jamii

  1. Faana

    JamiiForums Tanzania SUA itendeeni Haki jamii ya Watanzania

    Sina nia mbaya wala lengo la kuwaharibia biashara zenu, ila ninyi kama taasisi kubwa nchini inayotumia resources nyingi kwenye tafiti mbalimbali za kilimo, hili la matunda yenu mmeshindwa kabisa. Mfano mmoja kati ya mingi ni haya maembe yenu ya kisasa utakuta kati ya maembe na mapera 10...
  2. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ukimya na Usiri wangu unanifanya nionekane Usalama wa Taifa

    Iko hivi 1. Mimi sinywi pombe, sigara wala siendi club hivyo sina sababu ya kwenda sehemu za starehe kama bar. 2. Sina ushabiki wa mpira, hivyo sina sababu ya kujichanganya kwenye stori za mpira au mabanda ya mpira. 3. Sina account ya mitando ya kijamii kama instagram, Facebook au Twitter, nk...
  3. Hamud1988

    JamiiForums Tanzania Changamoto zipi Jamii (wazazi na wanafunzi) hupitia kipindi wakisubiri baraza la mitihani NECTA lisahihishe na kutoa matokeo ya mitihani ya wanafunzi?

    Kipindi cha kusubiri matokeo ya mitihani kwa shule za msingi na sekondari huwa ni mwezi 1-3. matokeo haya ndio uhamua mwanafunzi huyu aendelee na shule (kidato cha kwanza au kidato cha tano/vyuo vya ufundi) au atafute Maisha kwa namna nyingine. Ndani ya kipindi hiki (miezi 1-3) yamekuwepo...
  4. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Colorism ni saratani isiyotambulika rasmi lakini imeenea sana kwenye jamii

    For the benefit of all those in Rio Linda 🤣, let’s begin by defining what colorism is; differential treatment based on skin color, especially favoritism toward those with a lighter skin tone and mistreatment or exclusion of those with a darker skin tone, typically among those of the same racial...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kipi kiliwahi kukutokea ukajikuta unaanza kuongea peke yako?

    Jana nimekutana na mwamba mmoja kavaa fresh tu na ukimtazamaunajua huyu anaelekea katika ofisi flani yenye hadhi au labda ni mtu mwenye mishe zake za kuelewekwa, lakini ajabu nikaona anaongea peke yake. Awali wakati namkaribua sikutilia shaka sana hilo niliamini labda kuna kitu kaaa sikioni, si...
  6. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Namna gani pale great thinkers na matajiri wa JamiiForums. Hili sikulitegemea kabisa

    Nimekutana na hizi nyuzi zifuatazo zimenisikitisha sana 1. Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama huu uzi umetoka kwa lijendari great thinker Mpwayungu Village aisee imenisikitisha sana. Mi naona tusifike huko jamani great thinkers, kumbukeni hawa wazazi wetu kwanza wengi wao - wazazi...
  7. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Adhabu kwa mzinzi katika jamii ya Kisukuma

    Sijui hii ilitokea wapi hasa. Ila jamaa wanaongea Kisukuma. Hivyo huenda ni huko Usukumani. Ni adhabu ya kipumbavu sana. Kama shida ni uzinzi, walioshiriki ni wawili [kikawaida]. Sasa iweje adhabu apate mmoja tu? Halafu huyo ‘mzinzi’ naye ni bwege tu. Ni bora kufa unapigania heshima yako...
  8. tpaul

    JamiiForums Tanzania Ifikapo 2030 hizi nyimbo za kipuuzi za bongo flava zitaiharibu jamii nzima

    Hata mbuyu ulianza kama mchicha, ndivyo unavyoweza kusema. Nipo kwenye basi natokea Songea kwenda Mwanza, safari nzima tunasikilizishwa nyimbo na video za kihuni za bongo flava mwanzo mwisho. Baadhi ya nyimbo zinazopigwa humu ni hizi: 1. Kila demu ana matako. 2. Nataka kunya 3. Nitongoze 4...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kutenga Fedha Ujenzi wa Vyuo vya Maendeleo ya Jamii Kwenye Mikoa

    "Je, ni lini Serikali itakipandisha hadhi Chuo cha Maendeleo ya Jamii Musoma ili kiweze kutoa Shahada" - Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mbunge wa Viti Maalum (Vijana Taifa) "Ili Chuo kiweze kufikia elimu kwa ngazi ya Shahada kinatakiwa kiwe na ithibati kamili n vigezo stahiki ikiwemo miundombinu...
  10. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Je, unajipenda wewe na ndugu zako? Usithubutu kufuga hizi jamii 25 za mbwa, ni HATARI SANA

