Kati ya Ivory Coast na Tanzania ipi imepiga hatua zaidi kimaendeleo?

Ni Ivory Coast maana ilishaingia Uchumi wa kati kitambo licha ya kuwa na vita.

Pia huo Mji Mkuu wao wa Abidjan ni una maendeleo kushinda Jiji lenu la kipindupindu la Dar both in terms of quality and population
 
Tanzania ni habari nyingine.
Japo kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja (per capital income) wametuzidi but
Gdp na ppp yetu ni kubwa kuliko wao
Habari nyingine ipi labda mbele ya Ivory Coast? Tunaulizia maendeleo sio GPP size.
 
Tanzania ni habari nyingine.
Japo kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja (per capital income) wametuzidi but
Gdp na ppp yetu ni kubwa kuliko wao.
Nchi za West Africa ni Nigeria tu ndio atatutetemesha
Umewahi kufika hata Namanga au Tunduma?
 
Gdp ni factor ya muhimu sana kwenye nchi ambazo hazitofautiani sana per capital income
Ivory Coast Iko mbali ya Tzn siku nyingi sana kuanzia miundombinu Hadi maisha.

Tzn ni Kati ya Nchi 5 Zenye namba kuumbwa ya maskini Afrika Sasa hapo GDP inakusaidia nini?

Ivory Coast Iko mbela ya Tzn Kwa Kila idara,hata Jiji la Abidjan ni kubwa na Lina maendeleo kuliko Dar sio Kwa idadi ya watu Wala miundombinu au majengo marefu.

View: https://youtu.be/OepYPIjyDgQ?si=KFx5r4GOWw2nR-sF
 
Hata nigeria ina masikini wengi kuliko tz, lakini uchumi wao ni zigo la kwenda
 
Tanzania ni habari nyingine.
Japo kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja (per capital income) wametuzidi but
Gdp na ppp yetu ni kubwa kuliko wao.
Nchi za West Africa ni Nigeria tu ndio atatutetemesha
Mhh Mungu atusaidie
 
Eti nigeria nchi ya hovyo! , Umiefananisha na nchi gani kwanza?
Hebu danganya ccm wenzako hapo kivule
Nigeria ni Nchi ya hovyo kulinganisha na Tanzania tuu hapa.

Kuna jipya lipi labda? Maana giants wenzie kina South na Egypt au Morocco imeiipita mbali.
 
Ni Ivory Coast maana ilishaingia Uchumi wa kati kitambo licha ya kuwa na vita.

Pia huo Mji Mkuu wao wa Abidjan ni una maendeleo kushinda Jiji lenu la kipindupindu la Dar both in terms of quality and population
Mji mkuu ni Yamoussoukro.... Abidjan ni Jiji la kibiashara kama ilivyo kwa Tanzania Dar Es Salaam
 
Ivory Coast Iko mbali ya Tzn siku nyingi sana kuanzia miundombinu Hadi maisha.

Tzn ni Kati ya Nchi 5 Zenye namba kuumbwa ya maskini Afrika Sasa hapo GDP inakusaidia nini?

Ivory Coast Iko mbela ya Tzn Kwa Kila idara,hata Jiji la Abidjan ni kubwa na Lina maendeleo kuliko Dar sio Kwa idadi ya watu Wala miundombinu au majengo marefu.

View: https://youtu.be/OepYPIjyDgQ?si=KFx5r4GOWw2nR-sF

Acheni ujuaji ivory coast ipo nyuma kimaendeleo kwa Tanzania usiongee kwa kukurupuka tu
 
Back
Top Bottom