jengo

  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Joka la vichwa viwili ndani ya msingi wa jengo lililoanguka na kuua watano Marangu

    Kwema ndugu yangu Mshana Jr mwandishi nguli wa habari za watu wa kuzimu. Tafadhali naomba ufafanuzi wa hili... Juzi kuna jengo la ghorofa lilidondoka na kupelekea kupoteza maisha ya vijana wetu wasiopungua 5 kwa mujibu wa ripoti za uchunguzi. Sikubahatika kufika kwa eneo la tukio lazima...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Ujenzi CHADEMA: Jengo la chama Iringa, tunaomba michango yenu

    Yaani mjenge ofisi Iringa huku bado mmepanga Ufipa .👇
  3. Transistor

    JamiiForums Tanzania Mfungo wa umeme wenye kupunguza uwezekano wa moto katika jengo

    "Wall and underground concealed conduit wiring" Habari wakuu, Ningependa kuelezea aina hii ya ufungaji umeme kwenye makazi,tofauti na ule wa kupitisha waya juu ya dari na ukuta. Katika mfumu huu kiasi kikubwa cha wire zinapita katika ukuta na chini ya sakafu. Mara nyingi upitishaji wa...
  4. Bazeng

    JamiiForums Tanzania Je, Mkopo wa Benki unaweza kudhaminiwa na Jengo ambalo linaenda kujengwa kwa kutumia mkopo huo?

    Habari wana JF, Ninaomba kupata mawazo au majibu ya swali hili. Ninawazo la kujenga jengo dogo la biashara mkoa mmoja hapa Tanzania. Nina eneo tayari kikwazo ni fedha na option iliyopo ni mkopo kutoka benki yoyote ya biashara. Je, benki zinaruhusu mkopo kudhaminiwa na jengo ambalo linaenda...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jengo la TANESCO lilibomolewa kwa Siasa na siyo kupisha Ujenzi

    Wakuu, nimepita mara kadhaa pale kwenye jengo la TANESCO Ubungo Maji nikaishia kushangaa tu kwanini Mwendazake alikomaa sana lile jengo libomolewe na kile kilichoitwa kupisha ujenzi wa 'Flyover' iliyopewa jina la swahiba wake hayati 'Kijazio'. Kimsingi ukipita pale utaona ni kiasi gani motive...
  6. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Jengo refu kuliko yote Tanzania hadi mwaka 2022

    Opened in 2019 this is currently the tallest structure in Tanzania located along Sam Njuoma road in Dar es Salaam the building was constructed by Estim a Tanzanian company. The builiding is a complex with a 35flr tower and a 9 flr tower for office and commercial purposes with an ample parking...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania China yaikabidhi Zimbabwe 'zawadi' ya jengo la Bunge

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesifu uhusiano "bora" na kati ya nchi yake na Uchina alipotoa kwa mara ya kwanza hotuba kwa Taifa katika jengo jipya la Bunge lenye thamani ya mamilioni ya dola ambao China imelitoa kwa taifa hilo kama Zawadi China ilifadhili na kujenga jengo kubwa la Bunge...
  8. Nyendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruaka, Kiambu: Wawili wafariki baada ya jengo la ghorofa 5 kuporomoka

    Watu wawili wamefariki huku mmoja akiokolewa baada ya jengo la ghorofa tano kuanguka eneo la Ruaka kaunti ya Kiambu mapema Alhamisi asubuhi. Jengo hilo liliporomoka saa 3:30 asubuhi na kuporomoka kwenye jengo lililokuwa karibu walimokuwa wamelala wapangaji. Juhudi za uokoaji zinaendelea kwa...
  9. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ujenzi wa jengo la Mkurugenzi wa Uyui liko chini ya kiwango, wahusika wawajibishwe

    Wilaya Uyui ina maaajabu yake ambayo nahisi sijawahi ya kuyaona katika wilaya nyingine. 1. Kuna ufisadi wa kutisha katika majengo yaliyojengwa (jengo la mkurugenzi jipya) Yaani jengo la serikali limekabidhiwa hata miezi miwili halina tiles zinabanduka, helper za kupandia ngazi ya...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mkurugenzi abomoa msingi wa jengo la madarasa kisa kujengwa kiwango cha chini

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu Msoleni Dakawa, ameamuru kubomolewa kwa msingi wa madarasa manne, uliokuwa unaendelea kujengwa katika Shule ya Sekondari Sakasaka baada ya kubaini umejengwa chini ya kiwango. Mbali na uhamuzi huo, Mkurugenzi huyo amemwagiza Fundi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa jengo la utawala Monduli waleta mvutano

