jengo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Gharama ya shangingi moja, inaweza kununua vifaa vingapi vya uokoaji wa watu walionaswa kwenye vifusi vya jengo la ghaorofa lililoporomoka?

    Wataalamu mliomo humu, naomba mtupe gharama ya vifaa vya kisasa vinavyotakiwa kwa shughuli za uokoaji kwenye majanga kama haya ya watu kufukiwa kwenye vifusi vya jengo la ghorofa lililoanguka. Ni bora tukajadili mambo haya labda wenye mamlaka wanaweza kuona aibu na kuchukua hatua ili siku...
  2. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Salamu za pole kwa ajali ya Jengo la Kariakoo

  3. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Jengo ambalo halikujengwa kuwa Godauni lisibebeshwe mizigo huko GHOROFANI

    INASEMEKANA MAGHOROFA MENGI KARIAKOO YANATUMIKA KINYUME NA PLAN YAKE YA UJENZI.. GHOROFA linakuwa limejengwa kwa plan ya makazi hizo floor za juu lakini Kariakoo zinageuzwa kuwa magodauni ya kuhifadhia mizigo mizito mizito huko GHOROFAni.. GHOROFA la makazi estimated nondo zake ni kubeba watu...
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tumekuwa na hofu, kwa fremu za chini ya ardhi, kikosi maalum kifanye ukaguzi wa majengo yote kko, kwa Ada ya 2.5ml,kwa kila jengo!

    Ni hekima iliyo kubwa hasa kwa ili lililotokea mamlaka husika zikapitia majengo yote kariakoo kwa ukaguzi wa kina, kuanzia ngazi ya uimara wa nguzo na mengineyo ili kutupa moyo sisi wafanyabiashara kuzama kwenye maduka ya underground, napendekeza kila jengo baada ya kukaguliwa likawekwa sticker...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa awasili lilipoporomoka jengo Kariakoo, uokoaji waendelea

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasili Kariakoo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujionea hali ya uokoaji inavyoendelea katika jengo la ghorofa liliporomoka leo Jumamosi Novemba 16, 2024 asubuhi. Soma, Pia: • Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16 • Rais Samia atoa pole kwa...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Uchimbaji wa maduka ya chini kwa ajili ya kuongeza sehemu ya maduka unatajwa kuwa chanzo cha kuporomoka kwa jengo kariakoo

    Kwa mujibu wa mashuhuda, ghorofa hilo lilianguka ghafla saa tatu na dakika tano asubuhi wakati mafundi ujenzi walipokuwa kazini wakitoboa kwa ajili ya kuongeza sehemu ya maduka. "Tulianza kusikia kelele za mtikisiko, kisha kwa ghafla jengo zima likaanguka. Wananchi wameshindwa kujiokoa na...
  7. U

    JamiiForums Tanzania IDF imesema kuwa imewakamata wapiganaji watatu wa kundi la Hezbollah wakati wa operesheni zake kusini mwa Lebanon

    Wadau hamjamboni nyote? IDF imesema kuwa imewakamata wapiganaji watatu wa kundi la Hezbollah wakati wa operesheni zake kusini mwa Lebanon. Wapiganaji hao watatu wa kikosi cha Radwan walipatikana wakiwa kwenye shimoni chini ya jengo, kwa mujibu wa taarifa ya IDF. Walihojiwa mara moja baada ya...
  8. U

    JamiiForums Tanzania News alert Kiongozi mwandamizi Hezbollah Wafiq Safa anusurika shambulizi ndege za IDF zikilipuwa jengo kubwa la ghorofa Lebanon, 22 wauawa

    October 11, 2024 LATEST UPDATES ON WAFIW SAFA CONDITION FOLLOWING IDF AIRSTRIKE IN BEIRUT Report: Hezbollah official Wafiq Safa in critical condition after airstrike in Beirut Today, 1:55 pm 13 Sky News Arabia reports that Hezbollah’s Liason and Coordination Unit chief Wafiq Safa is in...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Sisi ni Watumishi wa Wananchi na si Mabwana wala Watawala wa Wananchi

    https://www.youtube.com/watch?v=i0jHmbJVjS4 Akizungumza wakati anazindua jengo la ofisi y mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Rais Samia amewataka viongozi wa Halmashauri hiyo kutumia jengo hilo kurahisisha kufanya kazi zao kwa sababu miundombinu ni mizuri na pia aliwataka watumishi...
  10. Druggist

