Ipi ni njia ya upepo/pepo?

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,110
22,563
Salaam/Shalom

TAFSIRI YA UPEPO ,WIKPEDIA;

Ni mwendo wa hewa.

Husababishwa na joto la jua.

Hewa ikipashwa joto na jua, hupanuka kuwa nyepesi na kupanda juu hivyo inaacha nafasi ambako hewa baridi zaidi inaingia kuchukua nafasi yake.

Kuna aina nyingi za upepo,

Upepo mkali huitwa DHORUBA.

Ikizunguka ndani yake ni TUFANI.

Na Tufani ikianzia Baharini, ni KIMBUNGA.

Kwa uchache; Kwa kuwa upepo,hutoka sehemu Moja kwenda sehemu ingine,

Ningependa kujua njia ya upepo ni ipi?

Karibuni🙏
 
Back
Top Bottom