Connection ya kusafirisha magari kwenda nchi jirani

Oct 10, 2023
1
0
Kwa Majina Naitwa Musa Augustino Lweve, ni dereva wa magari Manual pia na Automátic. Lengo la kuleta mada kwenu ni kusaidiana.

Nilikuwa naomba mwenye connection ya kusafirisha gari kwenda nchi jirani

Kwa yeyote atayeweza kunisaidia namba yangu ni 0714290584. Asanteni
 
Nenda mkuki house kwa nyuma ulizia yadi ya Temesa, ukifika ulizia chama cha madereva IT utapewa form na lipid kiasi cha kujiunga na chama, baada ya hapo watakupa muongozo wa makampuni ya clearing na kazi inavyofanyika. Zaidi tafuta dereva mzoefu pale sheli ya changombe oilcom au water front hapa karibu na central, au nenda be forward makao makuu karibu na hospital ya ocean road
 
Back
Top Bottom