Jinsi ya kubadili user agent ili niweze kupata access ya freebasics kwenye PC

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,483
2,000
Naomba kuelekezwa kubadilisha user agent katika PC niweze kutumia free basics kwenye PC
Unaweka tu browser extension, Ingia store ya browser husika ama Google, mfano browser ni Firefox andika hivi google

Firefox user agent switcher

Zitakuja kibao.

Utaeka kwenye browser yako Kisha click hio extension chagua user agent ya iPhone ama simu yoyote utakayoiona.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom