ipi

The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. aka2030

    JamiiForums Tanzania Msaada gari ipi nzuri kati ya subaru Forester xt Outlander na Nissan Dualis

    Members naombeni mawazo hapo gari gani nzuri kwa Mtanzania mwenye kipato cha kawaida anayetaka kumiliki gari ya juu
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Chanjo ya COVID-19 na kuchanjwa. Asema hawezi kujipeleka kwenye Kifo

    Mzee wa upako, Athony Lusekelo ameitwa kufungua kwa sala na kabla anatoa maneno machache ikiwemo kutaka watanzania kuiamini chanjo kwani Serikali imejiridhisha. Pia ameongelea kauli ya Magufuli na kusema hakukataa bali alitaka tahadhari, Mwisho amesema wakristo kuna mambo wanakubaliana wote kwa...
  3. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nichukue gari ipi kati ya hizi?

    Nawasalimu wakuu kwa jina la nguvu na uchakalikaji wetu. Baada ya kupitia threads nyingi hapa na kujifunza mengi kuhusu magari nami natupia uzi hapa ili kupata ushauri. Kiukweli mi mgeni sana wa magari hata kuendesha si mtaalam sana ila naweza sema sijakaa na gari tu nimesota kwa miaka 8...
  4. MURUSI

    JamiiForums Tanzania Benki nzuri kwa ajili ya kufungua account ya Biashara ni ipi?

    Nina hitaji kujua Benki yenye mazingira Bora kwa ajili biashara hasa ndogo nahitaji kufungua account ya Biashara. Nazikwepa hizi Benki kubwa kama CRDB, NMB na NBC, maana hawa wana wateja wengi mno koasi kwamba wateja walala hoi ni kama hawathaminiwi.
Back
Top Bottom