi ya hekari elfu moja na...
Wachezaji wa Yanga SC kutoka kulia Salum Kabunda ‘Ninja’ (sasa marehemu), Kenny Mkapa, Abeid Mziba, Method Mogella, David Mwakalebela, Said Mwamba ‘Kizota’ (marehemu) na Hamisi Gaga (sasa marehemu) wakifurahia ushindi wa 1-0 dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Aprili 12, mwaka 1992 katika...
Kwa wale mnaofatilia tamthilia hii mtaungana nami kuwa director Lamata analazimisha kuongeza matukio ili ivutie lakini katika uhalisia ilipaswa iwe imeisha siku nyingi.
Bill kashajua mama yake ni aunt Zai, Maria na Frank kila siku vitimbi kama ilivyo femi na luka kila siku drama za kufumaniana...
Hima hima Tanzania.🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Waziri mkuu, Jana tarehe 17/05/2023 katika mkutano wako na wafanyabiashara wa k/koo asilimia kubwa ya wachangiaji waliwanyooshea kidole baadhi ya wafanya kazi wa TRA kwa RUSHWA iliyokithiri.
Kilichonishangaza hukutoa Kauli yoyote Kali ya kushughulikia changamoto hiyo...
Wakuu nataka kuwa moja kati ya wanaJF wenye nyumba kali. Hii ni idea ya kunipeleka huko. Hii ndio nyumba ya kudumu ya mkuu wenu itakayowekwa kwenye kiwanja cha mita za mraba 2,000. Inatakiwa kuwa nyumba kali kushinda zote pale. Iwe kali mpaka watu waseme nimejiunga Freemason, wazushe humo ndani...
Hello!!
Msanii wa singeli Dulla Makabila anatimiza ahadi yake leo aliyoitoa wakati akifanya interview na Dozen Selection kuwa haitafika Jumatatu lazima amuoe mpenzi wake Naira wa Juakali
Dullamakabila muda huu anatoka kwenye hotel yenye hadhi ya nyota tano Hyatt Regency na kuelekea kufunga...
NEMC wamekazana kukamata wenye baa kwa sababu huko kumenona, bodaboda nyingi zina muziki wenye sauti kali sana ya juu ambayo huumiza masikio.
Pamoja na kutokunona lakini itakuwa jambo jema kukomesha kelele hizo.
WACHUJA NAFAKA Tusisubiri Wapotee wote.....ndiyo tuseme waliwahi kutoa Moja ya Albamu kali, Narudia Tena Albam kali kuwahi kutokea Tanzania.
Fatilia Uzi Huu utajua kwanini nakuambia Ilikuwa moja ya Albam Kali Tanzania.
WACHUJA NAFAKA lilikuwa kundi la Muziki wa RAP lililoundwa na wasanii Juma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.