    JamiiForums Tanzania Developers wa Jengo la biashara Wanakaribishwa Katoro

    Nakaribisha Developers wa Eneo la Familia lililopo Barabara ya CCM Mkabala na Kituo Cha Afya Katoro.Njoo na proposal.Familia inamilki Eneo na Nia ni Kujenga Trade Centre (Tayari Jengo 1 limekamilka). Eneo linatazama Lami hivyo developer atajenga na Kupangisha Kwa Miaka Kadhaa Kwa makubaliano...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde Azindua Ujenzi Jengo la Mapumziko Hospitali ya Mkoa wa Dodoma

    MBUNGE MAVUNDE AZINDUA UJENZI JENGO LA MAPUMZIKO HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA DODOMA MBUNGE wa Jimbo la Dodoma mjini, Mh. Anthony Mavunde amezindua ujenzi wa jengo la mapumziko la wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kusema kuwa ujenzi huo ni sehemu ya utatuzi wa changamoto...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa jengo la mapumziko la Wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma waanza leo Septemba 20, 2024

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amezindua ujenzi wa jengo la mapumziko la Wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kusema kuwa ujenzi huo ni sehemu ya utatuzi wa changamoto zinazowakabili Wananchi. Uzinduzi huo umefanyika nje ya jengo hilo ambalo kuna eneo wanakaa...
  13. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nasikia mashekh na wachungaji wamemiminika Kwenye lile jengo jeupe ili kupindua karma na Albadir

    Wazee wa Tanga hata msingefanya lolote Ila karma ingeshughulika nao hao watu . Mwaka 2021 yule bwana aliyekuwa anataka kumuua Tundu lissu alipokea Malipo yake
  14. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Video: Radi yapiga Jengo la Mekkah Clock Tower

    Video ikionesha radi ikipiga jengo la Makkah Clock tower. Wakuu hii ina maana yoyote katika matukio ya siku za mwisho? adriz Maghayo Kosugi https://x.com/BRICSinfo/status/1828454013852905681?t=nDRuVs0Jjy6m0hj2bGc7HA&s=19
  15. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan azindua Jengo la kisasa la Ofisi za Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi

    HABARI PICHA: Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Ofisi la Jeshi la Polisi Mkoani Katavi. Jengo hilo litakuwa linatumiwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi pamoja watendaji wake wote walio chini yake ndani ya Mkoa...
  16. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Tunaomba TANESCO watuambie ukweli kuhusu ongezeko katika kodi ya jengo

    Tunaomba TANESCO watuambie ukweli kuhusu ongezeko katika kodi ya jengo. Awali kupitia barua waliyotoa tarehe 2 July 2024 walisema ongezeko hilo ni kwaajili ya madeni ya nyuma! Sasa tunaomba kufahamishwa baada ya makato hayo gharama zitaendelea kuwa zile zile za awali ambapo ni 1500 au ni 2000? 🤔
  17. A

    JamiiForums Tanzania Kodi ya ardhi sijui jengo

    Wabari wa jambi kuna kitu nimekuwa nakiwaza naona kinanipa utata aidha mnisaidie kunielekeza 1. Je tanesco wanatoza kodi ya JENGO AU ARDHI? 1.1. kama ni ardhi kwanini mtu mwenye eneo lake anafuga kuku au mbuzi au analima ila anatumia umeme wa solar au hatumii umeme kabisa au mshumaa hapigwi...
  18. Mburia

    JamiiForums Tanzania Tanesco kodi ya jengo imepanda?

    Wanajamvi leo nimenunua umeme wa 25,000/= na makato yalikuwa kama ifuatavyo: MAKATO 1. VAT 2,803 2. EWURA (1%) 155.74 3. REA (3%) 467.21 4. DEBT COLLECTED 6000 TOTAL 9,426 BALANCE FROM MY 25,000 = 15,574 Sasa hii 6000/= ni ile kodi ya majengo imepanda?
  19. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini muonekano wa jengo Kanisa Katoliki Salasala uko tofauti na unafanana na makanisa ya KKKT?

    Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu tumezoea kuona majengo ya Kanisa Katoliki maeneo mbalimbali yakiwa na muonekano wa kipekee unaoakisi majengo ya asili ya karne nyingi zilizopita. Lakini ukitazama jengo la Kanisa Katoliki Salasala Dar es salaam muonekano wake uko tofauti kabisa. Yaani...
  20. toriyama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. Kueleka maandamano kwenda ikulu siku ya alhamis

    Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. https://x.com/Murangoanalyst_/status/1805642997469495590?t=80emWWWphzY2QaF_rYH1Xw&s=19
Back
Top Bottom