IrDA
JF-Expert Member
- Aug 26, 2010
- 743
- 350
Habari wakuu,
Nimekuwa interested na kujifunza teknolojia ya kuprint picha na kuziweka kwenye photo frame za mbao kama inavyoonekana hapo pichani.
Nimejaribu kuomba kufundishwa na watu mbalimbali wanaofanya biashara hii mitandaoni bila mafanikio.
Naomba msaada wa maelekezo, kama kuna online resources nnazoweza kutumia kujifunza teknolijia hii, ikiwemo sehemu ya kupata materials za frame, aina ya printer inayohitajika n.k
Pia kama kuna mdau humu anayeweza kunifundisha kwa gharama nafuu, acomment hapa au aniPM; ntashukuru sana.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.