Anayejua jinsi ya kupata hifadhi (asylum) atujuze kufuatwa hakuishi na chuki zimezidi zipo kimya kimya

Brightg

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
373
660
Tupo nchini kwetu tumeiba cha nani, nchi ni ya kila mtu na kila mtu ana haki ya kuishi, kwanini tunafuatiliwa kimya kimya na kupewa kesi ambazo hatuna na hatuja wahi kuzifanya, wanataka watuue wote tuishe?

Naomba kwa anayejua jinsi ya kupata hifadhi (asylum) na kufika atusaidie kama ni Mwanasheria wa nchi jirani atuunganishie, hali ya kukamata na kupewa kesi ni tete sana haya hatuyawezi hatuja yazoea. tusaidieni.

Huyo mwanasheria asiwe mtego wa kutukamata
 
😬😬😬

098765.jpg
 
Tupo nchini kwetu tumeiba cha nani, nchi ni ya kila mtu na kila mtu ana haki ya kuishi, kwanini tunafuatiliwa kimya kimya na kupewa kesi ambazo hatuna na hatuja wahi kuzifanya, wanataka watuue wote tuishe?

Naomba kwa anayejua jinsi ya kupata hifadhi (asylum)na kufika atusaidie kama ni mwanasheria wa nchi jirani atuunganishie, hali ya kukamata na kupewa kesi ni tete sana haya hatuyawezi hatuja yazoea. tusaidieni. Huyo mwanasheria asiwe mtego wa kutukamata
Duh.

P.
 
Ungekua mwanasiasa ungeshajua...ungekua mfanyabiashara mkubwa pia ungeshajua...ungekua umebambikiwa kesi pia ungeshajua hifadhi inapatikana kwa njia gan...
Chakukusaidia tu ni kwamba we tafuta rafiki nje hlf muombe mualiko ukamtembelee ..
Au nenda kwa Kibatala yule mwansheria wa chadema
 
Daaa kama taifa Kuna sehemu kubwa sana tumekosea vipi wazee wetu mbona wapo kimya tu au ndio matumbo yao kwanza na vizazi vyao...
 
Hilo haliitaji mwanasheria wewe omba visa Nchi unayotaka kwenda nenda ukifika huko ndio wanaita vijana kujilipua yaani unaomba hiyo asylum ukiwa huko unaachana na mambo ya kugonga passport wakongo,warundi,wapemba,wanyarwanda wengi wanaishi kwa kutumia asylum hata Watanzania pia Mimi mwenyewe nishawahi kutumia asylum kwa sababu ukiwa na asylum unaruhusiwa kufanya kazi au biashara wana passport yao pia ila wana sheria Nchi ya Kwanza kufika ndio hiyo hiyo unatakiwa upate hiyo asylum sasa hicho kigezo ukikivunja ndio unatumia wanasheria kupata Visa...
 
Wewe unataka kukimbia uende wapi? Utuache peke yetu huku. Hakuna kwenda kokote, kama joto ya jiwe tuipate sote!
 
Hilo haliitaji mwanasheria wewe omba visa Nchi unayotaka kwenda nenda ukifika huko ndio wanaita vijana kujilipua yaani unaomba hiyo asylum ukiwa huko unaachana na mambo ya kugonga passport wakongo,warundi,wapemba,wanyarwanda wengi wanaishi kwa kutumia asylum hata Watanzania pia Mimi mwenyewe nishawahi kutumia asylum kwa sababu ukiwa na asylum unaruhusiwa kufanya kazi au biashara wana passport yao pia ila wana sheria Nchi ya Kwanza kufika ndio hiyo hiyo unatakiwa upate hiyo asylum sasa hicho kigezo ukikivunja ndio unatumia wanasheria kupata Visa...
Asante studio,mwingine mwenye nondo nzito
 
Gharama za kuomba Visa zikoje mkuu.?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom