Kuna jambo silielewi elewi. Mahusiano na jamii kuna kitendawili nashindwa kutegua'

Annie X6

JF-Expert Member
Mar 16, 2023
405
751
Mwanenu jambo si jambo sielewi kabisa.

Mtaani kwangu kuna mambo nahisi hayajakaa sawa. Uchangamfu wa majirani sio huu ninaoujua, tunezoea kuchangamkiana katik salam na mambo mengine.

Kwa kawaida nikiwa kijiweni(golini) kukusanya maokoto lazima nipitie sehem na mabest zangu kupata savanna 2 hadi 3.

Siku moja nilikunywa kinywaji kwa kuchanganya nilipoteza au niite kuusahau mkoba wangu. Waliookota wakachukua vyao wakautupia dustbin kwa kweli niliumia sana. Ukiwa na ID mbalimbali ukatupwa.

Siku hiyo nipoteza heshima kwa kweli, je hii inatosha kuona utofauti na wananchi wenzangu.

Ninahisi wabaya wangu ni mashosti. Hiki ni kama kitendawili
 
Unaishi Kwa kuamini hisia zako.

What if walioiba sio hao unao wahisi?

Mdada unalewaje Hadi usahau mkoba?ukiamka kwenye pagala je umebakwa na midume 20?

Hata nani akuchekee...jukumu la kujilinda ni lako sio majirani
 
Back
Top Bottom