ipi

The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

    Habari za muda huu ndugu zangu. Nimekaa, nikafikiria, Mimi ni mzazi wa mtoto mmoja wa kike. Sasa issue kubwa nataka kufahamu nimeona kama nimeridhika au sina sababu maalumu ya kuongeza mtoto. Najiweza sana kiuchumi, mimi kijana mdogo ila mwanangu yupo anaishi na mama yake Uingereza (Mama...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ipi ni njia ya upepo/pepo?

    Salaam/Shalom TAFSIRI YA UPEPO ,WIKPEDIA; Ni mwendo wa hewa. Husababishwa na joto la jua. Hewa ikipashwa joto na jua, hupanuka kuwa nyepesi na kupanda juu hivyo inaacha nafasi ambako hewa baridi zaidi inaingia kuchukua nafasi yake. Kuna aina nyingi za upepo, Upepo mkali huitwa DHORUBA...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sababu ya mwitikio wa watu kusoma shahada ya Umahiri (Master's dgree) kupungua?

    Habari ya muda wanajamvi. Nimejaribu kufuatilia udahili wa vyuo vikuu kwa miaka mitano nikagundua hamasa ya watu kusoma master's degree imepungua sana. Hata mtaani ni wachache sana utasikia wanasema wanataka kusoma Master, ukilinganisha na miaka 10 iliyopita hasa 2010 hadi 2015 hamasa ilikuwa...
  4. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Ipi ni soundtrack yako kali kwenye movie au series ulizowahi kuangalia?

    ....
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Private high school ipi ni bora Mwanza kwa masomo ya sayansi?

    Dogo ni mvulana na anataka achukue PCB. High school yenye sifa ya kufaulisha vizuri kila mwaka.
  6. sanalii

    JamiiForums Tanzania Je, ni ipi sababu ya DAWASA ya kukosekana kwa maji?

    Ndugu zangu, Hizi mvua zinanyesha mpaka mafuriko, ila maji hayatoki kwenye mabomba je na DAWASA kuna mgao? sababu ni nini? Hivi kweli hakuna kiongozi wa kusimamia haya mambo? umeme shida maji shida huku mvua zanyesha hadi zasababisha maafa?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nisome kozi ipi nzuri kwa ufaulu huu

    Natanguliza shukrani, Naomba mnishauri ni Kozi ipi nzuri zaidi naweza kusoma kutokana na ufaulu huu. CIVICS"D" ENGLISH"C" GEOGRAPHY"C" KISWAHILI"C" HISTORY"C" BIOLOGY"C" CHEMISTRY"C" PHYSICS"F" MATH'S"F" Division III:22
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ipi Historia ya Kweli ya TANU? Sura ya Nne na ya Mwisho

    UTANGULIZI Nimeweka historia nne za kuasisiwa kwa chama cha TANU. Kuna historia ya TANU inayoanza na Mwalimu Julius Nyerere akiunda TANU ndani ya Misheni ya Kanisa Katoliki Tosamaganga, Iringa. Kuna historia ya TANU ya Mwalimu Nyerere kufuatwa Francis College Pugu alipokuwa akifundisha aje...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ipi Historia ya Kweli ya TANU? Sura ya Tatu

    MATATIZO KATIKA USAHIHI WA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA Mwananyamala nje ya nyumba ya Mzee Mwinjuma Mwinyikambi kumewekwa kibao kinachosema kuwa TANU iliasisiwa ndani ya nyumba hiyo tarehe 7 Julai 1954. Juu ya kibao pameandikwa: ''Kumbukumbu'' na chini yake ndiyo yako maneno hayo kuwa ndani...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ipi Historia ya Kweli ya TANU? Sura ya Pili

    https://youtu.be/t4HhcYoQmeI Mtu anapozungumza asichokijua. Anamtaja Abdul kuwa alikuwa mzee. Anasema Abdul Sykes hakusoma. Abdul Sykes alikuwa na miaka 28 Julius Nyerere miaka 30. Nyerere mkubwa kwa Abdul Sykes. Nyerere hakuitwa na yeyote alipelekwa kwa Abdul Sykes na Kasella Bantu 1952...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ipi Historia ya kweli ya TANU? Sura ya Kwanza

