Moto mkubwa unaunguza jengo eneo la Rwegasore na Lumumba Jijini Mwanza

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118

Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijafahamika umezuka katika jengo la ghorofa moja kati ya Mtaa wa Rwegasore na Lumumba Jijini Mwanza ambapo inaelezwa jengo hilo ni stoo ya kuhifadhia mapambo.

Jeshi la Uokoaji na Zimamoto Mkoa wa Mwanza tayari limefika eneo la tukio na linaendelea na juhudi za kuuzima moto.
 
Back
Top Bottom