jamii

  1. Joannah

    JamiiForums Tanzania JF ilivyoua huba langu

    Samaleko, Basi bwana, miaka kadhaa nyuma nilikuwa na Id yangu xxxx, haikuwa Maarufu hata kidogo, nilikuwa napenda kumchangia kidogo kwenye Jukwaa la siasa, intelligence na international news na History. Sasa Maulid moja akaja ex shemeji yenu kunitembelea, kwa kawaida nikiwa nyumbani napenda...
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ukiwa una dharau kundi lolote katika jamii yako, sahau kabisa kuhusu Mafanikio Makubwa

    Ili upate pesa zinazohesabika Unabidi kuheshimu kila MTU katika Jamii yako. Maana mfanyabiashara anahitaji pesa ya kila MTU uwe, masikini, uwe tajiri, uwe mlevi, Uwe shekh, uwe mchungaji nk. Hii kanuni inatumiwa na watu wenye Mafanikio kila hatua unayopiga huwa anasogeza Ukaribu zaidi na jamii...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Japan kumwaga maji taka ya nyukilia baharini kwasababisha hasira kubwa ya jamii ya kimataifa

    Kampuni ya Umeme ya Tokyo ya Japan imetangaza kuwa imemaliza awamu ya kwanza ya kumwaga maji taka ya nyuklia baharini, na awamu ya pili inatarajiwa kuanza hivi karibuni. Tangu Japan ilipoanza kumwaga maji taka ya nyukilia baharini, kitendo hiki kimesababisha hasira kubwa ya jamii ya kimataifa...
  4. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Wapi mnapata emoj ya kucheka kwenye browser ya jamii forum

    Natumia browser katika jamii forum! Kuna mahari naona watu wanaweka emoj ya kucheka! Mimi nikiitafuta siioni zaidi ya emoj ya like👍. Sasa hizo emoj mnazipataje?
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania 2pac alifanya harakati za kudai haki na kuelimisha jamii, Notorious Big aliedanganya maisha yake na kuimba uhuni pekee, anamsogelea kwa kipi?

    Huyu alikulia hood mitaa iliyojaa msoto, uhalifu na umasikini, wazazi wake walikuwa kundi la black oanthers wanaharakati wa kupigania haki za wamarekani weusi, ni kundi lililokuwa likisakwa kila kukicha na serikali ,mama yake pekee alikuwa na kesi kama 50 zs uchochezi, kalelewa na ndugu tofauti...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ni makosa Serikali kumdhalilisha mtoto mitandaoni kwa kumwita muongo bila hata kumsikiliza

    Kuna taarifa za mtoto kudanganya au kuibiwa matokeo ya kidato cha nne zinasambaa mitandaoni Serikali imejibu malalamiko kwa press tatu hadi sasa lakini kati ya wote walioripoti hakuna mtumishi wa umma au wizara iliyokiri kuhojiana na mwanafunzi anayelalamika. Means wizara zetu m halmashauri...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Asilimia 53.1 ya idadi ya Watu Duniani hawana malipo ya Hifadhi ya Jamii

    Haki ya Ulinzi wa Kijamii bado haiwezi kufikiwa na Watu wengi Duniani, hasa wale wanaohitaji zaidi wakiwemo Watoto, Wanawake na Wasichana, Wazee, Watu wenye Ulemavu na Masikini Takwimu za Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa zinasema Asilimia 53.1 ya idadi ya Watu Duniani hawana malipo...
  8. Beberu

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa na wanataaluma msipotoshe jamii kwa maksudi

    ................, (Salamu kwa kilugha chenu) Ndugu zangu wa Tz, naomba niweke wazi msimamo wangu, mm naunga mkono uwekezaji katika bandari na nyanja nyingine zote katika nchi hii ENDAPO kutakuwa na masharti yanayoinufaisha Tz pia (win - win situation) Katika suala la Bandari baada ya mkataba...
  9. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Polisi wengi wanatengwa na Jamii na kuishi kwa msongo mawazo

    Utafiti wangu mdogo umebaini Watanzania wengi hawana urafiki na polisi, yaani ule urafiki kama wa mtu na mshkaji wake, mfano kupigiana simu kujuliana hali, kutembeleana, kubadilishana mawazo, kushirikiana katika biashara na kupeana michongo. Mapolisi wengi wanakuwa na urafiki wao kwa wao na...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Vijana ni Nishati ya Taifa, ila isipotumiwa vizuri Nishati hii inaweza kugeuka Hatari kwa jamii

    Vijana ni Nishati ya Taifa, Wao ni chanzo cha Fahari na Matumaini kwa Nchi husika ila ikitokea Nishati hiyo isipotumiwa Vizuri na kuongozwa kwa Uadilifu, inaweza kuwa hatari kwa jamii. Vijana huathiriwa zaidi na Athari za Ufisadi na Rushwa katika Taifa ikiwemo kukatishwa tamaa kutokana na...
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kama huna mchango wowote kwenye jamii inayokuzunguka, unakosa maana ya kuishi