    HISTORIA MPYA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA Hii makala niliiweka FB siku kama ya leo mwaka jana (2019) baada ya kuangalia video ya kiongozi mmoja wa kanisa akieleza historia ya TANU ambayo kwangu niliona imejaa upotoshwaji mkubwa. Utangulizi Nami nasubiri patulie In Shaa Allah nataka...
  12. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Fensi ipi nzuri ya kupanda yenye ulinzi mathubuti na inayorefuka hadi mita mbili?

    Wakuu nisaidieni nijue fensi nzuri.
  13. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa tendo la ndoa kwenye ndoa za Kitanzania

    Ipi ni sababu ya msingi inayowapelekea wanawake kuwanyima waume zao tendo la ndoa? Mmelalamika sana, tena sana, zaidi ya sana. Mimi mwenyewe ni mhanga wa hilo. Kama ningelijua hili kabla ya ndoa, nisingelioa kabisa huyu mdudu • Wanakuwa wamechoka sana na majukumu ya hapa na pale!? • Wanahisi...
  14. monotheist

    JamiiForums Tanzania TV ipi yenye ubora kati ya TV hizi za kichina

    Nina ndugu yangu ana 440k anahitaji smart TV 43 inch nimefanya uchunguzi wa hizi tv zifuatazo ALITOP, RISING, SOLARMAX na AILYONS kwa bajeti yake anaweza kupata. Je ipi ni tv yenye unafuu wa ubora wa picha kati ya hizo tv tajwa
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kampuni ipi ya kuandaa Movie inakukosha?

    Kwa wapenzi wakuangalia Movies, ni Kampuni gani kati ya hizi ukiiona kwenye movie unakuwa na hamu ya kuangalia hiyo Movie. Mimi ni WB (Warner Bros) Boqin Naomba ubadilishe Thread Title isomeke "Kampuni ipi ya usambazaji Movie inakukosha?
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kati ya Ivory Coast na Tanzania ipi imepiga hatua zaidi kimaendeleo?

    Eti wakuu. Nchi ipi imeendelea zaidi. Ywani kiuchumi, kielimu, umeme, afya, elimu nk.
  17. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Shule ipi humjenga mwanafunzi kiakili, kifikra pamoja na kumuandaa vyema kwa maisha yajayo?

    Je, ni shule za Serikali? Ama ni shule za watu binafsi? Ama si Shule ya Serikali ama ya mtu binafsi yenye uwezo wa kumjenga mwanafunzi kifikra na kumuandaa vyema kwa maisha yajayo?
  18. emmarki

    JamiiForums Tanzania Ipi tofauti kati ya Green House na Shade House?

    Watalaamu, naomba utofauti wa shade house na green house, ipi ina faida kuioperate.
  19. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Hoja zipi zinakufanya kuchagua au kutochagua CCM, pia ni hoja ipi inakufanya uone kuwa upinzani ni mbadala wa CCM?

    Demokrasia imetutupatia machaguzi mengi ila tunahitaji kufanya au kuchukua uamuzi ambao ni busara zetu pekee zinaweza kuamua mustakabali wa jamii yetu kwa sasa na hata kwa baadae Siasa ni maamuzi ya kisera ambayo yanayojumuisha uchumi,jamii na utamaduni hivyo kwenye siasa ndio uwanja pekee...
  20. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Ipi ni RAM sahihi kwa hii PC

    Habari Nimeingia kariakoo kununua RAM nimemwambia muuzaji nahitaji ram DDR3 GB 8 ananiuliza tena unataka ipi PC3L au PC3 nikabaki mdomo wazi nikamwambia hebu nipe elimu kidogo tofauti ni nini kati ya hizo mbili kaniambia PC3L ni latest inaweza isisome kwenye PC za zamani na PC3 ni ya kitambo...
Back
Top Bottom