    Fikiri mara mbili kabla hujaamua kufuga mbwa hawa nyumbani kwako. Airedale Terrier Airedale Terriers ni mbwa wanaopenda kujitegemea na kuwa huru. Ni mbwa wenye akili sana lakini ni wasumbufu mno. Mbwa hawa wanajulikana kama Mfalme wa Uharibifu. Airedale Terriers wanapenda sana kucheza...
  11. TTCC_TECNO

    JamiiForums Tanzania Jamii mpya ya vijana - TTCC

    TTCC ni jumuiya ya wanafunzi inayosababisha msukumo mkubwa katika eneo la elimu kwenye mandhari ya kipekee ya vyuo vikuu vya Tanzania. Jumuiya hii inakutanisha wanafunzi kutoka vyuo vikuu kote nchini Tanzania waliounganishwa na shauku yao katika teknolojia na ubunifu. TECNO ni chapa...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini jamii kubwa ya Wayahudi ni matajiri na chuki dhidi yao ilivyokuzwa enzi na enzi

    ■AHADI Mungu alimbariki mzaliwa wa Ibrahim, Isaac, ambaye ndie mtoto halisi wa familia ya Ibrahim na Sarah iliotambulika kama ndio familia asilia ya agano la nchi ya ahadi dhidi ya mzaliwa wake wa kwanza aitwae Ismael aliezaa na mjakazi wake kutokana na utasa wa Sarah kabla ya kuambia...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hakuna watu waoga dunia hii kama waarabu na jamii zao

    Kwema Wakuu. Hii ni kwa mtizamo wangu, muono wangu, kila nitakachoeleza kitatokana na uelewa wangu kuhusu vile ninavyowajua Watu na binadamu. Yeyote anaweza kunipinga kwa hoja na kulingana na mtazamo wake. Nachelea kusema kwenye huu ulimwengu, hakuna Watu waoga kama waarabu. Ninasema hivyo kwa...
  14. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo silielewi elewi. Mahusiano na jamii kuna kitendawili nashindwa kutegua'

    Mwanenu jambo si jambo sielewi kabisa. Mtaani kwangu kuna mambo nahisi hayajakaa sawa. Uchangamfu wa majirani sio huu ninaoujua, tunezoea kuchangamkiana katik salam na mambo mengine. Kwa kawaida nikiwa kijiweni(golini) kukusanya maokoto lazima nipitie sehem na mabest zangu kupata savanna 2...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mwanaidi: Serikali inaendelea kuwekeza na kutekeleza jitihada zinazolenga kujenga jamii yenye usawa wa kijinsia

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis amesema Serikali inaendelea kuwekeza na kutekeleza jitihada mbalimbali zinazolenga kujenga jamii yenye usawa wa kijinsia. Mhe. Mwanaidi ameyasema hayo Oktoba 29, 2023 wakati wa maadhimisho ya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Nashukuru sana JamiiForums imenipa mume

    Hello babies, Si mnakumbuka kuna siku nilikuja hapa like waaaoh, nikaleta story za kutafuta mume? You know babies basi bwana kwenye DM yangu ikamwagika weee meseji kibao zaidi ya mia mbili hivi you know. Basi akijtokeza mbaba mmoja hivi jina nalihifadhi, akanitumia meseji moja moja aisee...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jamii yashauriwa kuacha tabia ya kumeza dawa bila kupima, hali hiyo inatengeneza usugu

    Dkt. Medard Beyanga Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dkt. Medard Beyanga ameshauri jamii kuwa na kawaida ya kufanya vipimo kuanzia katika hatua za awali za ugonjwa na kuacha kujichukulia maamuzi ya kwenda kununua dawa bila kuwa na utaalam wa daktari. Amesema jambo la kwanza la...
  18. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinafanya watu wa Asia Mashariki (Wachina, Wajapan, Wakorea) kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyingine zote duniani?

    Hivi ni kitu gani ambacho kinacho pelekea hawa watu kutoka mashariki mwa Asia wachina, wajapan, wakorea kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyengine zote duniani ? Hii ni kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, hivyo nilikuwa nauliza ni kitu gani kinacho pelekea hawa watu kutuzidi sisi wengine wote.
  19. Aga machine97

    JamiiForums Tanzania New to JamiiForums

    Hello guys, Nimekuwa nikiifuatilia JamiiForums kwa kipindi kirefu, lakini ilikuwa ni kupitia kwa Mitandao yake ya kijamii, but now here i am. New member of this Forum.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jamii yashauriwa kuwa na tabia ya kuandika Wosia ili kupunguza migogoro kwenye familia

    Mhasibu Mwandamizi kutoka Wizara ya Fedha, CPA Jenipha Josephat Ntangeki ametoa ushauri huo wa Wosia wakati akitoa elimu kuhusu umuhimu wa jamii kuzingaia wosia alipokuwa akishiriki Kongamano la Wanamitandao ya Kijamii na Wizara ya Fedha kwenye Ukumbi wa 88 Mkoani Morogoro, Jumanne Oktoba 24...
Back
Top Bottom