jengo

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jengo limeanguka Zanzibar, mtu mmoja ajeruhiwa, wengine 15 wameokolewa

    Jengo la PBZ lililopo Forodhani limeanguka, inadaiwa kulikuwa na watu kadhaa ndani ya jengo hilo lakini bado hakuna taarifa rasmi juu ya chanzo cha tukio hilo na madhara yaliyojitokeza.Jengo la PBZ lililopo Forodhani limeanguka, inadaiwa kulikuwa na watu kadhaa ndani ya jengo hilo lakini bado...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania 'OBLISCO CAPITAL', Jengo linalotarajiwa kuwa refu zaidi linalojengwa Misri. Linataraji kulifunika Burj Khalifa

    Oblisco Capitale ni jengo (Tower) inayojengwa kuwa mojawapo ya alama za Jiji la Cairo. Mnara wa Oblisco Capitale unaotarajiwa kuwa urefu wa mita 1000 (KM 1) kwenda hewani utakamilika ifikapo mwaka 2030 utakuwa mkubwa na mrefu zaidi zaidi ya ule uliopo Burj Khalifa nchini Dubai, hivyo kuufanya...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Jengo la PSPF mita 134 ndo Refu Tanzania, Wenzetu wanajenga Jengo lenye Urefu wa Mita 1,700 huko Tokyo

    Jengo la PSPF Ukiacha na Jengo refu kabisa duniani la Burj Khalifa la huko Dubai lenye urefu wa kwenda Juu zaidi ya Mita 828, sasa yanajengwa Majengo mapya Marefu kulipita na yanatazimwa kufunika kabisa Khalifa. Je, Watafanikiwa kuyajenga? Jengo la TPA Kwa Upande wa Tanzania, Jengo PSPF...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Jengo la Kitega Uchumi Pemba, leo Januari 9, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua jengo la Kitega Uchumi la Zanzibar State Trade Cooperation - Pemba visiwani Zanzibar. https://www.youtube.com/watch?v=Xmw8ujSdvGI === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka wakulima...
  5. KISS 100

    JamiiForums Tanzania Kijiji chote kimesombwa na Mafuriko, Kanisa limebaki

    "Kwenye madhara haya tumepata majeruhi pia wapatao 116, wanaume ni 56 na wanawake ni 60, ndugu Watanzania haya maafa ni makubwa sana, pia tumepata uharibifu mkubwa wa nyumba za kuishi, mashamba na mitambo mbalimbali ya magari, nimepata bahati ya kwenda Gendabi nyuma ya milima, kile kijiji nyumba...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Maafisa wa TRA (TMU) wakishirikiana na Wakala wa bandarini kuwadhulumu wasafirishaji

    Kuna baadhi ya maafisa wa TRA (TMU) wanatumika na bwana mmoja anaitwa Beno wa kampuni ya Will Logistics, anachokifanya bwana huyo anakodi magari halafu halipi pesa kama inavyotakiwa. Ukifika wakati wa magari kufikisha mzigo unakataliwa kulipwa pesa yako, kisha unapigiwa simu na afisa wa TMU...
  7. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Sababu 30 Zinazopelekea Mmiliki Wa Kiwanja/Shamba/Jengo Kuuza Kwa Bei Nafuu

    Kuuza Kiwanja/Shamba/Jengo Kwa Hamasa Kubwa Hamasa ya muuzaji ni kile kinachomsukuma mmiliki auze ndani ya siku anazotegemea. Hamasa inaweza kuwa moja ya mambo yafuatayo:- ✓ Kutalakiana kwenye ndoa. ✓ Migogoro ya ubia miongoni mwa wamiliki wa kiwanja, au jengo. ✓ Kupoteza ajira. ✓...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Young Africans sc klabu ya kwanza Tanzania kumiliki Jengo

    Rejea gazeti la mwananchi.
  9. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Sikujua kichaa anayelala nje ya jengo langu ni mpelelezi anayemtafuta gaidi wa Kizungu niliyemuoa bila mimi kujua ni gaidi

    SIKUJUA KICHAA ANAELALA NJE YA JENGO LANGU NI MPELELEZI ANAEMTAFUTA GAIDI WA KIZUNGU NILIYEMUOA BILA MIMI KUJUA NI GAIDI😳🔥 Sehemu ya Kwanza ( 1 ) *************** KILA Mtu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Ilikuwa takribani siku nne zimekatika tangu nianze kumuona mwanaume kichaa nje ya jumba langu akiwa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa unaunguza jengo eneo la Rwegasore na Lumumba Jijini Mwanza

    Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijafahamika umezuka katika jengo la ghorofa moja kati ya Mtaa wa Rwegasore na Lumumba Jijini Mwanza ambapo inaelezwa jengo hilo ni stoo ya kuhifadhia mapambo. Jeshi la Uokoaji na Zimamoto Mkoa wa Mwanza tayari limefika eneo la tukio na linaendelea na...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ya Huduma na Mazingira katika Wodi No. 11 Jengo la Kibasila, Hospitali ya Taifa -Muhimbili hairidhishi