    Kila mtu ndani yake ameumbwa na kitu ambacho mwenzake hana. Hii ndio sababu pekee kwa nini tumeumbwa tofauti na sio watu wenye ufahamu na akili za kufanana kama bata. Lazima uwe na kitu cha kuchangia katika jamii. Ukiachia wengine hilo jukumu na ukabaki kuwa mnufaika wa michango ya wengine...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mungu hakufanya makosa kumfanya mwanaume kuwa kichwa katika jamii zetu

    Hapo zamani za kale Mungu alidhihiri mamlaka na uwepo wake kwenye nafsi za wanaume na ndiomana alifanya mwanaume amuoe mwanamke ili aendeshe familia kwa mfano wa Mungu. Je, endapo jamii au familia inaongozwa na mwanamke huyu Mungu hubadirisha utaratibu na kanuni za umungu wake? Mungu atabaki...
  13. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Jinsi nchi zinavyo endelea ndivyo ndoa na kuzaa sana zinapoteza nafasi ndani ya jamii

    Kutokana na utafiti uliofanywa na vyombo vya kimataifa kama New York times kuhusu utamaduni wa kufunga ndoa. Unaonesha utamaduni wa kuoa au kuolewa unapoteza nguvu ndani ya jamii zile zinazo endelea na zilizo endelea kwa kasi. Utafiti uonesha vijana wa mataifa yaliyo endelea na yanayo endelea...
  14. nivoj.sued

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Dunia ya Kidijitali: Sekondari ya Zanaki yaanza kutekeleza mradi wa kujenga Jamii ya Kidijitali Tanzania

    Mkuu wa shule ya Zanaki ( mwenye hijabu katikati) akipokea vifaa vya tehama Shule kongwe nchini Tanzania, Sekondari ya Zanaki, iliyoko jijini Dar es Salaam, hatimaye imefanikiwa kujiunga katika utekelezaji wa mradi wa Tanzania ya Kidijitali baada ya kupata vifaa vya tehama kwa ajili ya...
  15. Gwili

    JamiiForums Tanzania Wana jamii nabisha hodi

    Ni mgeni katika kufungua account lakini ni mwenyeji wa kusoma makala na uzi pasipo ku komenti, nipokeeni hivi leo.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Jamii ya kimataifa yapiga “kura ya ndio” kuhusu ushirikiano wa BRICS

    Mkutano wa 15 wa wakuu wa nchi za BRICS umeanza tarehe 22 mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Huu ni mkutano wa kwanza wa uso kwa uso wa viongozi wa BRICS katika kipindi cha miaka mitatu, na pia ni mara ya tatu kwa mkutano kama huo kufanyika tena barani Afrika baada ya miaka mitano, jambo ambalo...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Mkataba ni kama unaleta magawanyiko katika jamii; tukiuacha kunatokea nini?

    Huu mkataba umeleta mganyiko katika jamii mgawanyiko mkubwa sana. Hivi tukiuacha tunakosa nini? Mbona kama madhara yanayoweza kujitokeza ni mengi ikiwa tutang'angania mkataba huu? Baada ya mgawanyiko unaweza kujitokeza nani atawapatanisha 1. CCM na Chadema 2. Serikali na wananchi 3. Muislam na...
  18. Logikos

    JamiiForums Tanzania Maelewano ya Jamii ni Muhimu kuliko Faida za Ki-Uchumi

    Maelewano na mshikamano ni Priceless - Kwahio chochote kile hata kama kina faida kiasi gani za kifedha hakiwezi kuziba pengo litakaloweza kuachwa na Jamii kutokuelewana.... Mfano kuna Wadau walienda vijijini kuwajengea watu nyumba za Kisasa kwa gharama kubwa na zingekuwa faida sana kwao (mwisho...
  19. Msanii

    JamiiForums Tanzania Sisi kama Jamii tujadili namna ya kuwasaidia vijana wanaofeli shule na kuachwa mitaani

    Umuofia kwenu, Nguvu ya Taifa lolote ni vijana. Nchi inaweza kuwa na advancement kubwa kwenye teknolojia na sekta zingine lakini kukiwa na ombwe la vijana kwenye jamii ama nchi hiyo ni kujiweka rehani. Vijana wa jamii yeyote huandaliwa kushika hatamu pale wazee ama wazazi wao wanapoishia...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sina shida na Ubingwa wetu wa Ngao ya Jamii ila kwenye suala la Kipa mmetuangusha!

    Tuliaminishwa Kipa Jefferson Luis ni bonge la Kipa mara ghafla akalazimishwa ajifanye kaumia ili aachwe na achukue hela yake ya bure ya Tsh. 150 milioni na wapigaji wachukue Tsh. 250 milioni na ikaishia hapo. Simba Day tukatambulishwa Kipa Abel ambaye alishafungwa na Simba SC goli 6 au 7...
Back
Top Bottom