Naombeni ushauri nisome kozi ipi nzuri kwa ufaulu huu

Sal dee

Member
Jan 12, 2024
15
21
Natanguliza shukrani,

Naomba mnishauri ni Kozi ipi nzuri zaidi naweza kusoma kutokana na ufaulu huu.

CIVICS"D"
ENGLISH"C"
GEOGRAPHY"C"
KISWAHILI"C"
HISTORY"C"
BIOLOGY"C"
CHEMISTRY"C"
PHYSICS"F"
MATH'S"F"
Division III:22
 
Uzuri wa kozi unategemea vitu vingi
1. Urahisi wa kuisoma
2. Mazingira ya kuisoma ikiwemo ada nk
3. Mazingira ya kufanyia kazi
4. Urahisi wa ajira
5. Maslahi ya kazi
6. nk

Wewe unazungumzia uzuri gani??

NB
Kwa upande wangu Kwa sasa naona kozi zote sio nzuri ila Kuna za angalau (naangalia ajira na maslahi)

Wakati huo huo ukiwa una connection hamna kozi mbaya (Elewa vizuri)
 
Nimekuelewa kaka..
Ningependa kufaham hizo za angalau
 
Natanguliza shukrani,

Naomba mnishauri ni Kozi ipi nzuri zaidi naweza kusoma kutokana na ufaulu huu.

CIVICS"D"
ENGLISH"C"
GEOGRAPHY"C"
KISWAHILI"C"
HISTORY"C"
BIOLOGY"C"
CHEMISTRY"C"
PHYSICS"F"
MATH'S"F"
Division III:22
Nitajie tarehe na mwezi uliozaliwa nikupe core genius yako. Usitaje mwaka, tarehe na mwezi basi
 
Sababu umeferi sayansi na hesabu una option zifuatazo zilizobaki

Somea vifuatavyo:

1. Sanaa au usanii
2. Mambo ya fashion (mitindo)
3. Kilimo
4. Upishi

Pia ondoa kichwani kwako kitu kinaitwa scarcity mindset, hii ni hali ya kudhani kuna uhaba wa vitu au Mali hapa duniani.

Watu wenye nyota kama yako wanatabia hiyo ya kudhani hapa duniani kuna uhaba wa kazi, hela, wapenzi nk

Pia usiwe mnyang'anyi, amini kwamba kama ipo ipo tu

Na usipende maisha ya kitajiri sana (luxury)

Mafanikio ni sehemu ya hatma yako, success is in your destiny, huhitaji kupambana au kupigana sana lazima utafanikiwa tu kwa mjibu wa nyota yako
 
01/07
 
Duh..! saw mkuu
 
Back
Top Bottom