    Wodi namba 11 ni miongoni mwa wodi za wanaume zilizopo jengo la Kibasila katika Hospitali ya taifa Muhimbili (Upanga) Hali ya mazingira katika wodi hiyo sio nzuri 1. Sakafu ni chafu 2. Mashuka yamepauka 3. Vitanda vimechoka na vimepangwa kwa kusongamana 4. Vyandarua licha ya kuwa na rangi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kaombeni Vibarua Jengo la Freemason Posta, Dar

    Enyi mnaosaka vibarua ndani ya JIJI la DAR, nendeni mkaombe vibarua hapo kwenye Jengo la Freemason Dar es salaam. wanafanya maboresho ya Jengo zima kuanzia Ground Floor mpaka Paa. Huwezi Jua labda Deiwaka ni laki moja kwa siku.
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Jengo la Usalama wa Taifa Urusi lapigwa bomu na drone ya Ukraine

    Dah! Sasa ikiwa usalama wa taifa (FSB) hawapo salama nani mwingine yuko salama....kama mashairi vile ==== A Ukrainian drone hit an FSB building in the city centre of Kursk, Russia, on the morning of 24 September, a source from Ukraine’s Defence Intelligence claims. Source: source of Ukrainska...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mfumo wa Posta ubadilike kuendana na Mahitaji ya sasa ya soko

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU), Arusha, leo Septemba 2, 2023. https://www.youtube.com/live/MSIbItMgQvo?si=ogAiZuUyEEvUzqqK === Rais Samia amesema huu ni mradi wa ubia uliogharamiwa na...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Moto kwenye jengo la wahamiaji Johannesburg

    Kumetokea moto katika jiji la Johannesburg kwenye jengo linalotumika na wakaazi na idadi kubwa ya wahamiaji, na kuua watu 74 ambapo kuna uwezekano wa ndugu zetu wa Tanzania. Pia huwa wanajibanza haya majengo ni maarufu kwa wahamiaji kwa sababu, wengi huwa hawalipi kodi kuishi au kulipa kodi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Hatima ya Jengo la kiuchumi la kanisa la Anglican(SAFINA HOUSE) mjini Dodoma, inaweza kuwa kama ya Jengo la TANESCO pale Ubungo, Dar-es-Salaam

    Huu ni mtazamo kulingana na ukweli kuwa, Jengo hili kubwa na zuri, limejengwa pembezeni mwa barabara inayoingia mijini Dodoma (katika ya mji) huku barabara ikiwa finyu na magari teyari ni mengi na siku zijazo barabara itahitajika kupanuliwa. Ukiangalia, ni wazi watakuwa wamejenga nje ya hifadhi...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Jengo ndani ya Urusi lapigwa bomu na drone ya Ukraine

    Drones zinazidi kuwa kero kwa Warusi, na sasa viwanda vya Ukraine vimechachamaa kuzalisha kwa maelfu... An explosion has occurred in the Russian city of Belgorod, damaging the facade of a high-rise building and cars. Source: Meduza, a Latvia-based Russian independent news outlet, with...
  18. Exile

    JamiiForums Tanzania Hivi hizo tozo za jengo zinafanya kazi gani? maana umeme kutwa kukatika

    Wakuu juzi tu hapa wameongeza kodi ya mita za luku kutoka 1000 hadi 1500 inamaana kwa siku za tarehe 1 ukinunua umeme wa 5000 unapata unit 9, inamaana inakua umenunua umeme wa 3500. Kinacho sikitisha na kuchosha ni kukatika kwa umeme hovyo, sasa nyie wizara ya nishati hizo hela mnazotukata...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wanajipigia tu majengo ya Moscow ndani, wapiga jengo lingine

    Ukraine wanafanya majaribio ya drones walizotengeneza, na sasa imekua mwendo wa kuchagua jengo lipi la kupiga Urusi, tena kwenye mji mkuu, ni mwendo wa madogo kubonyeza bonyeza tu...... Supapawa alisema akiguswa ndani ya Urusi atatumia manyuklia, tunamsklizia.....maana hana kete nyingine, katuma...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania KWELI Kwa nchi za jirani na Tanzania Hakuna bendera ya nchi hizo iliyowahi kuwekwa jengo la Burj Khalifa baada ya Tanzania

    Kuna wakati jengo la Burj Khalifa lilisambaa mtandaoni likiwa na bendera ya Tanzania na Picha ya Rais, lakini kwa siku za hivi karibuni nimeona tena mitandaoni kuna picha za bendera za majirani zetu zikiwa kwenye jengo hilohilo. Mjadala wa bendera za nchi za Afrika mashariki kuwekwa kwenye...
Back
Top Bottom