jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kidadari

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuagiza bidhaa Ali Express

    Nimeona simu nzuri AliExpress za Xiaomi wanauza nimevutiwa kuzinunua maana bei ni rhisi kiasi naomba mwenye uelewa wa jinsi ya kuzinunua na kuzipata nikiwa Tanzania. Je vipi ubora wake? Je zinafika salama au unaweza kubadilishiwa na kuwekewa mzigo feki?
  2. ABiClever Junior

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUSOMA HADITHI KWA HARAKA

    Kwa hadithi nzuri na za kuelimisha tembelea CLEVER WEB TZ au DOWNLOAD APP Cleverwebtz
  3. The only

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuvunja urafiki bila UADUI

    Kwenye maisha unapata marafiki mbalimbali wanaokupa experience nyingine, mashauri, upendo na hata msaada kiuchumi. Marafiki huwa ni zawadi toka kwa muumba ndo maana huwezi pata rafiki kwa kumnunulia bia lazima muwe na natural meet of mind. Lakini jambo moja hatulijui, ni Je marafiki huja...
  4. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukaa muda mrefu bila kulala uzi huu hapa

    Salaam kwenu! Ulishawahi kukaa muda gani (siku ngapi) bila kulala? Kwa nini. Binafsi sitosahau tulikuwa tunahama na mifugo, ndo mara ya kwanza kuingia kwenye misafara hyo (baada ya kumaliza shule). Siku ya kwanza tulitoka Ifakara mida ya saa mbili usiku hadi kesho yake jioni tukafika...
Back
Top Bottom