Aliyepo Mtwara amesomea mambo ya ustawi wa jamii au mazingira na smart upstairs na well presentable anicheki

Bado siijapata mtu wataalamu.
Weka qualification vizuri mkuu unataka mtu wa ngazi gani certificate diploma au degree inayohusiana na nn sasa ustawi wa jamii na mazingira ndio kozi gani hyo mtaalam.
 
Yupo mtwara mjini kabisa.. ila ana sifa zotee hizo kasoro moja... hana cheti cha ustawi. Ni mwanamke na ni mtwara mjini kabisa
 
Back
Top Bottom