    UJENZI WA JENGO LA UTAWALA MONDULI WALETA MVUTANO Na John Walter-Arusha Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Monduli Thomas Meiyan, ameiomba kamati ya ulinzi na usalama iliyopo chini ya mwenyekiti mkuu wa wilaya hiyo Frank Mwaisumbe kuharakisha uchunguzi wake uliokuwa unaendelea ili...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Jengo la Maalim Seif: Alberto na Jabir - Kalamu Zinazosema na Kuandika

    Hata kama hawakuweka majina yao sentensi zao zitakujulisha waandishi hawa. Kulia ni Jabir Ali na kushoto ni Ali "Alberto" Saleh. Hakuna asiyewajua watu hawa. Makala zao wasomaji hawazipiti lazima watazisoma. Waandishi hawa makala zao zinauza na kujenga gazeti na mwisho wa siku gazeti linapata...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Jengo la Maalim Seif Makao Makuu ya ACT Wazalendo

    Siku moja jioni moja miaka sita iliyopita nilipata bahati ya kumfikia Maalim nyumbani kwake Sharif Shamba nje na mbali na matarumbeta na shamrashamra za mikutano na mengineyo. Ilikuwa starehe kubwa kwangu kunywa kahawa na Maalim na kuchekanae mfano tuko barzani tunapumzika. Lakini tabu...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Jengo Jipya la Makao Makuu ya ACT Wazalendo Ngome ya Maendeleo na Amani

    JENGO JIPYA MAKAO MAKUU YA ACT WAZALENDO NGOME YA MAENDELEO NA AMANI Naangalia picha ya jengo la Makao Makuu ya ACT Wazalendo lililoko Magomeni Mikumi. Jengo hili limepewa jina la Maalim Seif Sharif Hamad. Hakika ni jengo la kisasa linalovutia sana. Nina kawaida kila nionapo jambo basi mimi...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU waagizwa kuchunguza jengo la zahanati lililotumia Tsh. Milioni 75 na halina milango wala madirisha

    Mwonekano wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Mtakuja iliyopo Wilaya ya Ruangwa ambayo imeshatumia Tsh. Milioni 75 hadi sasa. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU wilayani Ruangwa kufanya uchunguzi wa...
  16. errymars

    JamiiForums Tanzania Dubai na ujenzi wa jengo mfano wa pete

    Wakati dunia tuko mwaka 2022, Dubai wanataka kutonyesha kuwa wao wako mbele ya muda, wanaishi ‘future’ yetu. Wataalamu wa mambo wanasema Dubai ni kama tayari wanaishi mwaka 3000, kwa maana Dubai wako mbele yetu kwa miaka 978. Hivi karibuni Dubai wametangaza mpango kuwa, pale lilipo jengo...
  17. Championship

    JamiiForums Tanzania Jengo la china telecom linaungua kwa moto. Mamia wahofiwa kufa.

    Jengo hilo hapo, ni katika mji wa Changsha.
  18. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi Meru waomba kufufuliwa kwa jengo la mahakama ya iliyotekelezwa, kesi nyingi huishia nyumbani

    Jengo la mahakama ya West Meru lililotekelezwa Wananchi wa Meru wameoimba serikali kufufua mahakama zilizotelekezwa ili kurahisisha usikilizaji wa kesi katika Kata zote zinazoizunguka Meru kutokana hali halisi ya jiogrofia ya maeneo yao ikiwemo umbali, na ubovu wa barabara kwenda kwenye...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete tarehe 11/12/2012 alifungua jengo la hosipitali Mbagala Zakhiem, leo limechakaa

    Jengo la hospitali ya Mbagala Zakhiem lilifunguliwa na Rais Kikwete Desemba 2012, leo hii jengo hilo halifai kwa matumizi kwani lina nyufa nyingi sana, kwa ujumla limechakaa kupita kiasi likiwa na umri wa miaka 10 tu! Je, haya majengo ya Serikali hukaguliwa kila hatua ya ujenzi na mamlaka husika?
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katika ufunguzi wa Jengo la Huduma kwa Mama na Mtoto Hospitali ya CCBRT, Julai 5, 2022

    ===== Tayari Rais Samia yupo ndani ya jengo la huduma ya afya ya mama na mtoto akiwasalimia wazazi pamoja na watoto wao (akina mama 88) ambao wapo katika wodi za kupumzikia wakiwa wamejifungua salama kabisa, pia Rais Samia amepata nafasi ya kukagua chumba cha kujifungulia. Katika wodi hizo kuna...
Back
Top Bottom