Hello babies,
Si mnakumbuka kuna siku nilikuja hapa like waaaoh, nikaleta story za kutafuta mume? You know babies basi bwana kwenye DM yangu ikamwagika weee meseji kibao zaidi ya mia mbili hivi you know.
Basi akijtokeza mbaba mmoja hivi jina nalihifadhi, akanitumia meseji moja moja aisee...