Nashukuru sana JamiiForums imenipa mume

Amie whitney

Member
May 21, 2023
78
183
Hello babies,

Si mnakumbuka kuna siku nilikuja hapa like waaaoh, nikaleta story za kutafuta mume? You know babies basi bwana kwenye DM yangu ikamwagika weee meseji kibao zaidi ya mia mbili hivi you know.

Basi akijtokeza mbaba mmoja hivi jina nalihifadhi, akanitumia meseji moja moja aisee niliripuka kwa shaangwe waao baby, akanichombeza kweli kweli nikasema mimi ni nani mpaka nikatae?

Jamaa ni bosi hapo kwenu ukimani kwenye kampuni hivi I don't if as karubandika I don't care what I see ni mapenzi yangu kwake tu.

Tumepanga ndoa tutafunga huku London na sio huko ukimani kwenu, kwanza huko kwenu kunatoa harufu, kwa mfano hapo kwenu Dar es Salaam kunatoa harufu balaa.

Karibu kwenye ndoa.
 
Nyenyenyenye
 
Hello babies,

Si mnakumbuka kuna siku nilikuja hapa Is like waaaoh nilikuja hapa nikaleta story za kutafuta mume?you know babies basi bwana kwenye DM yangu ikamwagika weee meseji kibao zaidi ya mia mbili hivi you know

Basi akijtokeza mbaba mmoja hivi jina nalihifadhi akanitumia meseji moja moja aisee nililipuka kwa shaangwe waao baby akanichombeza kweli kweli nikasema mimi ni nani? Mpaka nikatae?

Jamaa ni bosi hapo kwenu ukimani kwenye kampuni hivi I don' t if as karubandika I don't carw what I see ni mapenzi yangu kwake tu

Tumepanga ndoa tutafunga huku London na sio huko ukimani kwenu kwanza huko kwenu kunatoa harufu jwa mfano hapo kwenu Dar eS salaam kunatoa harufu balaaa

Karibu kwenye ndoa
Sio mganga ila natabiri, kutokana na tabia zako (unazodhihirisha kupitia thread yako hii) ndoa haitafungwa na ikifungwa basi usingle mother unakusubiri baada ya muda mfupi

Thread hii tu inathibitisha wewe ni wa kuliwa tu na sio kuolewa
 
278919118_1093603897885924_6157812142717961832_n.jpg
 
Hello babies,

Si mnakumbuka kuna siku nilikuja hapa like waaaoh, nikaleta story za kutafuta mume? You know babies basi bwana kwenye DM yangu ikamwagika weee meseji kibao zaidi ya mia mbili hivi you know.

Basi akijtokeza mbaba mmoja hivi jina nalihifadhi, akanitumia meseji moja moja aisee niliripuka kwa shaangwe waao baby, akanichombeza kweli kweli nikasema mimi ni nani mpaka nikatae?

Jamaa ni bosi hapo kwenu ukimani kwenye kampuni hivi I don't if as karubandika I don't care what I see ni mapenzi yangu kwake tu.

Tumepanga ndoa tutafunga huku London na sio huko ukimani kwenu, kwanza huko kwenu kunatoa harufu, kwa mfano hapo kwenu Dar es Salaam kunatoa harufu balaa.

Karibu kwenye ndoa.
Acha matusi kijana
 
VINA MUDAA BHASI!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom